Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Msinifanye nicheke hapa. Engilsh, Chinese, french au lugha yeyote ni just lugha. Unaweza kujua kiswahili chako na ukawa na uwezo wa kuchambua vitu freshi tu. Kuna watu wamepata bahati ya kusoma shule nzuri na wengine wakakosa.
Pia shule nyingi za serikali kiingereza sio kipaumbele kabisa. Mimi binafsi nimekijifunza Kwa mbinde maana darasani Nilikua nazomewa but nilitamani kukijua.
Tusiondondoleane heshima kisa kujua au kutokujua vitu. Kikubwa tuheshimiane tu. Sisi ni madaraja ya watu wengine na pia Kuna madaraja yetu hata hatuyajui lakini tukiheshimu kila mtu tutakutana nayo huko safarini.
Hakika, umenena vema mkuu...ingawa wote tu binadam, ila twa tofautiana kwa namna moja au nyingine, natural selection nayo haijawai kutuacha salama, kujua au kutokujua kitu inategemea factors nyingi Sana, huwezi kujua tatizo moja kwa moja hivyo Ni heri kutokuhukumu negatively....Tulikuja hatuna kitu yamkini tukarudi hatuna kitu...it all about nature

Kama ulivyosema, Muhimu kuheshimiana Tu, kuulinda utu wa binadam mwenzako
 
Hakika, umenena vema mkuu...ingawa wote tu binadam, ila twa tofautiana kwa namna moja au nyingine, natural selection nayo haijawai kutuacha salama, kujua au kutokujua kitu inategemea factors nyingi Sana, huwezi kujua tatizo moja kwa moja hivyo Ni heri kutokuhukumu negatively....Tulikuja hatuna kitu yamkini tukarudi hatuna kitu...it all about nature

Kama ulivyosema, Muhimu kuheshimiana Tu, kuulinda utu wa binadam mwenzako
Ni kweli kabisa mkuu, heshima unayoihitaji wew kutoka kwa wengine, ndiyo heshima wanayostahili wengine kutoka kwako. It's very funny now days tunaishi maisha ya kishamba sana, tumeruhusu status zetu zitudifine mbele ya wengine na kusahau utu wetu ambao ni wathamani kuliko hivi tunavyovipa thamani.

Inafuraisha kuona kuwa mpo watu ambao mnaona thamani ya utu.
 
Sometimes we just ignore them. The world has got a lot of those people who look down on others. I am glad I was taught to respect everyone regardless of their status, position or place. In this regard we shall become truly human. Just forgive and ignore some of the content. People have got their inner battle and tend to just pour them on people.
Hakika..
 
Ni kweli kabisa mkuu, heshima unayoihitaji wew kutoka kwa wengine, ndiyo heshima wanayostahili wengine kutoka kwako. It's very funny now days tunaishi maisha ya kishamba sana, tumeruhusu status zetu zitudifine mbele ya wengine na kusahau utu wetu ambao ni wathamani kuliko hivi tunavyovipa thamani.

Inafuraisha kuona kuwa mpo watu ambao mnaona thamani ya utu.
Hakika mkuu, Pamoja sana
 
Hili la jamaa kubaini Renny alaombwa linanikumbusha back days in 2013 UDSM pale shato point kwa mbele kuna swimming pool, demu kaingia kuogelea kaniachia simu na mazaga zaga ingine, kuingia kwenye chattings zake na rafiki yake demu anamsifia jamaa kwa rafiki yake alivyokuwa anamsugua last weekend ( na kweli weekend alienda Upanga) nilipata tumbo la kuharisha gafla, mahusiano yalikoma siku hiyo, nimalizie kwa kusema, ni senge tuu ndio atamwamini mwanamke manina
 
Simulizi hii ingekua ni kisa cha kweli siyo irn tu na mama j pia kwa maisha ya shigongo wetu huyu angekua na msela na ipo siku shigongo angekuja kuzifuma meseji za kuliwa tu
 
Kale ni ka malaya kama umesoma episode za kwanza kwanza (6 au 7) na alimshamuonyesha mpaka text insider kipind wanaanza kujuana juana anampeleka kwenye issue zake za massage...mfano alishawah muonyesha request ya huduma full pamoja za sex Iryn akataja $10k, af akasema alitaja bei hiyo kubwa kama njia ya kumfukuza mteja..

Ila kwa wanaume tunajua tu, huyu manzi ni malaya.

Halaf kuchachua lilikua ni suala la muda tu, imagine ameachana Insider hana hata ubavu wa kumuhonga hata 1m per night, ni yeye tu anapewa sasa hapo kwa jamaa anatafuta nini..

Inshort anam keep insider na ni kama anamlipa fadhila kwakua alimvusha kipindi kigumu cha majonzi ya kufiwa na mama yake.. so ahe is paying him, no love hapo
Kabisa anadanga kisomi
 
Mkuu unakula bata hii dunia hakuna kama wewe. Huna baya mkuu hata kama ni uongo wewe ndio Umeshikilia MMU kwa sasa hizi stori zinahamasisha sana ngono yaani kila nikisomanwakumbuka ma ex wangu. Hata huku kwenye udalali tunakutana na Mabinti kama huko kwenye Ubber.

Na ukimaliza hii namimi nitaleta yangu huku Mkuu nishafanya udalali hadi wa kuwatafutia watu mashoga na wasagaji yaani hizi kazi nyingine njaa inakufanya Ufanye biashara yoyote ile.

Unakutana na demu wa mtu unamtafutia nyumba kiwanja au biashara nyingine na mwisho wa siku unamkula.

Unakutana na mwananume ameoa kabisa anakupa dili ukamtafutie mtu wa kumfi....
 
SEASON 02:
CHAPTER 16

“A TRUE STORY BY INSIDER MAN”

FLASHBACK
Nikiwa kwenye ratiba zangu za kila siku za kupakia na kuwashusha abiria kupitia Uber, kwa upande mwingine nilipigiwa simu na Iryn na aliniomba niende kwake Kijitonyama.

Baada ya kuwasili pale kwake, alinikabidhi bahasha kubwa ya kaki ambayo ndani ilikuwa na pesa nyingi tu na kwa hesabu ya haraka ni kama 50M na alinambia nizipeleke Masaki, nitamkabidhi dada anaitwa Asmah na alinipa namba zake.

