dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Ww Ni minga Kweli HV una vikiri nimemtukana INSIDER MAN Kama unavyo dhaniWw ni upinde unatafuta bwana
Mbuzi Ni GOAT" GREATEST OF ALL TIME.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww Ni minga Kweli HV una vikiri nimemtukana INSIDER MAN Kama unavyo dhaniWw ni upinde unatafuta bwana
Nimefikia viwango vya IRYN mkuu au nimemfunikaDr hiyo avatar ni wewe?
[emoji238]Wewe ni yupi kati ya mama J, Iryn, Prisca, mama2, Maggy, Mary na wengine? Hebu tuambie
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Jmn kumuita insider man mbuzi Ni kwamba nimemkubali mno [emoji238] G.O.A.TWewe mara dada yake prisca bi kitimoto.
Muacheni insider man bhna ajichanganyeIshia hapo hapo mzazi, usije ukahonga ile nyumba ya pale Makulu.
Insider man Ni mbuzi [emoji238] g.o.a.tAcha kutafuta mabwana kinguvu hivyo
Sasa eti watu wananitukana mm wakt mm mwenyee nimeamua awe mbuzi wetu hapa jukwaani kwa muda woteAliyemuita Insider Mbuzi yuko sahihi ni kweli ni GOAT kwenye story telling
Hapo sawaInsider man Ni mbuzi [emoji238] g.o.a.t
Sorry mkubwa tukajua umetukanaSasa eti watu wananitukana mm wakt mm mwenyee nimeamua awe mbuzi wetu hapa jukwaani kwa muda wote
Avatar Yako nimeipenda[emoji238]
kuna pisi zingine hata ukihonga kiwanja cha urithi,mizimu inakupongeza [emoji23]Muacheni insider man bhna ajichanganye
Mtu mwenyewe smart ni ww mkuu?Acheni kumtafuta mabwana humu nendeni telegram huku Kuna watu smart
Nimefikia viwango vya IRYN mkuu au nimemfunika
Atapigaje sim wakati yeye alikuwa anapigiwa na hapokei?sasa ndo aende home,kwa nn asipige simu tu?
😂😂😂kuna pisi zingine hata ukihonga kiwanja cha urithi,mizimu inakupongeza [emoji23]
kwa ufupi hela yote ya Uber ungetombea 😀 😀 😀 😀Maggie ndo yule wa kulewa naye, mchepuko wa mzee ningeogopa kupigwa risasi, sipendagi kulima mashamba ya watu serious [emoji1787][emoji1787][emoji1787], hao abiria wengine wooote kwishaaaaa habari yao!
Ki-ufupi nisingekuwa na gari tena mpaka sahv, hela ya mafuta ningetoa wapi sasa
Kabisaaa, inaonekana huu ustaarabu nilionao ni ukosefu wa fursa [emoji847]kwa ufupi hela yote ya Uber ungetombea 😀 😀 😀 😀