Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuna mtu humu ndani aliandika nilikuwa sina mipango ya maisha kama kufungua biashara nk, niseme sitaki kushare personal life yangu humu ndani ila nin miradi mingi ambayo nai run.

Kitu cha kwanza niliona kwanza ni busara wife akawa na miradi yake ili kupunguza dependecy kwangu, na hizi ni project ambazo tulizijadili na wife ilikua April, 2022.

IMG_3079.jpg

MCHANGANUO.

1. Biashara ya kwanza ilikuwa ni butchery ambapo wife angeuza Kuku, samaki, Mayai nknk, changamoto ilikuwa kuanza ni mahitaji mengi yangehitajika kuanzia frem, ukarabati, mashine nknk so cost zilikuwa kubwa sana, tukaipiga chini.

2. Biashara ya pili ilikuwa ni kuuza nguo za watoto na tulianza kufanya Research namna ya kupata suppliers wa mizigo nknk, mizigo ni China na Uturuki lakini kwa Uturuki kwa nguo za watoto wako vizuri. Ilibidi nimcheki jamaa yangu yuko Ulaya nilishandika baada ya kutoka kwenye ile taasisi yeye alikwenda Ulaya kusoma, sasa alikuwa ana connection za huko, niliomba anisaidie kufanya Research

IMG_2998.jpg

Changamoto ilikuwa ni mtaji wa kuagiza mzigo mkubwa, maana mzigo mdogo ungekata sana hata faida isingeonekana. Tukashauriana tuachane nayo tutadeal nayo baadae,

3. Biashara ya 3 ndo ambayo tunaifanya mpaka sasa na inafanya vizuri na ipo chini ya mchaga wangu mama J. Masuala ya fedha ofisi ipo Mbezi Beach pamoja na biashara ya Vinywaji ila zipo maeneo tofauti. Ukirefer post zangu za nyuma nilishawai kuja humu ndani kuomba connection za kreti na chupa za soda, ilikuwa kwaajili ya hii Biashara.

4. Biashara ya 4 na 2 Wife ana mpango wa kuja kuzifanya baadae akimaliza chuo.

Kuhusu mama J sina shida naye anafanya vizuri sana na ana akili ya biashara sana, anajitegemea kifedha ukiniuliza ni lini nimempa pesa za matumizi nimesahau. Matumizi ya home anatake care mwenyewe labda mimi niwe safari ndo nitakuja na Kuku, mafuta nknk ila pesa zitoagi.

Hata leo nikifa naamini Junior hata pata shida maana mama yake ni mchacharikaji atakuwa sehemu salama.

Mimi niliamua kuwekeza Dodoma ndo mpaka sasa na project zangu huku,

Mnaomdharau Mama J wangu kwenye hii story poleni sana, namuheshimu sana huyu mwanamke, anahudumia watoto church, anasoma bado anasimamia biashara na zinakwenda vizuri.

Leo hii baada ya kutoka church wife kanambia anataka December aaagize gari yake mwenyewe, nimefurahi sana baada ya kupata hizi taarifa.
 
View attachment 2768463

View attachment 2768476

Umeanza michambo kama mdada.
 
Story unaongeza chumvi sana
 
Kwa kweli mimi sio mtu anaeamini hii story ni ya kutunga lakini kuna vitu havimake sense kabisa hivi kweli mama wawili anakupigia simu saa 8 usiku mume wa mtu eti kwa sababu mtoto anaumwa, mbona hakumpigia baba wa mtoto si ni kwa sababu anajua ni mume wa mtu na anaheshimu hilo iweje wewe, na tena eti wewe ni mtu wake wa karibu ina maana kabla hajakutana na insider alikuwa hana rafiki wala mtu yeyote ambae angeweza kushirikiana nae kama hivyo.
Haya huyo Eva eti anasema alikuwa sahihi sio kweli hivi hata kama angekuwa rafiki yake wa kike best kabisa unamkuta sehem amekaa na mtu unaweza ukakaa tu na kuanzisha story bila wao kukukaribisha, angesalimia na kuondoka au kama angeona kuna ulazima sana kuongea nae basi hata angemuomba waongee pembeni kidogo na hapo
Kuhusu Eva amesema alikua kalewa ndio maana alikua anaropoka, ila kuhusu mama wawil kazingua sana, Insiderman apunguze mazoea na watu, anafanya watu wajipe umuhim kwake kuliko mama J.
 
tena kakukuta upo me jinsia ya ke, labda kama ya yy alikuwa anamtaka mwana, hata hvo hapana,
Kingine maelezo ya nyuma Eva ni mtu aliyekuwa anamuheshimu sana insider na Kumuogopa asingeweza kuanza kuropoka kiasi hicho.