Asmah nilikuwa simjui kwakweli, lakini kwangu mimi ilikuwa ndo mara ya pili nakwenda pale ofisini, mara ya kwanza kwenda ulikuwa ni utambulisho wa Iryn kwenye kampuni.

Nilitoka Kijitonyama na nilikwenda na uelekeo wa Bagamoyo Road nikaunga na Alli Hasan, huyo nika turn left kwenda na uelekeo wa Haile selasie road. Nilivyofika pale St. Peters kanisani nilimpigia simu Asmah kumpa taarifa na alipokea tukaanza maongezi;

Hello, mambo? Bila shaka naongea na Asmah.”

“Yes ni mimi, nani mwenzangu?”

“Mimi naitwa Insider nina mzigo wako kutoka kwa Iryn.”


Asmah baada ya kusikia Iryn alikuwa mpole ghafla,

“Ooh Iryn amekuagiza wewe mzigo? Karibu sana.

“Ahsante, niko hapa njiani nakuja na soon nitakuwa hapo.”

“Sawa wewe karibu.”


Ni sauti nzuri iliyokuwa ikisikika muda huu na baada ya kukata simu niliendelea kukimbiza gari kwa fujo sana.

Baada ya kuwasili pale Salon, mlinzi alinifungulia gate na nikaingiza gari ndani, na haikuchukua muda Asmah alitoka na alianza kuja usawa wangu.

Karibu sana.”

“Wewe ndo Asmah?”

“Ndo mimi karibu ndani.”


Aisee! yaani ningejua naongea na mrembo kama wewe shombeshombe, ningakata simu maana sina hadhi ya kuongea na wewe.”

Asmah alicheka pale na aliendelea kunisisitiza nikaribie ndani kwa maongezi zaidi na mimi nilimwambia palepale panatosha, kwani nina haraka na ratiba zingine.

Nilitoa ile bahasha nikamkabidhi na kwa upande wake alinishukuru, nikamwambia ampigie simu Iryn ili a-confirm kuwa amepata mzigo. Alifanya kama nilivyoelekeza na baada ya kuongea na Iryn, sekunde chache zilipita Iryn alipiga simu na alisema mzigo umefika nisiwe na wasiwasi.

Tuliagana na Asmah na nikasave namba yake, huyo nikaondoka na niliwasha App ya uber ili kuendelea kusaka requests.

Baada ya week kupita kipindi nasubiri request nilikuwa naangalia status za watu na niliiona status ya Asmah “Nikajisemea kumbe huyu shombeshombe amenisave” na palepale nikareply status yake na nilimtext “Hello shombe.”

Ilipita kama lisaa hivi alinijibu “Salama za wewe?”

Muda alionijibu mimi nilikuwa busy na baada ya lisaa kupita nilireply “Freshy unaendeleaje?”

Ilipita tena kama masaa 3 ilikuwa usiku tayari na alinitext “Hi.”

Bila kuchelewa nilireply na tulianza kuchati sasa,

MIMI: “Niambie shombe shombe.”

ASMAH: “😹😹😹😹😹😹😹
Mimi sio shombe bhana”

MIMI: “Toka tuachane ile siku l’m still f*cking thinking about you😭.”

ASMAH: “Karibu ofisini anytime mimi nipo.”

MIMI: “Bossy wako haniagizi huko, hataki nikuone mrembo.”

ASMAH: “Hujataka kuja tu dear, hiyo sio sababu.”

MIMI: “Siku nitakuja kwaajili yako

ASMAH: “Sawa karibu.”

Baada ya hii siku, bhasi tulianza kuzoeana pamoja na kuchati kwa kasi sana. Nilianza kumuuliza relationship status yake akanambia yeye ni single kwasasa, na yeye aliniuliza nikamwambia complicated.

Baada ya week kupita nakumbuka tulikwenda na Iryn pale saloon na mimi nilikaa nje kibarazani, nilikuwaga siingii ndani kabisa. Asmah alitoka kunikaribisha niingie ndani na alisema kwanini naishia nje?

Kwa upande wangu nilimwambia niko comfortable hapa nje kibarazani na tuliendelea kupiga story, japo alisema hana muda mrefu ataondoka.

Kipindi ambacho napiga story na Asmah muda huu Iryn alitoka ili tuondoke na alituona na Asmah tunaongea pale kibarazani maana story zilikuwa tamu. Ofcourse hata yeye alishangaa kuona kwa muda mchache nishazoeana na Asmah, hakusema kitu na alinipa ishara tuondoke.

May 2022 ndo nilimla Asmah kwa mara ya kwanza tena kimasihara na sikutegemea maana nilichukulia utani na akajaa kwa mfumo. Ilikuwa ni wiki moja nyuma kabla ya kwenda Zanzibar na Muajemi pamoja na Iryn.

Ilikuwa hivi, nilikwenda pale ofisini kama kawaida na that time nilikuwa ndo naanza kazi ya operation manager ila sikuwaga mtu wa kushinda ofisini zaidi ya kufanya delivery ya bidhaa.

Hii siku nilipeleka mzigo pale Masaki na nilikuwa napiga story na Asmah, sasa hii siku nilimwambia tunaondoka kwenda kupata dinna na alikubali maana alisema kamaliza majukumu yake tayari.

Ilikuwa saa 12 jioni na tulikwenda pale Levant kupata dinna na nilitumia nafasi hii kuanza kumtongoza maana alisema yuko single. Baada ya kumaliza kupata dinna nilimpa kampani ya kumpeleka kwake na baada ya kufika niliendeleza mashambulizi.

Kwa upande wake alisema nimpe muda wa kufanya maamuzi kwani hataki tena kurudi alikotoka. Nilimwambia kabla ya kuondoka anikiss na akawa mgumu dizaini kama ananionea aibu na mimi ndo kuanza mautundu yangu.

Nilikuwa namuomba game, lakini wapi alikuwa anagoma na nilikuwa nafanya kila kitu kasoro kushika apple lake. Baada ya kufanikiwa kuijua weakness point yake hapa ndo alilegea na nilianza kuchezea tunda lake, tukashuka kwenye gari kwenda ndani.

