INJECTION TECHNICIAN
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 356
- 794
- Thread starter
-
- #21
Jamhuri Haina msaada na Mimi wa mtotoAtapoteza muda na pesa Bure,Bora asamehe TU mkuu!akaripoti polisi Kwa ushahidi tu halafu aiache jamhuri kama itahangaika na hiyo kesi!!
Ndio ulezi huo ila endelea kumpenda mwanao na kuwa karibu yake zaidi huku ukimfahamisha kwa mifano walimwengu walivyo.Wanawake NI watu wa hovyo sana zaidi ya sindano ya ncha Kali jichoni ngoja nikupe mkasa niliokuwa nao hivi sasa
Nilikuwa na ex wangu nilifanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja kipindi hicho ndo damu ilikuwa bado mbichi (balehe) yule dada alijifungua akapata mtoto Ila kiukweli niliona si mwanamke sahihi...
Word!Kakunyoosha....mi ninachojua mwanao wa kumzaa huwezi kumlea vizuri mpaka afeli mtihani....uhuni alianzia kwako na ndiyo maana alifeli.
Wanawake ni Shetani nanusu..we yaone hvhv yakiwa Yana Cheka ila ni kama pete ya dhahabu kwenye pua yangurue..
Acha kuongea vitu sivyo nikwambia hakupasi vizuri inamaana yalemasomo nilikuwa nataka ayafaulu hakuyafaulu five anaenda shule yoyote bila wasi wasi Ila Kuna masomo niloona akiyafaulu mi njia nafuu ya kumtafutia kibarua hata akikosa serikalini isiwe tabuKakunyoosha....mi ninachojua mwanao wa kumzaa huwezi kumlea vizuri mpaka afeli mtihani....uhuni alianzia kwako na ndiyo maana alifeli.
Unaachaje mtoto wako afeli mtihani mkuu? Watoto wa kike kipindi hiki Cha mama wamepewa kipaumbele wanafaulu kweli mitihani.Mpaka amefeli hakuwa katika mikono salama ya walezi.Word!
Wakati hao hao wanaume ndio wanawaharibu!!Kiufupi mwanamke hakupaswa kuishi bila mwanaume, ni hali tu ya maisha na ushetani ndio unafanya wanawake kuishi bila ya waume, hii hasa ni baada ya either kuzalishwa na kuachwa,kuolewa na kuachwa au hata wengine kukosa waume wa kuwaowa au kufiwa na wenzi wao...
Ila akili za viumbe wa Mungu 🤣🤣🤣🤣 ye anaweza kuchezea mtoto wa watu akamtia na mimba akasepa, ila yeye hataki afanyiwe hivyo si kwa dada ake wala mtoto wake..Eeeeeh mavi ya ng'ombe tena!! Mwenyewe.
Ita majina yote ila mfumo wako wa maisha umeharibu na maisha ya mtoto...bado huyo uliyemuoa na kumwona sahihi kitabia....atakunyoosha.Acha kuongea vitu sivyo nikwambia hakupasi vizuri inamaana yalemasomo nilikuwa nataka ayafaulu hakuyafaulu five anaenda shule yoyote bila wasi wasi Ila Kuna masomo niloona akiyafaulu mi njia nafuu ya kumtafutia kibarua hata akikosa serikalini isiwe tabu
NYIE KENGE MNAJIFANYA WAJUAJI KUMBE HOVYO KABISA
Achana nae ...anaishi na maumivu 🤣🤭Pole kwa changamoto.
Ila futa hii kauli, Sio sawa. Sichangii chochote hadi utakapo omba radhi kwa Wanawake.
Mkuu yule mwanamke nilipanga kumuoa Ila matukio aliyonipiga ndo yalinifanya nirudi nyumaNdio ulezi huo ila endelea kumpenda mwanao na kuwa karibu yake zaidi huku ukimfahamisha kwa mifano walimwengu walivyo..!
Ila kwa mbaliii hiyo ni kama karmaaa imerudi mzee hapo sasa upo huru.
Kamharibu mwenyewe, hapa anatafutwa ya kubwagiwa zigo.Kakunyoosha....mi ninachojua mwanao wa kumzaa huwezi kumlea vizuri mpaka afeli mtihani....uhuni alianzia kwako na ndiyo maana alifeli.
Kufeli mtihani ndo kutolea vizuri??Kakunyoosha....mi ninachojua mwanao wa kumzaa huwezi kumlea vizuri mpaka afeli mtihani....uhuni alianzia kwako na ndiyo maana alifeli.