Rcrusso Jr
Senior Member
- Jul 26, 2020
- 184
- 421
Kwa hiyo mnataka kumaanisha elimu ya sekondari ni ngumu kuliko ya chuo kikuu?
Kama ndivyo basi kuna tatizo kubwa katika elimu yetu
Anarisiti vipi wakati hajawahi kusiti? Asiti kwanza akichemka ndio arisitiSasa si afanye mtihani wa form four apate hicho cheti anaogopa nini kurisiti.
Kurisiti?Sasa si afanye mtihani wa form four apate hicho cheti anaogopa nini kurisiti.
Yes ni scam, apate cheti cha form 4 tuoneGPA ya 4.8 ni scam. Hiyo unaweza kuipata kwa kupewa tu na siyo kukaza pindi ukaipata.
Fedha sio kila kitu, huoni hadi leo kunamuuma kuzuiwa udsmKwamba shule imekua nyepesi hivo??
Ndugu zangu, ndugu zangu, ndugu zanguu
Hebu acheni Utani na shule aiseee, Acheni utani
Fwedha ni jawabu la mambo yote
Atagonga zero kali sana ibaki stori. NECTA siyo UE ambayo maprofessor wanaangalia sura.
Nilimaanisha akae km private candidate asitake tufanane yeye abaki tuu na cheti chake cha GPA 4 8 wambakishe afundishage hapo hapoAnarisiti vipi wakati hajawahi kusiti? Asiti kwanza akichemka ndio arisiti
Elimu ya A-level ni ngumu kuliko ya chuo kikuu.. hasa hizi P's combinations.. PCB, PCM, PGM..ni balaaKwa hiyo mnataka kumaanisha elimu ya sekondari ni ngumu kuliko ya chuo kikuu?
Kama ndivyo basi kuna tatizo kubwa katika elimu yetu
Hongera kwake Erick Shigongo.Huu utaratibu hata Ulaya upo, mradi uwe na miaka 21 na unajua kusoma na kuandika. Lakini kuna course unaifanya kwa mwaka mmoja kupata credits za kuingia chuo. Katika hiyo course unafundishwa jinsi ya kuandika essay, kupeleka assignments, hesabu na Lugha ya kufundishia katika nchi uliyopo.
Inaweza kuchangia watu kukwepa sekondari na kurukia chuo.huu mfumo wautangeze zaidi hao tcu kuna darasa la7 wengi tu now ukiwaingiza chuo wanatoka na degree nzuri tu kuliko walio kwenye mfumo rasmi..
pia vyuo vyote nchi vinapaswa kujua elimu ni kitu cha muhimu na kama mtu anataka kusoma kujiendeleza zaidi basi wampokee kwa mikono miwili na wamuelimishe ili awe msomi mzuri..
elimu sio dhabi au sio lazima uwe na elimu ya form 4 kama hapa kwetu ndio ujulikane ulisoma isiwe hivyo wanataaluma wa vyuo vikuu mnapaswa kuja na njia tofauti tofauti ili kuhakikisha watu wengi zaidi wanapata fursa ya elimu kama wanauwezo huo.
Ukizingatia lugha ya kufundishia ilimpa shida, kama grammar inampa shida amiwezaje kuandika essays za kumpa GPA 4.8!Hongera kwake Erick Shigongo.
Hata hivyo, kuna jambo haliko sawasawa, kupata GPA ya 4.8 siyo kitu cha kawaida. Ni wanafunzi wenye uwezo mkubwa sana darasani ndiyo wanafaulu kwa kiwango hicho, Shigongo anasema alikuwa anapata si zaidi ya 25% akiwa shule ya msingi, yeye ni mwanafunzi wa kawaida. Na hii inakinzana sana na matokeo yake ya shahada.
Ndio! Chuo kikuu una specialize taaluma fulani, unasoma zaidi mambo yanayofanana.Kwa hiyo mnataka kumaanisha elimu ya sekondari ni ngumu kuliko ya chuo kikuu?
Kama ndivyo basi kuna tatizo kubwa katika elimu yetu
Umewahi kuisikia english ya marehemu profesa msaki.Inategemea na Phd ya nini! Kama ni ya sayansi hapo sawa lakini siyo huko kwa malingust
Darasa la Saba umpeleke akasome hayo mambo yao ya journalism Ila vyuo vinavyojitambua haviwezi kumchukua mtu ambae hajapitia mfumo rasmi wa kujiunga na chuo kikuu. Aende udsm akasomee engineering au udaktari wa la Saba hatobi au aende SUA akasomee vet sciencehuu mfumo wautangeze zaidi hao tcu kuna darasa la7 wengi tu now ukiwaingiza chuo wanatoka na degree nzuri tu kuliko walio kwenye mfumo rasmi..
pia vyuo vyote nchi vinapaswa kujua elimu ni kitu cha muhimu na kama mtu anataka kusoma kujiendeleza zaidi basi wampokee kwa mikono miwili na wamuelimishe ili awe msomi mzuri..
elimu sio dhabi au sio lazima uwe na elimu ya form 4 kama hapa kwetu ndio ujulikane ulisoma isiwe hivyo wanataaluma wa vyuo vikuu mnapaswa kuja na njia tofauti tofauti ili kuhakikisha watu wengi zaidi wanapata fursa ya elimu kama wanauwezo huo.
Tena angemkuta ndalichako ndo katibu mkuu mamaa sitomsahau huyu muhaaaUnawajua vizuri NECTA!!? [emoji23][emoji23][emoji23] watamla kichwa alafu awe kichekesho magazeti yataandika "Msomi wa degree afeli mtihani wa kidato cha nne"
Mfumo wa kuhakiki vyeti atapenyea wapi? Labda zamani, hio digrii yake ataiweka ndani.Nilimaanisha akae km private candidate asitake tufanane yeye abaki tuu na cheti chake cha GPA 4 8 wambakishe afundishage hapo hapo