Licha ya kuingia ndani bado aliendelea kunipa upinzani, kwanu alikuwa hataki nimvue nguo na nilirudia mbinu zangu zilezile za mwanzo nikafanikiwa, ilikuwa ni kurupushani. Hatukuwa na game ndefu sana maana alisema muda huu dada yake ndo huwa anarudi na aliniomba niondoke haraka before it’s too late.

Baada ya hapo tulianza mahusiano ya siri sana, lakini hatukuwa serious na mahusiano yetu yaliisha kama mshumaa, na sikufanikiwa kumla tena kwa mara ya pili.


CONTINUE WITH CHAPTER 16

Nilitoa simu kumpigia na hakupoea simu zangu, maana nilipiga mara tatu bila majibu. Niliamua kufungua mails za ofisi ili nione kama kuna taarifa yoyote kutoka kwake, lakini hakukuwa na taarifa yoyote kutoka kwa Asmah,

Hilda kaendelee na majukumu yako, Asmah kakuzingua, kama kweli kaachishwa kazi lazima angenipigia simu.”

Nilichukua simu mezani na nilimpigia simu Iryn, hakupokea na nilimpiga mara 3. Nilimpigia tena simu Asmah, hakupokea pia, bhasi nikaamua kuendelea na majukumu yangu.

Baada ya saa 2 kupita hakukuwa na response yoyote kutoka kwa Asmah na Iryn, hivyo niliamua kumpigia simu Iryn kwa mara nyingine na muda huu alipokea,

IRYN: “Nenda kwenye point.”

MIMI: “Nadhani ushajua hii simu ni ya nini.”

IRYN: “Insider go straight to the point, sauti yako inanikera tu hapa.”

MIMI: “kwanini umemsimamisha Asmah kazi bila utaratibu? tena bila kunishirikisha? Amefanya kosa gani mpaka kumwachisha kazi?.”

IRYN: “Insider unaongea nini? Una uhakika unachoongea? Mpigie simu akuambie you are wasting my time.”

MIMI: “Acha dharau, huwezi kumuachisha kazi bila idhini yangu, tena umemuachisha kazi m bila kufuata kanuni na utaratibu. Unaleta mambo yako binafsi kwenye masuala ya kazi, hapa ndo unakofeli. Unakumbuka kwa Sumaiya ulifanya huu upumbavu na nikakuvumulia leo hii tena umerudia kwa Asmah….”

IRYN: “Insider….”

MIMI: “Kuna maana gani mimi kuwa manager kama unafanya maamuzi bila kunishirikisha. Asmah yuko expericenced unamtoa, hii nafasi nani atacava mapema? Unarudisha nyuma maendeleo ya kampuni.”

IRYN: “Hilda atacover, sioni sababu ya kucomplain kwa mtu aliyeacha kazi mwenyewe, unanipa maswali kuna something fishy kinaendelea kati yenu, kwanini umeumia sana?”

MIMI: “I don’t care, kufikia saa 8 mchana Asmah awe amerudi kazini, otherwise nakuachia kampuni yako.” Na nilikata simu.

Nilikuwa nina hasira sana kwakweli na kilichokuwa kinaniuma ni kwamba Asmah alikuwa yuko vizuri sana kazini na very experienced, alikuwa ana nicover sana pindi nakuwa sipo.

Nilisema naacha kazi, nianze kufanya mishe zangu na hapa nikawa napata mawazo ya kumtafuta Sia yule dada tuliokutana kule Cocobeach, lakini kwenye kumpata ndo kimbembe. Lengo langu kubwa niingie Kariakoo nianze biashara, siku ambayo nilikaaga na huyu dada alinipaga mawazo mazuri sana.

Nilianza kuandika barua ya kuresign position yangu, kwa upande mwingine simu ilianza kuita, ni Asmah alikuwa anapiga,

MIMI: “Hey, are you ok? Nini kinaendelea kati yako na Iryn?.”

ASMAH: “Nothing Insider.”

MIMI: “Upo wapi? Nataka nije tuongee.”

ASMAH: “Hamna haja wewe endelea na majukumu yako niko sawa.”

MIMI: “Asmah utanikera nambie ulipo ni muhimu sana.”

Baada ya kumbana ndo kunambia yuko Orysterbay, nikamwambia anitumie location ili niende tuonane.

Ilikuwa ni saa 7 za mchana na nilitoka pale ofisini kwa speed sana na huyo nikachoma mafuta mpaka Oysterbay kwa kutumia location aliyonitumia.

Baada ya kufika destination mbele yangu ilionekana jina la Organization ambayo jina lake halikuwa geni machoni pangu, na nilimpigia simu Asmah kumpa taarifa nimewasili.

Niliendelea kukaa nje ya geti na baada ya nusu saa kupita, Asmah alitoka akaja usawa wangu na alinipa ishara nishushe kioo cha gari,

ASMAH: “Insider nakusikiliza, nini unataka kuongea?”

MIMI: “Mbona sikuelewi naona umeshika bahasha, afu unampa taarifa Hilda kuwa umeachishwa kazi na mimi huniambiii, serious?”

ASMAH: “Mimi sijaachishwa kazi ila nimeamua kuacha.”

Sikutaka kuendelea kuongea naye sana,

MIMI: “Ushamaliza mambo yako?”

ASMAH: “Yeah nataka niende home kupumzika.”

MIMI: “Get inside nikupeleke tukaongee vizuri.”

ASMAH: “Hapana nita request wewe kaendelee na kazi zako, sahivi utakuwa na majukumu mengi.”

Niliona Asmah kama kabadilika haraka sana yaani leo hii ndo wa kunizingua namna hii?. Ilibidi nishuke kwenye gari na nilimnyang’anya ile bahasha aliyokuwa ameshika,

MIMI: “Kama unaringa nachana chana hii bahasha mbele yako afu tuone nani mjanja.”

ASMAH: “Insider please leave me alone.”

Na muda huu mlinzi alitoka akaanza kuja usawa wetu,

MIMI: “Asmah real?, sawa mimi nashukuru, chukua bahasha yako mimi naondoka.”

Asmah alianza kulia na mlinzi alikuwa kashawasili eneo la tukio,

MLINZI: “Dada kuna tatizo?”

