Jinsi ccm inavotumia watoto wa kimaskin kujaza mikutano yao.

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Kama itakua unafatilia kwa makin mikutano ya ccm basi utagunduq asilimia 40 au zaidi ni watoto

Watoto hawa wa kimaskin hukatizwa masomo yao shulen na kupelekwa katika mikutano wakati watoto wao wapo feza na international school zengne wanasoma
 

Attachments

  • IMG-20250906-WA0011.jpg
    50.8 KB · Views: 28
Hawa watoto wako livu. So ajabu wakienda kwenye mkutano.
 
Siku hizi kila mtoto wa MASIKINI anajiita YUVISISIEMU, Wanahisi ni Ajira.
 
Ccm ni genge la wahuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…