Jinsi Ex wangu alivyoniharibia binti yangu inaniuma sana

Unaachaje mtoto wako afeli mtihani mkuu? Watoto wa kike kipindi hiki Cha mama wamepewa kipaumbele wanafaulu kweli mitihani.Mpaka amefeli hakuwa katika mikono salama ya walezi.
Pengine ndio maana mama yake kamgeuza akili haraka anyway tuwaombee wavuke salama
 
Kwa hiyo na huyo uliye naye - aliyekuhurumia, akakulelea bintiyo, licha ya kwamba hukuwa umemficha ukweli - ni mbaya pia? Mbona uwajumuishe wanawake wote kwenye kosa la mmojawapo?

Unakuwaje mzembe kiasi hicho kutofuatilia vizuri maisha ya mtoto wako?

Mwanzoni kabisa wakati mnadanganyana na huyo mzazi mwenzio, alikuwa mbaya hivyo, au ubaya wake umekuja baadaye ulipomchoka na kumwacha kwenye mataa?

^Saa nyingine,^ (in Anko Joni's voice), wanaume ndio chanzo cha matatizo makubwa katika mahusiano, ndoa na familia.

Tunaomba mawasiliano ya mzazi mwenzio ili tumsikilize yeye pia kwamba anasemaje, maana hapa naona dalili za kuvutia ngozi kwako na kutupanga kama mafenesi.
 
Mkuu siwezi kutengua kauli jinsia ya kike ni mmoja tu duniani NI Jambo la muda kuja kukutwana janga kupitia hicho kiumbe
 
Mjukuu huyo mpokee, hata mama yake ulipomzalisha kuna baba alipata mjukuu. KARMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…