ASMAH: “Tuko sawa.”

MIMI: “Mind your business na nilimshika Asmah mkono nikamfungulia mlango wa gari, then tukaondoka kwenda kwake.”

Nilitoka kwa speed sana maeneo yale na kipindi chote tuko njiani mpaka tunafika pale kwake hatukuwa tunaongea.

Tuliingia ndani na ile kufunga mlango wa sebleni nilimkamata nikamsukumia kwenye coach na nilianza kumpa makiss, lakini nilikuwa nakutana na upinzani wa hali ya juu sana maana alikuwa hataki.

ASMAH: “Insider naomba uniache tafadhali.”

MIMI: “Nataka Iryn ajue mimi nakupenda na nimekujua wewe before yeye.”

ASMAH: “But I can’t do, please.”

Nilikuwa namuelewa bhasi, japo alionesha kuwa serious sana na mimi nilifanikiwa kuanza kufungua vifungo vya shati yake, ila ndo kwa shida sana na kurupushani. Kurupushani ziliendelea pale seblen maana Asmah alikuwa hataki kabisa kuliwa na mimi niliendelea kukaza.

Nilifanikiwa kumkamata vizuri na nilimuweka begani tukaingia chumbani na nikamtupia kitandani, kwa upande wake alikuwa ameshaanza kuchoka na zile hekaheka za sebleni, alikuwa akihema sana.

Skin jeans aliyokuwa kavaa ndo ilikuwa inachelewesha mambo na nilianza kuifungua pale, ajabu alinikamata mkono akaanza kuning’ata, lakini hata maumivu nilikuwa siyasikii, ila nilikuja kuyasikia badae.

Nilifanikiwa kuishusha skin yake mpaka usawa wa kati wa paja zake na alionekana kuwa tepetepe, nikajisemea ina maana kurupushani zote hizi ndo zimemlowanisha namna hii?. Kwa upande wake alikuwa kashaanza kunipa greenlight ya kuendelea na mipango yangu na hata sikuchelewesha na kazi ikaanza, ilikuwa ni kuweka risasi kwenye magazine.

Tulipiga game ya muda mrefu sana hii siku asee maana ilikuwa ni vita ndefu sana, dizaini kama tulimisiana sana. Tulilala afu mida ya saa 12 tuliamka, tukaendeleza game mpaka saa 2 za usiku ndo kuachana na alikwenda kupika.

Kipindi tunakula tulianza maongezi na nilitaka kujua ni nini kinaendelea?

MIMI: “Sahivi unaweza kuongea sasa, Iryn amekuachisha kazi lini?.”

ASMAH: “Hajaniachisha kazi, ni mimi nimeamua kuacha na yeye ndo kuniomba niende kwenye organization.”

MIMI: “Sio kweli inaonesha umeforciwa ila hutaki kusema, ukweli.”

ASMAH: “Hamna, wewe ongea na mpenzi wako atakwambia na hii organization ni yake kama sikosei.”

MIMI: “Huwezi sema ukweli she manipulated you.”

ASMAH: “Ni kweli Insider siwezi kudanganya hili.”

Muda ulikuwa umekwenda sana, saa ilikuwa inasoma saa 4 kasoro za usiku, kimbembe kwenye simu nilikutana na missed calls za kutosha kutoka kwa Iryn na message juu iliyosomeka “Baby, please usiache kazi, pokea simu tuongee.”

Niliweka simu pembeni na niliagana na Asmah huyo nikaondoka kurudi home. Kipindi niko njiani nilihisi kwenye hii ishu ya Asmah lazima kuna mtu anahusika na nitafanya kila mbinu kumjua huyu snitch.

Baada ya kuwasili home nilikwenda moja kwa moja chumbani kulala maana nilikuwa nimechoka sana, ukizingatia nilikuwa nimetumia energy kubwa sana kwa Asmah.

Mida ya saa 6 usiku wife aliniamsha na sababu ya kuniamsha ni Iryn ambaye alikuwa anapiga simu za mfululizo,

MAMA J: “Iryn anakupigia simu usiku huu what do she want?.”

Nilivyosikia Iryn anapiga simu nilishtuka na niliona Iryn anazingua anataka nini usiku huu? Kama sio kutaka kunichonganisha na mke wangu,

MIMI: “Achana nae nitaongea naye kesho.”

MAMA J: “Unajua anapiga mara ya 4 hii, kwanini usimsikilize?, kama anashida utajuaje?”

MIMI: “Najua anachotaka kuongea wewe achana nae, hakuna ishu ya maana anataka kuongea.”

Muda huu simu ilikuwa imeita mpaka imekata na aliendelea kupiga kwa mara nyingine,

MAMA J: “Baba J sikuelewi kabisa na huyu Bossy wako, naomba upokee hio simu tutagombana.”

MIMI: “Bhasi pokea kama unataka kuongea nae.”

Wife si akapokea simu yake na akaanza kumuwashia moto pale,

MAMA J: “Hivi ni ustaarabu gani, unampigia mume wa mtu simu, tena usiku huu.?”

Waliendelea kuongea pale kama dakika 1 moja hivi na baada ya kumaliza alinigeukia,

MAMA J: “Anasema nikwambie usiache kazi, nini kinaendelea?”

MIMI: “Umeshindwa kumuuliza nini kinachoendelea, afu unaniuliza mimi? Embu niache nilale.”

Usingizi ulikuwa umekata kwakweli na nilianza kumuwaza Asmah kuhusu mustakabali wetu na kwa upande wangu niliona hakuna haja ya kuacha kazi, ukizingatia Iryn ana mimba yangu. Nilipanga asubuhi niende ofisini kwaajili ya kuliweka jambo sawa, ilibidi moyo wangu ukubali kuondoka kwa Asmah.
*****

Saa 12 asubuhi niliamka kwenda jogging, kuuweka mwili sawa na baada ya kurudi nilijiandaa nikaondoka kwenda Masaki. Nilitaka nimalize mambo yangu mapema ili niende nikaonane na Mzee Juma ambaye alikuwa akinihitaji tuonane pale kwake.

