Jinsi biashara ya uchuuzi wa samaki ilivyonipa msoto wa hasara

Ndege mwarabu/Joni

Screenshot_20200513-191421_1589386492071.jpg
 
Watu wengi hawajui mtaji namba moja ni uaminifu. Kitendo cha kulipa hata laki mbili kwa rafiki wakati umepata hasara inaonesha uaminifu wako
jamaa tulipambana wote nisingeweza kumuacha ivivi nayeye pia alionyesha uaminifu mkubwa kwangu
 
Mkuu ulivosema ndege John umenikunbusha TURIANI, MORO watu wa huko wanawakaanga vzuuur wanakula

Ndege john ukiwaona tu kwanz unaogopa maana wana shingo ndefu na mdomo mrefuu hatar lkn watu wanakula hvhvo

Wenyew wanakwambia wataamu sana[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
duhh, mkuu isikute ndio wale wanatuuzia kwenye mabasi yanayopita Moro, wanaita nyama pori
 
😂😂😂😂mimi niliwa kuuziwa nyama kunguru wale wakubwa ilikaangwa vizuri sana vitunguu swaumu vimekolea na chumvi atari ilo paja lake nikubwaa nilifaidi lakini tumbo badae lilinisumbua sana ndio badae nikapata stori kuwa hayo maeneo wauza kunguru.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi niliwa kuuziwa nyama kunguru wale wakubwa ilikaangwa vizuri sana vitunguu swaumu vimekolea na chumvi atari ilo paja lake nikubwaa nilifaidi lakini tumbo badae lilinisumbua sana ndio badae nikapata stori kuwa hayo maeneo wauza kunguru.
Ohooo, mimi nilikuwaga nayatamani hasa vile viungo wanavyoweka mnasikia harufu basi zima lakini sijawahi kuthubutu kuwala maana wanasema ni mandege pori ila hawasemi ndege gani,
 
😂😂😂😂 ukijichanga unauziwa adi mbwa utaambiwa mbuzi mimi binafsi kwasasa sinunui nyama nikiwa ninasafiri
 
wa kupuliza, post: 35347115, member: 88736"]
Anadhibitiwaje mkuu?
kwa nyakati za mchana rahisi ni muoga wa kutegwa kwa hiyo mfano utaki sehemu yako akaribie unachukua kamba za katani au manyila(manila) unazungushia sehemu husika za kutosha.

Hapo hawezi kuvuka izo kamba anaogopa anadhani ametegwa nawewe unapumzika kumfwatilia unafanya mambo mengine lakini giza ikiingia hawaoni vizuri watavuka tu[/QUOTE]
 
jamaa tulipambana wote nisingeweza kumuacha ivivi nayeye pia alionyesha uaminifu mkubwa kwangu
Kuna kitu kimoja labda hukua unakifahamu. Biashara nyingi hua zinaanzaga na mtindo wa "U- Curve". Yaan sababu una mtaji utaanzia juu ila unapoanza kuwekeza au kuutumia ule mtaji utashuka.

Kushuka huko pia kutachangiwa na Changamoto mbali mbali za Ugeni was kazi au hiyo biashara pia.

Ukishai-master hiyo biashara na mtaji umeanza kurudi ndio Curve Sasa inaanza kupanda.

Story yako inaonyesha kua biashara yako ilipitia kwenye mfumo huo ambao biashara nyingi zinapitia. Lakin cha kusikitisha Ni kua pale ambapo curve ilikua inaanza ku turn kuelekea juu ndipo nawe ulipoamua kuacha.

Trust me ungeenda safari zingine mbili tatu baadae ungekua hata na faida Mara mbili au zaidi ya mtaji wako.

Kuna mitihan na Changamoto mbalimbali ambazo ulizimudu kuzikabili, Ni wazi kua ungefanikiwa tu. Na nina uhakika kila siku ulikua ukijifunza Jambo jipya juu ya hiyo business, hivi leo ungekua expert Sana.
 
umesema kweli 100%🙏🙏🙏
 
Mkuu mwaka huu kama Mungu akipenda namaliza Chuo saving zangu kutokana na bumu nilifanikiwa kufikisha kama laki 9, kutokana na ili janga la corona Nipo home tu so nimekaa nyumbani cha zaidi naitumia tu hiyo Hela siingizi chochote naomba kama huko tayari au ukirudi kuanza hio biashara unambie tuungane wote sina experience yoyote nataka nipate experience kwa kuona kabisa sio kwa kusikia .
 
mkuu ni kweli nafikilia kurudi lakini kwa sasa ni ngumu kuacha ninachokifanya kwa haraka kama unavyo itaji wewe
 
Sawa mkuu ukiwa tayari unaweza ukaniambia nimebakiza semister moja kumaliza Chuo nahisi hata mwezi wa 9 huko mambo yatakua mazuri
 
Back
Top Bottom