Jinsi gani naweza kupata mchumba wa kuoa?

Hapo tatizo linaweza lisiwe upole wako wala uoga wako wa kutongoza
Hapo tatizo itakua ni pesa
Hawa viumbe ukiwa na pesa wao ndio watakutafuta ww, hata uwe mpole na muoga vipi watakuweka sawa tu. Hata uwe na sura personal watakuona handsome, kamuangalie demu wa bukayo saka au wa bacary sagna

Mm nadhani dili na tatizo halisi, ambalo ni hilo nimekuambia
 
Dah,

Haya maisha haya.

Wakati wanaume wengine tuna tatizo la wanawake ving'ang'anizi wanaotaka kuolewa na wasiotaka kuachika, wanaume wengine wanatafuta wachumba wa kuoa na hawawapati.
 
Pesa kiasi gn?

Mfano income yangu iwe ngapi kwa mwezi.?
 
Huna hata uliosoma nae mkuu, Tuanzie hapo Kwanza!
 
Huna hata uliosoma nae mkuu, Tuanzie hapo Kwanza!
Niliosoma nao.

Primary,
Sina mawasiliano nao, but probably wengi wameolewa au wameshaa pata watoto.

Secondary.
Kama primary.

Advance
Nimesoma boys.

Chuo
wachache nilikuwa karibu nao, siko interested nao.
Mmoja tuu nilikuwa interested naye tatizo siendani nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…