Kwa upande mwingine Lucy alikuwa kanipigia simu ile jana wakati niko na Asmah lakini sikuzipokea, hivyo wakati nakwenda ofisini nilimpigia. Kwa upande wake baada ya maongezi aliniomba tuonane na alisema anakuja Masaki ili tuongee.

Muda ulikuwa ni saa 3 za asubuhi wakati nakatisha chocho za mitaa ya Masaki na nilipata wazo nikaonane na Sumaiya ofisini kwake ili nijue na maendeleo yake kwa ujumla.

Baada ya kuwasili pale ofisini kwake tulioanana na alisema bado hajaanza kuendesha ile gari yake, kwani bado anafanya mafunzo. Nilimwambia akimaliza mafunzo aniambie ili twende wote barabarani nimbrash brash vizuri.

Niliondoka kwenda ofisini maana nilikuwa nimeshawatumia ujumbe Hilda na Rebby tutakuwa na kikao saa 5 asubuhi. Pale getini alikuwepo mlinzi na nilisema acha nipark gari ili tuongee vizuri maana alisema ana maongezi na mimi na sikufanya hivo kutokana na ratiba kuingiliana sana.

Nilikwenda kuonana na mlinzi pale getini na tulianza maongezi,

MIMI: “Nambie mzee wa kitengo.”

MLINZI: “Kazi yangu ni kuhesabu warembo wanaoingia na kutoka humu ndani, kuna siku nitabahatika na mimi.”

Tulianza kucheka pale kwa pamoja maana mlinzi alinifurahisha sana. Jamaa alisema ukweli mtupu, pale ofisini warembo wengi wanaingia na kutoka kwaajili ya kupata huduma na asilimia kubwa ni foreigners.

MIMI: “Usiende mbali sana kuna akina Rebby, Winny mbona wako vizuri?”

MLINZI: “Kaka shida ni hii jezi nayovaa, hakuna mrembo wa kunikubalia labda nikivua hapa naweza wadanganya. Rebecca kila siku anafuatwa na gari hapa nje, sio level yangu huyo mtoto labda Winny, lakini atanikubalia?”

MIMI: “Tuachane na haya, kuna jambo ulitaka tuongee lakini mambo yalikuwa mengi sana.”

MLINZI: “Naelewa Bossy wangu, unajua wewe ni mtu poa sana na unaishi na sisi vizuri kwa hili tunashukuru sana. Nje na kuwa Bossy wangu, pia ni mwanaume mwenzangu, kuna mambo nikiona yanakwenda kinyume, itakuwa si busara kama nitanyamaza.”

MIMI: “Nakubali upo sahihi, kuna jambo gani mkuu.”

MLINZI: “Unajua mimi mambo yanayoendelea humo ndani huwa siyajui, lakini kipindi uko Zanzibar ulitokea ugomvi mkubwa kati ya Asmah na Rebbeca. Walianza ugomvi hapo kibarazani na mimi ndo kwenda kuwasuluhisha, sababu kubwa Asmah alikuwa anamwambia Rebecca aache kumfutilia mambo yake, kwani hapendi tabia zake za kufuatilia maisha yake.”

MIMI: “Aisee hii taarifa sina mkuu.”

MLINZI: “Namjua Asmah vizuri sana, ni mtaratibu na muda mwingi sana yuko kivyake, kuona anagombana na Rebby ilibidi nisogee ili nijue tatizo ni nini, lakini sikuweza kujua tatizo.”

MIMI: “Hizi taarifa mpaka sasa sijui kabisa hata Asmah hajasema.”

MLINZI: “Rebby aliniomba nisiseme lakini nimeona kukaa kimya bila kutoa taarifa inaweza kuja kuleta shida baadae.”

MIMI: “Ahsante sana kwa taarifa, bad news Asmah hatuko naye, ameacha kazi ila kapelekwa ofisi nyingine.”

MLINZI: “Mbona ghafla sana? Ameshindwa hata kuniaga?.”

MIMI: “Atakuja kuwaaga msijali, nafikiri huu ugomvi ni moja ya sababu kuacha kazi, laiti ningelijua mapema huenda yasingetokea.”

MLINZI: “Bossy usikose raha sababu ya hili, sometimes Mungu anakuwaga na mipango yake, cha muhimu kuwa makini sana na huyo Rebecca. Mara nyingi huwa simuelewi pale anapokuwa na Dada (IRYN), nahisi kuna kitu kinaendelea.”

MIMI: “Nashukuru mkuu, nilikuwa na kikao na mama juzi, kuna gawio tutawapa kutoka kwa kampuni, ninakosa muda wa kwenda Bank, utampa taarifa dada.”

MLINZI: “Ahsante kiongozi tunashukuru sana kwa hili.”

Niliwaza pale huenda Asmah kaamua kuacha kazi sababu ya hii maana hapendagi chokochoko, kuhusu Rebeca nimeongea nae juzi tu hapa, ngoja nimuache, nitadeal nae in friendly way.”

Baada ya kuingia ndani niliomba kuonana na Hilda, pamoja na Rebby ili tuzungumze juu ya mabadiliko yaliyotokea. Nafasi ya Asmah nilimpa Hilda na kwa upande wa Rebby majukumu yake yalibaki vilevile ya kusimamia wenzake na kukusanya reports.

Kwa suala la reception nilimwambia Hilda aendelee kukaa mpaka pale ambapo tutapata mtu wa kucover ile nafasi na tutakuwa tukisadiana majukumu kwa kipindi hiki kifupi.

Baada ya kumaliza kikao chetu kifupi, Rebby alitoka na nilibaki na Hilda tukaendelea na maongezi. Hilda alisema alifanikiwa kuongea na Asmah na alimwambia sababu ya kuacha kazi ni ugomvi wake na Rebby, maana alimtamkia maneo mabaya.

Kipindi tunaendelea na maongezi yetu, Lucy aliingia ofisini na nilimkaribisha akae kwenye sofa na Hilda alitupisha akaondoka,

LUCY: “Nakuona Bossy wangu, pole sana kwa kuondokewa na mrembo Asmah.”

MIMI: “Nishapoa tayari.”

LUCY: “Sikutegemea kama ungekuja ofisini, kazi kumpa presha Iryn na unajua ni mjamzito, sio vizuri Insider. Iryn hausiki na Asmah hata yeye ameshangaa kutokana na maamuzi ya Asmah ndomana alimwomba aende ofisi nyingine.”

