Gaga rhino
Senior Member
- Aug 15, 2023
- 196
- 252
Insider mkuu Kama itakupendeza tupe muendelezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninazipenda sana tuuWee EP beyond the infinity hupendagi stories??? Au umetingwa na wakubwa wenye nchi yetuu kwanza??
Huyu Iryne anajua kututesa aje na maelezo ya kutosha inakuaje aondoke bila kuaga.Nuhu39 Antonio de Guzman ya 38 tayareee!
Kwakweli amejua kutunyaanyasa !!Amemliza jamaa mwanaume katoa chozi kabisa 😊!Huyu Iryne anajua kututesa aje na maelezo ya kutosha inakuaje aondoke bila kuaga.
Ukipata muda uzisomee rafiki anza na hii ni nzuri sana!Ninazipenda sana tuu
Kikawaida Ile harufu asilia ya mwanamke Ni kivutio ama Ina harufu nzuri kwa pua za mwanaume halisi. Yaani lile jasho halisi la mwanamke na k yake ikiwemo.Usiombe ukutane na chupi ya Mwajuma ndala ndefu sasa
Kumbe ni tamuu ehhhUkipata muda uzisomee rafiki anza na hii ni nzuri sana!
Imebidi INSIDER amfungukie jirani kuwa sio wapenzi ni boss wake wakati jirani alikua akijua ni wapenzi na alikua akiwaonea wivu mwamba kaishia kujifariji kwa kunusa bikini ya boss wake.Kwakweli amejua kutunuanyasa !!Amemliza jamaa mwanaume katoa chozi kabisa [emoji4]!
alichofanya Sio poaaa asee!
acha ufala unajikuta mchangiaji kuquote episode nzima, huo ni umamaKmmk majanga juu ya majanga utanyooka[emoji23][emoji23]
Hawezi kuandika kila kitu jamani....anaandika yale ya muhimu tuSijawahi sikia umesimamishwa na trafik au kuandikiwa cheti wakati unazurula na gari daily au ngekewa ilikuwa inakubeba?
Yaani kweli wewe ni mshambaSijawahi sikia umesimamishwa na trafik au kuandikiwa cheti wakati unazurula na gari daily au ngekewa ilikuwa inakubeba?
Msenge wwEpisode ya 39.
Tunaendelea wadau.
.....basi bwana, kumbe baada ya kutoka kule Zanzibar, Irylin alihitajika haraka kwa mama mzungu (Mama Janeth) ili aunganishwe na mchongo mpya wa kazi katika shirika kubwa lenye hadhi, shirika ambalo wanaofanya huko ni wale wenye akili timamu wasio na asili ya kusoma kwenye Shule zenye upungufu wa matundu ya vyoo.
Kwa kuwa Irylin anamheshimu sana mama Janeth na anamchukulia kama mlezi wake, hakuona shida ya kukataa kwa sababu kabla aliwahi kudokezwa kuhusu mpango huo.
Kuhusu kumuaga Insider hakuona haja kwa sababu tayari Insider aliyafanya mambo yake kuwa siri.
Hivyo utaratibu ule ule aliyokuwa ametumia Insider, Irylin aliamua kupitia mle mle ili Insider aonje ugumu wa kufanya mambo kimya kimya.
************************
Kuhusu alipo Irylin na ni lini atarejea jumlisha mustakabali wa kazi....
Itaendelea na mtu asiguse komenti yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muongeze jingine