Hii timu ilishajifia kitambo ila kabla ya game jinsi inavyosifiwa mitandaoni unaweza dhani ni Young africans sc inacheza, kumbe kiuhalisia ni ukolo mtupu! Kuondoka kwa tajiri Abramovich litaendelea kuwa pigo!

Laana ya kumnyang'anya timu Abromovic Ila yanga haijafikia hata level ya kufananishwa na Esperance halafu wanairukia Chelsea kweli huko wenye akili ni watatu ukiongeza Mzee Magoma.