MIMI: “Iryn anahusika indirectly asingekuwa anamtumia Rebby kumchunguza Asmah haya yote yasingetokea. Sababu ya kuondoka kwa Asmah ni ugomvi wake na Rebby japo hajataka kufunguka sana, ukisema Iryn hausiki si kweli,”

LUCY: “Hii taarifa ni mpya nadhani Iryn hajui pia maana hajanambia kabisa.”

MIMI: “Hawezi kukuambia taarifa kama hizi, sababu ya ugomvi wao ni kwamba Asmah alichoka na chokochoko za Rebby ndo kugombana.”

LUCY: “Nitaongea na Asmah kwa hili, lakini Iryn anaomba upokee simu zake muongee.”

MIMI: “Ndo akaona bora apige simu saa 6 za usiku ili atugombanishe na mama J?”

LUCY: “Nafikiri sababu ulikuwa hupokei simu zake ndomana.”

MIMI: “Ofcourse nilikereka sana kwa hii ishu ila so mbaya ndo maisha.”

LUCY: “Insider unamtesa sana Iryn hujui ni kiasi gani anaumia kwaajili yako, afu you don’t care. Kumbuka amebeba kiumbe chako, wewe ni mambo mengi hueleweki unataka nini, acha kum-manipulate Asmah sio vizuri.”

MIMI: “Manipulate how?

LUCY: “Unachomfanyia Asmah ni kumtesa tu na kuumiza hisia zake mpe distance, kitendo cha kuwa naye karibu sana na unajua fika mnahistoria si vizuri. Mtoto wa watu anajitambua na wewe utaishia kumchezea tu na kuharibu maisha yake, please leave her alone.”

MIMI: “Nahisi kuna kamchezo mnenifanyia, anyway Asmah ni mtu mzima tayari na ana akili zake, anajua kukubali na kukutaa. Nashangaa kuona unaumia juu ya hisia za Asmah, wewe ndo umuache na maisha yake, siku zote mti wenye matunda ndo unapigwa mawe.”

LUCY: “What do you mean? Insider mimi siko huko kwanza mahusiano yako na Iryn mimi hayanihusu na sitaki kuonekana nawaingilia. But remember what’s goes around comes around, mimi nimekuja sababu nilitumwa nikupe taarifa hii.”

MIMI: “Nashukuru nimepata ila naomba umwambie Iryn aache kufuatilia moves zangu hapa ndo anakwama.”

Saa 6 za mchana niliondoka na Lucy kwenda Mikocheni, lakini nilimdrop kwanza ofisini, then nikaenda kwa mzee Juma.

Baada ya kuwasili kwa mzee nilikaribishwa ndani sebleni na alitoka baada ya dakika 10 na alisema tunakwenda moja kwa moja site, na tutamalizia kwa Jane.

Mzee alimuita camila na tulianza safari ya kwenda Bahari Beach na mimi nilikuwa nimetangulia mbele na IST yangu.

Baada ya kuwasili pale site ndo kwanza ilikuwa inafanyika levelling pamoja na vipimo. Mzee alikwenda kuongea na engineer na baada ya dakika chache kupita tuliondoka kwenda Mbweni.

Ndani ya muda mfupi break yetu ilikuwa pale nje getini kwa Jane na tulifunguliwa gate tukaingiza magari ndani. Jane alitoka kutukaribisha kwa upande wake hakutarajia kama nakuja na mzee Juma.

Baada ya kuingia seblen mimi nilikwenda jikoni kuangalia msosi, nilikuwa nina njaa sana na nilifanikiwa kupata wali na njegere, nikaanza kula kulekule jikoni.

Mzee Juma alikuwa anamuaga Jane kwamba tayari kamaliza likizo na anatarajia kuondoka ijumaa kwenda nje kwaajili ya majukumu ya kikazi.

Kwa upande mwingine simu yangu ilianza kuita na ile kuitoa mfukoni alikuwa ni Iryn akipiga na nilitoka nje kwenda kuipokea,

MIMI: “Hello bae.”

IRYN: “Insider una matatizo gani? Unaweza kunambia sababu za kunichukia?”

MIMI: “Kivipi?”

IRYN: “Sihusiki kwa suala la Asmah she made her decisions.”

MIMI: “Unahusika sana, Asmah ameondoka sababu ya kugombana na CIA wako, she was tired of Rebby's bullshit.”

IRYN: “Hili sifahamu na hakuna jambo lolote nyuma ya pazia linaloendelea kati yangu na Rebby ni wasiwasi wako tu.”

MIMI: “I don’t trust you.”

IRYN: “Duniani hakuna siri, kama kuna lolote mnafanya na Asmah nitajua na I promise, huyu mtoto hutakuja kumuona machoni pako, even me.”

MIMI: “Unaendelea na vitisho vyako, ugomvi wetu mtoto anahusikaje? Labda huyo mtoto sio wangu, ila kama kweli mimi ni baba yake kwanini nisimuone?”

IRYN: “Alright.”

MIMI: “Kingine, ukome kupiga simu usiku kama ulivyofanya leo, tafadhali sana.”

Maongezi yetu yalikuwa ni mafupi sana na nilirudi ndani.

Baada ya masaa 2 mzee aliaga anaondoka lakini kwa upande wangu nilimwambia bado nitaendelea kubaki na Jane maana tulikuwa tuna vitu vingi sana vya kuzungumza.

Baada ya mzee kuondoka tulianza kuzungumza suala lake la kukutana na mama mkwe wangu kuhusu kufungua biashara na nilimwambia jumapili tutaonana naye, kwani yeye hana shida na alisema muda wowote tumtafute, kwa jumapili ndo itakuwa vizuri zaidi.

Tuliendelea na mazungumzo na nilimuuliza kama Mary anakuja kwake na alisema juzi jumapili wameshinda wote siku nzima. Jane alisema aliongea na Mary kuhusu jambo letu na ameonesha sign nzuri ya kuyamaliza, na aliniomba sana tuyamalize mapema.

Mida ya saa 12 jioni, Asmah alinipigia simu na alisema anajiskia vibaya kama niko around nimpelekee Pizza na dawa, sikutaka kumkatalia na nilimwambia nitampelekea baadae kidogo.

