Jinsi Ex wangu alivyoniharibia binti yangu inaniuma sana

Jinsi Ex wangu alivyoniharibia binti yangu inaniuma sana

Mtihani Cha msingi angalia usikuache na ugonjwa au tatizo lolote la kijamii

By the way sio wote maana mkeo kamlea vizuri bila shida na katika mtizamo wa saikolojia mtoto wako kafata njia aliyopita mama yake kama ambavyo wa kiume atafata njia zako.

Kosa la kwanza kabisa ni pale ulipompa mimba ndio "ukagundua"hafai
 
Wanawake NI watu wa hovyo sana zaidi ya sindano ya ncha Kali jichoni ngoja nikupe mkasa niliokuwa nao hivi sasa

Nilikuwa na ex wangu nilifanikiwa kuzaa naye mtoto mmoja kipindi hicho ndo damu ilikuwa bado mbichi (balehe) yule dada alijifungua akapata mtoto Ila kiukweli niliona si mwanamke sahihi...
Ndio ulezi huo ila endelea kumpenda mwanao na kuwa karibu yake zaidi huku ukimfahamisha kwa mifano walimwengu walivyo.

Ila kwa mbaliii hiyo ni kama karmaaa imerudi mzee hapo sasa upo huru.
 
Kiufupi mwanamke hakupaswa kuishi bila mwanaume, ni hali tu ya maisha na ushetani ndio unafanya wanawake kuishi bila ya waume, hii hasa ni baada ya either kuzalishwa na kuachwa,kuolewa na kuachwa au hata wengine kukosa waume wa kuwaowa au kufiwa na wenzi wao.

Ameumbwa ili apate msaada wa mwanaume hasa katika malezi ya watoto.Wako wachache ambao huwa wanamudu malezi ya watoto peke yao,lakini wengi huwa wanawaharibu watoto kwa tabia kutokana na malezi mabaya ambayo wanayowapatia.
Nilichokigundua sijui hasa nini kinatokea,akili ya mwanamke mara baada ya kuzaa na mahusiano kuvunjika akili huwa haiwi yake kabisa,anakuwa mtu tofauti sana.

Ndio maana hata watu wamekuwa wakiwaponda ma single mothers lakini ukweli ni kuwa kuna mvurugiko mkubwa sana unatokea kwenye akili yake ambao haumfanyi kuwa wa kawaida tena...
 
Wanawake ni Shetani nanusu..we yaone hvhv yakiwa Yana Cheka ila ni kama pete ya dhahabu kwenye pua yangurue..
download (3).jpeg
 
Kakunyoosha....mi ninachojua mwanao wa kumzaa huwezi kumlea vizuri mpaka afeli mtihani....uhuni alianzia kwako na ndiyo maana alifeli.
Acha kuongea vitu sivyo nikwambia hakupasi vizuri inamaana yalemasomo nilikuwa nataka ayafaulu hakuyafaulu five anaenda shule yoyote bila wasi wasi Ila Kuna masomo niloona akiyafaulu mi njia nafuu ya kumtafutia kibarua hata akikosa serikalini isiwe tabu

NYIE KENGE MNAJIFANYA WAJUAJI KUMBE HOVYO KABISA
 
Kiufupi mwanamke hakupaswa kuishi bila mwanaume, ni hali tu ya maisha na ushetani ndio unafanya wanawake kuishi bila ya waume, hii hasa ni baada ya either kuzalishwa na kuachwa,kuolewa na kuachwa au hata wengine kukosa waume wa kuwaowa au kufiwa na wenzi wao...
Wakati hao hao wanaume ndio wanawaharibu!!
 
Acha kuongea vitu sivyo nikwambia hakupasi vizuri inamaana yalemasomo nilikuwa nataka ayafaulu hakuyafaulu five anaenda shule yoyote bila wasi wasi Ila Kuna masomo niloona akiyafaulu mi njia nafuu ya kumtafutia kibarua hata akikosa serikalini isiwe tabu

NYIE KENGE MNAJIFANYA WAJUAJI KUMBE HOVYO KABISA
Ita majina yote ila mfumo wako wa maisha umeharibu na maisha ya mtoto...bado huyo uliyemuoa na kumwona sahihi kitabia....atakunyoosha.
 
Ndio ulezi huo ila endelea kumpenda mwanao na kuwa karibu yake zaidi huku ukimfahamisha kwa mifano walimwengu walivyo..!

Ila kwa mbaliii hiyo ni kama karmaaa imerudi mzee hapo sasa upo huru.
Mkuu yule mwanamke nilipanga kumuoa Ila matukio aliyonipiga ndo yalinifanya nirudi nyuma
 
Kakunyoosha....mi ninachojua mwanao wa kumzaa huwezi kumlea vizuri mpaka afeli mtihani....uhuni alianzia kwako na ndiyo maana alifeli.
Kamharibu mwenyewe, hapa anatafutwa ya kubwagiwa zigo.
 
Vitabu vya dini vikiagiza msizini kabla ya ndoa na hivyo kuzaa, huwa mnabisha, sasa haya ndo mazara!
 
Back
Top Bottom