Wakati anamuona insider Yuko na demu.
 
Kuna mtu humu ndani aliandika nilikuwa sina mipango ya maisha kama kufungua biashara nk, niseme sitaki kushare personal life yangu humu ndani ila nin miradi mingi ambayo nai run.

Kitu cha kwanza niliona kwanza ni busara wife akawa na miradi yake ili kupunguza dependecy kwangu, na hizi ni project ambazo tulizijadili na wife ilikua April, 2022.

View attachment 2768463
MCHANGANUO.

1. Biashara ya kwanza ilikuwa ni butchery ambapo wife angeuza Kuku, samaki, Mayai nknk, changamoto ilikuwa kuanza ni mahitaji mengi yangehitajika kuanzia frem, ukarabati, mashine nknk so cost zilikuwa kubwa sana, tukaipiga chini.

2. Biashara ya pili ilikuwa ni kuuza nguo za watoto na tulianza kufanya Research namna ya kupata suppliers wa mizigo nknk, mizigo ni China na Uturuki lakini kwa Uturuki kwa nguo za watoto wako vizuri. Ilibidi nimcheki jamaa yangu yuko Ulaya nilishandika baada ya kutoka kwenye ile taasisi yeye alikwenda Ulaya kusoma, sasa alikuwa ana connection za huko, niliomba anisaidie kufanya Research

View attachment 2768476

Changamoto ilikuwa ni mtaji wa kuagiza mzigo mkubwa, maana mzigo mdogo ungekata sana hata faida isingeonekana. Tukashauriana tuachane nayo tutadeal nayo baadae,

3. Biashara ya 3 ndo ambayo tunaifanya mpaka sasa na inafanya vizuri na ipo chini ya mchaga wangu mama J. Masuala ya fedha ofisi ipo Mbezi Beach pamoja na biashara ya Vinywaji ila zipo maeneo tofauti. Ukirefer post zangu za nyuma nilishawai kuja humu ndani kuomba connection za kreti na chupa za soda, ilikuwa kwaajili ya hii Biashara.

4. Biashara ya 4 na 2 Wife ana mpango wa kuja kuzifanya baadae akimaliza chuo.

Kuhusu mama J sina shida naye anafanya vizuri sana na ana akili ya biashara sana, anajitegemea kifedha ukiniuliza ni lini nimempa pesa za matumizi nimesahau. Matumizi ya home anatake care mwenyewe labda mimi niwe safari ndo nitakuja na Kuku, mafuta nknk ila pesa zitoagi.

Hata leo nikifa naamini Junior hata pata shida maana mama yake ni mchacharikaji atakuwa sehemu salama.

Mimi niliamua kuwekeza Dodoma ndo mpaka sasa na project zangu huku,

Mnaomdharau Mama J wangu kwenye hii story poleni sana, namuheshimu sana huyu mwanamke, anahudumia watoto church, anasoma bado anasimamia biashara na zinakwenda vizuri.

Leo hii baada ya kutoka church wife kanambia anataka December aaagize gari yake mwenyewe, nimefurahi sana baada ya kupata hizi taarifa.
Big up blood 🫡🫡
 
Kamanda

Kamanda, hongera sana kwa mapambano yako wakati bado ungali kijana.

Mawasiliano yako kama email ungeshare hapa maana nina jambo nataka unipe abc.
 
UONGO UONGO MWINGINE.

Yule Masai wa wavuvi camp alimpa laki 2 na iryn akaongeza laki 3 jumla laki 5.

Hata uwe Tajiri na exposure kibao hela hazitolewi ovyo kiasi hicho.
(Aka furahii sanaa )

haka kaneno nme kaona sana
 
Kuna mtu humu ndani aliandika nilikuwa sina mipango ya maisha kama kufungua biashara nk, niseme sitaki kushare personal life yangu humu ndani ila nin miradi mingi ambayo nai run.

Kitu cha kwanza niliona kwanza ni busara wife akawa na miradi yake ili kupunguza dependecy kwangu, na hizi ni project ambazo tulizijadili na wife ilikua April, 2022.