Simu ya Asmah ilinivuruga sana na sikuona umuhimu wa kuendelea kubaki kwa Jane na nilimuaga naondoka, kisha nikaanza safari ya kwenda Upanga. Nilianza kupitia Mikocheni Plaza, nikanunua large pizza na juice ya minute maid nikaendelea na safari.

Nilivyowasili pale kwake nilikwenda straight kwenye apartment yake na niligonga akatoka kunifungulia mlango na alikuwa kajifunga taulo jeupe.

Baada ya kuniona alifurahi nikamkabidhi pizza yake na alianza kuila maana alionekana kuwa na njaa sana.

MIMI: “Nimetoka Mbweni kwaajili yako.”

ASMAH: “I thought utakuwa ofisini.”

MIMI: “Unasumbuliwa na nini?”

ASMAH: “Nahisi uchovu wa jana, nimeongea na doctor ndo akanambia ninywe hizi pills.”

MIMI: “Kwahiyo umemwambia doctor kuwa jana ulit****na sana?”

ASMAH: “Insider acha ushenzi wako bhana.”

MIMI: “Naomba unambie sababu ya ugomvi wako na Rebby ni nini?”

ASMAH: “Rebby ni mshenzi tu, achana naye ni mambo yaliyopita sitaki kuyazungumzia.”

MIMI: “Sawa twende chumbani huenda huko utaongea vizuri.”

ASMAH: “Chumbani kufanya nini?”

MIMI: “Leo nalala kwako, nataka nikaoge na wewe utaniogesha leo, kama hutaki sema ili niondoke.”

ASMAH: “Tangulia nakuja.”

Mimi niliingia bafuni kuoga na ile kutoka namkuta yuko kitandani amekaa, nilimuomba taulo alilokuwa amejifunika na ile kujifungua alikuwa full naked. Ustaarabu ulinishinda na palepale nilimkamata tukaanza show show mpaka tukalala, mida ya saa 6 za usiku ndo nikarudi home.
*****

Asubuhi nikiwa ofisini nilipigiwa simu kutoka kwa Iryn na alinipa taarifa ya kuja Dar kesho ambayo ni alhamis.

Pia, nilifanya mawasiliano na mama Janeth kuhusu gap la dada wa pale reception na alinipa go ahead ya kutafuta dada wa kureplace nafasi ya Asmah. Mama alisema yuko safari na kama itatokea sijafanikiwa kumpata mtu, bhasi atanisaidia kutafuta mtu wa kureplace.

Sikuwa katika mood nzuri ya kukaa pale ofisini na niliondoka kwenda Cocobeach kufikiria mustakabali wa maisha yangu.

Nilikwenda kukaa palepale kwa siku zote na jamaa alikuja kunisikiliza,

“Tajiri mambo vipi, huonekani sikuhizi.”

“Salama tajiri, sema nimekuwa na mambo mengi sana ila tupo pamoja kama hivi.”

“Wewe ni mteja wangu nisipokuona nakuwa nawaza labda nimempoteza mteja.”

“Hapana bossy wangu mimi ni wako hili ondoka shaka.”

“Shemeji nae ni kitambo sana ujue, yupo kweli?”

“Yupo masomoni ila this time akija nitamleta, vipi kuhusu yule dada yetu hajajaga tu?”

“Kaka ukweli sijawahi kumuona kabisa kapotea kama jini. Vipi ulikuwa una shida naye?”

“Nina shida naye sana.”

“Ikitokea kaja mimi nitakushtua tu.”

“Haina noma, niletee Heineken 3 na mishikaki.”

Baada ya jamaa kuondoka nilianza kuwaza kuhusu Asmah na niliyakumbuka maneno ya Lucy vizuri sana. Niliona Asmah kaanza kukolea tararibu, mwisho wa siku atajaa mazima na nitamuweka mtoto wa watu kwenye wakati mgumu, lakini sikuwa na choice.

Niliendelea kukaa Coco mpaka mchana nikarudi ofisini tena kuangalia maendeleo na nilikuta mambo yanakwenda sawa, Hilda kwa upande wake alikuwa anaupiga mwingi sana.

Nilimuaga Hilda nikarudi home na baada ya kuwasili nilimkuta wife anajisomea chumbani, tulisalimiana na story zingine zikaendelea. Kwa upande wake aliniomba nimfundishe kuendesha gari, niliona ameongea jambo la muhimu na nikamwambia aanze kwanza na driving school, nitampa pesa.

Kwa upande wangu nilikuwa ninawaza namna ya kumpiga sound kwa siku ya kesho ambayo Iryn anakuja. Nilimwambia wife nitakwenda Zanzibar kwa mara nyingine tena na sitokawia kurudi, kwa upande wake hakuwa na tatizo.
*****

Alhamisi saa 6 mchana nilikwenda Mikocheni na nilimwomba Lucy anipe kampani, bila kumwambia tunakwenda wapi. Lucy alisema nimpe dakika 10 ajiweke sawa ili tuondoke, japo alitaka kujua ni wapi tunakwenda.?.

Tulianza safari ya kwenda Airport na kipindi tuko Morocco, uvumilivu ulimshinda akaomba kujua ni wapi tunakwenda?. Nilimwambia tunakwenda Airport kumpokea mgeni wangu, nilitaka iwe surprise.

Saa 8 kasoro za mchana tulikuwa tumewasili tayari pale JNIA Terminal 3 na tulikaa kwa pale nje tukipiga story za hapa na pale,

MIMI: “Iryn anasemaje kuhusu Asmah.”

LUCY: “Anasema anafuatilia akijua ukweli, atakuacha na maisha yako. Ni kweli hakuna kinachoendelea kati yenu? Be honesty Insider.”

MIMI: “Nothing kinachoendelea mummy.”

LUCY: “Mmh sawa, mwenzako anafanya investigation.”

Simu yangu ilianza kuita na alikuwa Asmah akipiga na baada ya kupokea taarifa kubwa aliniomba badae niende kwake, pia anajifikiria this summer kurudi shule.

15:00 Iryn aliwasili pale Airport na baada ya Lucy kumuona akitoka ndani alikwenda spidi wakakumbatiana maana ilikuwa ni surprise, hata Iryn naye hakutegemea kama ningeenda na Lucy.

