Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Naona ngoma umefast forward umekimbilia kwenye kauli za kisiasa. Toka mpango uanze je kuna graduate ishawatoa?biashara zao wenyewe wakiwa wangali shuleni jambo linalo pungruza ukosefu wa ajira kwa wanafunzi wamalizapo elimu ya chuo kwani huendelea na Biashara zao walizozianzisha wakiwa chuoni.
Hili lingekua lengo la kila chuo ingekua poa sanaChuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) kimekuwa chuo cha mfano katika kuhawilisha teknolojia kwa wanafunzi.
Chuo hiki kinahakikisha mwanafunzi anapoingia chuoni hapo anapeleka wazo la biashara/kampuni yake anayotaka kuifungua na chuo humsaidia katika usajili na uendelezaji wa wazo hilo la biashara.
Wanafunzi huunda kampuni na kuendesha biashara zao wenyewe wakiwa wangali shuleni jambo linalo pungruza ukosefu wa ajira kwa wanafunzi wamalizapo elimu ya chuo kwani huendelea na Biashara zao walizozianzisha wakiwa chuoni.
Rafiki yangu Meneja Wa Makampuni najua unajua kuwa nakuheshimu sana embu achana na hizo habari bwanaChuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) kimekuwa chuo cha mfano katika kuhawilisha teknolojia kwa wanafunzi.