Una uhakika nikikwambia cha kufanya utakifanya kweli mkuu ili uweze kuondokana na hizo moments & memories kuhusu huyo Ex wako?I wish ungejua my situation huenda ungesema chochote ili nipone[emoji25][emoji25] hadi nafikia kuandika humu ujue nipo serious mkuu sipo sawa.
Unapoteza muda wako bure, kama mtu haswa mwanamme kakuacha ni kwa sababu kakuona haufai maishani mwake na ndiyo maana hakufikirii. Don't force yourself kwenye mahusiano mengine ya haraka, kaa chini na ujifikirie nini tatizo. Usihofu keep yoursef busy, Yes - it will take time lakini utafika tu na kuna uwezekano utapata mtu wako sahihi atakayekupenda na mapungufu yako.Habari wakuu!
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.
Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu😪😪
Heeeeey this is you.Mkuu let me not answer this question here😔
Siamini kama wewe ndio unaandika haya[emoji848][emoji848]Hapana sikuzaliwa naye mkuu, ila nilikua nampenda sana[emoji25][emoji25]
Nimebarikiwa na neno nkamu. Msiseme nimeanza ubaguziUSIJARIBU nkamu
Haya mambo moyo upo kwa A, unaenda kujilazimisha kuwa na B: ni kujitesa nafsi yako na kumtesa huyo B ambaye possibly ana pure intention kwako. Na kama hujamtoa mtu kwenye nafsi yako; ni ngumu sana hata kuona na kukubali upendo unaonyeshwa na wengine huku nje. Huwezi kuendelea na mahusiano mengine au maisha yako tu kwa sababu utakuwa bado una matumaini kuwa fulani atarudi. Muachilie nafsini mwako, amini kuwa hakuwa wako.
MependaNdio hujaipenda
Hii yako ni kali zaidi ya u boy/girl friend mkuu. Pole nyingi kwako ila litapita tu japo itachukua mudaSasa my darling financial services , ungekuwa unapitia changamoto kama ya kwangu, ungepata maumivu ya kiasi gani?
Mkuu umenikumbusha jinsi nilivyo mpenda mrembo huko kijijini nilimpenda sana kupitiliza,sku moja mama yeke mzazi akaugua ilibidi niuze baisekeli yangu ili mama yake akatibiwe lakini niliachwa kisa umasikini nilikonda kabisa,nika amua kukimbilia mjini tukapotezana kabisa miaka ikasonga,ili nichukua mda sana kumsahau,baada ya miaka kadhaa kupita nikaenda kijijni msibani akaniona eti akajiliza umenenepa umependeza mara nisamehe turudiane nikawa na mcheki tu,baada ya msiba kuisha nikaanzisha na ujenzi kabisa hapo nyumbani ujenzi ukaenda halaka,akaja kuomba kibarua cha kusaidia mafundi nikamwambia aongee na fundi mm si husiki akawa ananisema eti nimepata pesa kidogo nimeaanza kuringa,nikawa namshangaa tu wakati huo namona sio saiz yangu tena maana alikua amepigwa na maisha amechoka,ila namshukuru asinge niacha ningekua bado kijijini mpaka leo.Habari wakuu!
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.
Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu😪😪
Wewe ni kichwa kibovu ujue? Hebu mfariji mwenzioKuachwa kuachwaa
Kuachwa ni shughuli pevu
Hasa kwa yule unayempenda
Wewe unakonda, yeye ananenepa
[emoji445][emoji444][emoji444]
Mkuu kila jambo linalotokea linakuwa na sababu...cha msingi ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo pasipokujali ni kiasi gani linatuumiza, (na hapa ndipo huwa tunapokosea maana badala ya kushukuru tunaanza kulalamika na kulaumu).Mkuu umenikumbusha jinsi nilivyo mpenda mrembo huko kijijini nilimpenda sana kupitiliza,sku moja mama yeke mzazi akaugua ilibidi niuze baisekeli yangu ili mama yake akatibiwe lakini niliachwa kisa umasikini nilikonda kabisa,nika amua kukimbilia mjini tukapotezana kabisa miaka ikasonga,ili nichukua mda sana kumsahau,baada ya miaka kadhaa kupita nikaenda kijijni msibani akaniona eti akajiliza umenenepa umependeza mara nisamehe turudiane nikawa na mcheki tu,baada ya msiba kuisha nikaanzisha na ujenzi kabisa hapo nyumbani ujenzi ukaenda halaka,akaja kuomba kibarua cha kusaidia mafundi nikamwambia aongee na fundi mm si husiki akawa ananisema eti nimepata pesa kidogo nimeaanza kuringa,nikawa namshangaa tu wakati huo namona sio saiz yangu tena maana alikua amepigwa na maisha amechoka,ila namshukuru asinge niacha ningekua bado kijijini mpaka leo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nipooWe mtu upoooo?!
Bado unamchunguza sana mpaka unajua kuwa ananenepa. Na nakuhakikishia kama unaendelea kumfatilia utaendelea kuumia mwisho ukaribishe maradhi mengine.Na ananenepa kweli huku mimi nikipungua kg 5 hivi sahivi 😫
Unahisi sijawahi kuachwa au? Mbona comment yangu ipo huko juu juu!!
Hahahaha...."Eti thawa sweetheart"alinitumia text whatsapp "mpenzi kukweli nmejitahid sana ila naona sina hisia za kimapenz na ww".
baada ya muda kidogo akaweka clip status jamaake mpya anamfundisha kuendesha gari nikawa nasikia "baby siku 3 mbele ntakuachia uwe unaendesha mwenyew unaonekana una kichwa chepesi" demu wangu akajibu kwa madeko huku akikanyaga mafuta "thawa sweetheart"
sikilizia ayo maumivu.
Basi wewe unafaa kuwa mfariji na mwalimu mzuriUnahisi sijawahi kuachwa au? Mbona comment yangu ipo huko juu juu!!
Moyo wa mtu kichaka, you loved him more, he loved you less. Hii ni kawaida kwenye mapenzi, just move on for now.Ahsante now siwezi mbembeleza tena, i played my part but didn't work out
Pole Sana.Habari wakuu!
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu ex mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.
Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu[emoji25][emoji25]
alinitumia text whatsapp "mpenzi kukweli nmejitahid sana ila naona sina hisia za kimapenz na ww".
baada ya muda kidogo akaweka clip status jamaake mpya anamfundisha kuendesha gari nikawa nasikia "baby siku 3 mbele ntakuachia uwe unaendesha mwenyew unaonekana una kichwa chepesi" demu wangu akajibu kwa madeko huku akikanyaga mafuta "thawa sweetheart"
sikilizia ayo maumivu.