Kwa upande mwingine tumbo lake lilikuwa linazidi kukua taratibu na alizidi kuonekana kuwa mrembo zaidi.

LUCY: “Wifi yangu leo mmeamua kunifanyia surprise?”

IRYN: “Hata mimi sikujua kama unakuja na Insider.”

LUCY: “Unazidi kung’aa na kuwa mrembo.”

IRYN: “Bhana Lucy huoni nimechoka hapa, mtoto ananichosha, baba yake naye bado mambo mengi ni shida.”

MIMI: “Guys let’s go.”

Tuliondoka kwenda Serena Hotel na baada ya kufika, tuliacha mabag tukaondoka kwenda Masaki.

Tulikwenda na Haile Selasie road, tukaenda kutulia Lock & Barrel, tangu tumetoka Airport mpaka tunafika pale hatukuwa na maongezi yoyote na Iryn,

MIMI: “Mummy unakwenda lini Ethiopia?”

IRYN: “Nitaondoka kesho jioni.”

LUCY: “Na kurudi?”

IRYN: “Jumapili nitarudi, sidhani kama kutakuwa na mambo mengi.”

MIMI: “Unafanya guessing, suala la kuwa na mimba mpaka uende Ethiopia hii sio nzuri.”

LUCY: “Kwamba walishindwa kukuelewa mpaka uende huko?”

IRYN: “Kumbuka wale ni kama wazazi na walezi na ndo ukoo wangu, kwa jambo kama hili ni busara nikaenda.”

MIMI: “Mzee ana kazi gani? Mimi nilitegemea yeye ndo angekuwa na uzito kwa hili.”

IRYN: “Mzee hana shida, lakini kumbuka mama mkubwa ndo kama mama kwangu, siwezi kumdharau ndomana hata nikiwa kwake nina behave kama mtoto.”

MIMI: “Ni sawa lakini wewe umeshakuwa mtu mzima tayari, una maamuzi yako na wanatakiwa kuheshimu. Umekuja Dar naomba umwambie mama Janeth kuhusu ujauzito wako before it’s too late.”

IRYN: “Mama nitamwambia lakini sio leo.”

LUCY: “Mpenzi, Insider yuko sahihi ujue, ili kuondoa sintofahamu zitakazoweza kutokea hapo baadae kati yake na mama.”

IRYN: “Sawa nitaangalia namna ya kudeal naye. Insider kilichofanya unichukie ni nini?”

MIMI: “Wewe unajua sababu ni nini.”

IRYN: “Asmah kanipigia simu anaacha kazi na hasemi sababu, ikabidi nimwombe aende kwenye organization ndo akakubali.”

MIMI: “Tatizo unamfuatilia sana mtoto wa watu acha hizo mambo, sijui unashida gani.”

LUCY: “Unajua Insider alikuwa anajua wewe ndo unahusika kwa 100%, ukizingatia Asmah ni mshikaji wake wa karibu. Naona myamalize haya, sioni sababu ya kuendelea kuliongelea hili suala na kumuwazia vibaya.”

IRYN: “Actually nilijua Insider ana hasira ndomana nilinyamaza kimya.”

Saa 2 za usiku tuliagana na Lucy maana alisema anakwenda kwanza ofisini kuweka mambo sawa, then aende home na sisi tukaondoka kurudi hotelini.

Baada ya kuwasili hotelini aliingia washroom kuoga ili akitoka tuanze kuongea kuhusu habari za kwenda huko Ethiopia.

Baada ya kutoka tulianza kupiga story,

IRYN: “Baby, jumatatu tulikuwa tuna Corporate networking event kwa wanafunzi wote wa faculty za biashara and I was executive speaker, watch my speech and rate me.”

Alinipa simu yake na nilianza kuangalia ile speech yake afu alikuwa kapendeza sana na confidence ya hali ya juu. Ilikuwa ni speech nzuri ambayo alikuwa anawaambia colleagues kuhusu mbinu mbalimbali za kuwa good manager.

Ilikuwa ni speech nzuri sana ambayo ilipostiwa youtube kwenye account ya chuo na chini yake kwenye comments alipata replies nyingi sana ambazo zilikuwa zikimsifia kwa ile speech na nyingine zilimpa sifa kwa uzuri wake aliobarikiwa.

Wakati nasoma zile comments nilikuwa nacheka sana maana zilikuwa zinafurahisha kuzisoma. Muda huu Iryn alikuwa busy na laptop yake maana aliniomba amalizie kazi yake ya chuo ili tuanze kuongea.

Sijui ilikuwaje nilijikuta naanza kuangalia simu yake na nilianza kuangalia picha zake, then nikafungua whatsapp nikaona kuna namba anachati nayo lakini haijaseviwa. Na kilichonishtua ni baada ya kusoma text ya mwisho kutoka kwa jamaa aliyokuwa ameandika “Take care I will see you tomorrow.”

Baada ya kufungua na kusoma zile conversations zao ndo kujua hawa watu wapo kwenye mahusiano. Nilijikuta naanza kuumia maana sikuamini kama kweli Iryn ananicheat na ana mtu mwingine zaidi yangu….

TO BE CONTINUED WITH CHAPTER 17
I think she is not cheating but the guy she is chatting with is GAY
 
Mkuu unakula bata hii dunia hakuna kama wewe. Huna baya mkuu hata kama ni uongo wewe ndio Umeshikilia MMU kwa sasa hizi stori zinahamasisha sana ngono yaani kila nikisomanwakumbuka ma ex wangu. Hata huku kwenye udalali tunakutana na Mabinti kama huko kwenye Ubber.

Na ukimaliza hii namimi nitaleta yangu huku Mkuu nishafanya udalali hadi wa kuwatafutia watu mashoga na wasagaji yaani hizi kazi nyingine njaa inakufanya Ufanye biashara yoyote ile.

Unakutana na demu wa mtu unamtafutia nyumba kiwanja au biashara nyingine na mwisho wa siku unamkula.

Unakutana na mwananume ameoa kabisa anakupa dili ukamtafutie mtu wa kumfi....
Shusha uzi huo kaka
 
Back
Top Bottom