Jinsi biashara ya uchuuzi wa samaki ilivyonipa msoto wa hasara

hapana hazina soko sana kwa Songea,kwasababu ya bei wamezoea kula samaki kavu na za bei ya chini,
Samaki za bahari zipo juu na zina maeneo yake.
Aah bora umenipa maoni yako mkuu, maana kuna ndugu yangu amehangaika na bahasha za kuomba kazi basi nimewaza nimsaidie kufungua duka la samaki sasa moja ya sehemu niliyoifikiria ni Songea ili akifanikiwa pia ajiingize kwenye fursa nyingine maana nilipotembelea Songea niliona ni wakulima wazuri.

Ila nilikuwa bado sijafanya survey ya soko ndio maana nikaomba uzoefu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nitalazimika niwaze idea nyingine maana ninataka awe Songea ili akizoea na tukiendana tutekeleze mambo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaweza kumuanzishia duka la samaki wabichi "Fresh Food Shop" lakini ni wa ziwa,kambale,perege pia unaeza kuongeza na wa bahari kwa uchache,
nikweli songea ni wakulima wazuri wanalima sana mazao ya biashara na chakula pamoja na mboga mboga shida yao ni kitoweo.
 
Ahaa wapi.
Polisi wa Tanzania akikupiga mkono tu.
Hata kama gari lako ndo umenunua leo jipyaaa.
Hakosi KOSA lazma akukwangue.
 
Ahsante sana mkuu kwa mawazo yako muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila katika habari yako yote mimi nimepapenda PALE KIDONGO CHEKUNDU KWA WATOTO WA KIMBULU.
wengine sie vibarua vyetu vya kukaa sehemu moja ila ipo siku nitakwenda kutalii.
Ahsante mkuu,kukata tamaa ni mwiko.
 
Ila katika habari yako yote mimi nimepapenda PALE KIDONGO CHEKUNDU KWA WATOTO WA KIMBULU.
wengine sie vibarua vyetu vya kukaa sehemu moja ila ipo siku nitakwenda kutalii.
jitaidi ukajionee
Hapana chezea watoto wakimbulu wanavutia alafu ni rahisi kuwa nae wakikuitaji hata hupati shida yoyote maneno yako tu, nililala nilikula,niligegeda safi kabisa kupoza stress za safari.
Pia wakati tupo pale tulimkuta mzungu alienda kufanya research ya magonjwa ya mazao ya mbogomboga basi bwana alichanganikiwa na mtoto mmoja hivi wakimbulu aliomba adi kupiga nae picha alitamani kuondoka nae,
ndio kwa mara kwanza kuona white anaomba picha na mwafrika mwana kijiji
 
Mkuu Polisi wetu ni vichwa Panzi anaweza kukuchelewesha masaaa 8 baadae amegundua vibali viko sawa anakuruhusu, ashakutia hasara utalalamika wapi
 
Ntatoka siku moja.
Hizi kazi za dukani sio.
Muda wote upo sehemu moja.
 
Kumbe ndege John fala sana yaani yy kazi yake kuharibia watu ndege JOHN sio poa mwangu kula samaki wa mshkaji fala wewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huo ndio uanaume sasa

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Ukifuata sheria zote utachelewa sana kutoka kimaisha muda mwingine mkato unasaidia.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…