Jinsi Ex wangu alivyoniharibia binti yangu inaniuma sana

Atapoteza muda na pesa Bure,Bora asamehe TU mkuu!akaripoti polisi Kwa ushahidi tu halafu aiache jamhuri kama itahangaika na hiyo kesi!!
Kawaida hamna kesi hapo,,
wangu baada ya kusomesha miaka 2.
Kanipiga na chuma kizito Mwisho katimua na milion.
Napata habari binti yako ana mimba huko.
Tumeongea kashazaa tayari,na huyo bwana katoka baru.
Mpk sasa sina hamu.
Binti mwenyewe ukiongea nae anakwambia 'mbona we ulimtia mimba mamaangu bado kijana mkanizaa mimi?"
Unatoa mimachoπŸ™„.
Nna kajukuu sasa,
poa tu na single maza yupo
Aliyemzalisha ntamtafuta alipe gharama zangu zoote kabla sijafa.
 
Mkuu mbna unaongea Kama mepesi hivyo
 
Asante mkuu kwa USHAURI mzuri
 
Kwa Nini ulitoa source ya taarifa kuwa majirani ndio wamekuambia?. Hii tabia mbovu Tena wanayo wanaume wasio na misimamo unapewa taarifa wewe unatoa Siri nani kakupa, umenikera mno katika hili. Unadhani akirudi uhusiano wake majirani utakuwaje?. Yaani mpaka hapa na mengine ya mbeleni yatakushinda. Sina ushauri kwako.
 
Yaani pole
 
Haikuwa na sababu ya kumuacha miezi miwili atange tange kwa shoga yake natamani nimfanye kitu kibaya yu mwanamke
Naungana na wewe
Mtie kilema hata Cha kidole tu kumkata inaumiza sana

Huyo Binti usimkatie tamaa please
 
Ingekuwa Busara kama ungetumia neno la Baadhi ya wanawake, kwa sababu sio wote wenye tabia kama hiyo.

Lakini pole kwa yote. Mtoto bado ana nafasi ya kubadilika.

Muache ajifungue na umrudishe shuleni.
Ajifungue au aitoe?????? yash_ed hakikisha unamtoa hiyo mimba.
 
Mjukuu Hana kosa na Wala siezi mnyooshea kidole mjukuu

Tatizo mama mzazi wa mtto unanuacha vp binti yako kigoli kwa rafiki yako wa kiume

Ukumbuke mama yake nilifata process kwa wazazi wake Ila yeye alinionesha picha sio nikasita kuoa
Pole sana mkuu ila bado kosa ni lako mkuu, wewe ndo ulimchagua, wewe ndo ukazaa nae, wewe ndo ukamtelekeza, wewe ndo ukampa mtoto alee na wewe ndo ukampa tena mtoto kwa miezi sijui nane blla kumfatilia.
 
Pole sana mkuu ila bado kosa ni lako mkuu, wewe ndo ulimchagua, wewe ndo ukazaa nae, wewe ndo ukamtelekeza, wewe ndo ukampa mtoto alee na wewe ndo ukampa tena mtoto kwa miezi sijui nane blla kumfatilia.
NI kitu kabisa mie nna mchango wa kumtumbukiza mwanangu huko
 
Reactions: Tsh
Mkuu kwa tabia zake za hovyo majiran wako mstari wa mbele kunipa ushirikiano
 
Hapo HatA binti nae amechangia,na Ili umfahamu vizuri mfanye binti awe rafiki yako,atakushirikisha zaidi ya hayo unayoyaona na kufahamu sasa.

Kitendo cha kukosa nafasi ya kuendelea pale kidato cha Nne ,ww ukamrudisha arudie alikipenda au nn ww Binafsi?

Kwa watoto wote wafanye kuwa marafiki uwafahamu vizuri.

Miaka 0-14 hapa amri za mzazi ndio Unabidi utawale kwa kumjengea misingi ya maamuzi

15-18 Majidiliano na kumuonyesha madhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…