View attachment 2768463
MCHANGANUO.

1. Biashara ya kwanza ilikuwa ni butchery ambapo wife angeuza Kuku, samaki, Mayai nknk, changamoto ilikuwa kuanza ni mahitaji mengi yangehitajika kuanzia frem, ukarabati, mashine nknk so cost zilikuwa kubwa sana, tukaipiga chini.

2. Biashara ya pili ilikuwa ni kuuza nguo za watoto na tulianza kufanya Research namna ya kupata suppliers wa mizigo nknk, mizigo ni China na Uturuki lakini kwa Uturuki kwa nguo za watoto wako vizuri. Ilibidi nimcheki jamaa yangu yuko Ulaya nilishandika baada ya kutoka kwenye ile taasisi yeye alikwenda Ulaya kusoma, sasa alikuwa ana connection za huko, niliomba anisaidie kufanya Research

View attachment 2768476

Changamoto ilikuwa ni mtaji wa kuagiza mzigo mkubwa, maana mzigo mdogo ungekata sana hata faida isingeonekana. Tukashauriana tuachane nayo tutadeal nayo baadae,

3. Biashara ya 3 ndo ambayo tunaifanya mpaka sasa na inafanya vizuri na ipo chini ya mchaga wangu mama J. Masuala ya fedha ofisi ipo Mbezi Beach pamoja na biashara ya Vinywaji ila zipo maeneo tofauti. Ukirefer post zangu za nyuma nilishawai kuja humu ndani kuomba connection za kreti na chupa za soda, ilikuwa kwaajili ya hii Biashara.

4. Biashara ya 4 na 2 Wife ana mpango wa kuja kuzifanya baadae akimaliza chuo.

Kuhusu mama J sina shida naye anafanya vizuri sana na ana akili ya biashara sana, anajitegemea kifedha ukiniuliza ni lini nimempa pesa za matumizi nimesahau. Matumizi ya home anatake care mwenyewe labda mimi niwe safari ndo nitakuja na Kuku, mafuta nknk ila pesa zitoagi.

Hata leo nikifa naamini Junior hata pata shida maana mama yake ni mchacharikaji atakuwa sehemu salama.

Mimi niliamua kuwekeza Dodoma ndo mpaka sasa na project zangu huku,

Mnaomdharau Mama J wangu kwenye hii story poleni sana, namuheshimu sana huyu mwanamke, anahudumia watoto church, anasoma bado anasimamia biashara na zinakwenda vizuri.

Leo hii baada ya kutoka church wife kanambia anataka December aaagize gari yake mwenyewe, nimefurahi sana baada ya kupata hizi taarifa.
Hongera kwa kumpata mke bora Mwenyezi Mungu awe nanyi nawatakia kila la heri.
 
Stori ilianza ikiwa ya ukweli lakini baada ya kupata umaarufu basi jamaa kaamua kuiweka iwe na vitu vingi vya kutunga.

Leo ndio mara ya kwanza naweka komenti na ndio mara ya tatu ninaisoma juujuu na kuruka vitu vingi visivyo na muelekeo.

Ikishafikia hatua kama hiyo huwa naachana na muandishi.

Kila la kheri mnapoendelea.
Hili jamaa liongo sana yaani matukio ya irine ndio matukio yanatokea story ishakosa mvuto

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Noted[emoji106]

Noted [emoji106]

Noted [emoji106]..... Lara1 bado sijasoma thread zake ila kwa Analyse haina kubisha, huyu ni [emoji95][emoji95]

Ndani ya Kipindi kifupi nimesoma Threads nyingi sana baada ya hio comment [emoji115][emoji115] hapo juu. Aisee nimekuja kukutana na visa na Mikasa ni hatari ndugu zangu. Haya maisha yana vingi vya kujifunza yani si masiara ndugu zangu.
HAWA JAMAA HESHIMA SANA KWENU
1. leadermoe R. I. P
2. UMUGHAKA
3. LwandaMagere
4. JBourne59 Salute Sana Mzee wetu[emoji137][emoji137][emoji1672]
5. KigaKoyo
6. INSIDER MAN
7. Analyse
8. BM X6
9. konda msafi

Bado naendelea Kuzisoma kwa kasi sana nitazidi kuiongeza List. Very Inspiring Live Life Stories, Salute Sana!!!
Kuna na huyu Jack Daniel mwamba yuko vizuri mno mno
 
Back
Top Bottom