Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Mimi sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuleee mbali kidogo.
IMG_20210705_183306.jpg
 
alinitumia text whatsapp "mpenzi kukweli nmejitahid sana ila naona sina hisia za kimapenz na ww".

baada ya muda kidogo akaweka clip status jamaake mpya anamfundisha kuendesha gari nikawa nasikia "baby siku 3 mbele ntakuachia uwe unaendesha mwenyew unaonekana una kichwa chepesi" demu wangu akajibu kwa madeko huku akikanyaga mafuta "thawa sweetheart"


sikilizia ayo maumivu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki watu wana ruho ngumu.

Halafu mbona kuhurudisha feedback jamaa yangu? Unakwama wapi jamani!! Ona sasa imebaki 50[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Binadamu tuache tuu..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Feedback inakuja Mama.. si lile jambo letu? Maana Jamaa bado nampanga.. Na kama imebaki 50 Itakuwaje?
 
Nashukuru Mungu kwenye mapenzi alinipaga moyo mwepesi wa ku let go, hata niumie kiasi gani, arooo hata wiki haiishi naendelea na maisha mengine.

Slogan yangu ni moja tuu nitampenda mtu saana na nitamjali kuliko hata ninavyojijali sinaga vya kuwaza nisifanye kitu fulani kuogopa tukiachana nitaumia, ndo kwaanza nitafanya.

Ikitokea tumeachana nasema tu Mungu asante hii tuition hamna nilichobakiza nime cover topics zote, sijapoteza mimi yeye ndo kapoteza.
Nafuta kila kitu chake namba na simu na block juu (kwa wale wanaojidai kutaka tuendelee kuwa marafiki baada ya kuachana, huu ujinga sitakagi)

Hata akija mwingine nitapenda tena kama sijawahi kupenda naye kama ni tuition fresh tu. Ila ninakoelekea najiona naenda kuacha hii kamari.
NIMEKUELEWA
"I don't lose people. People lose me"

Nice love philosophy esteemed lovely ladies [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Kuna boya hapa linataka kujinyonga demu kasepa na kijiji kasema hamtaki jamaa na status anamuweka jamaa yake mpya toka wiki iliyopita sijui alipewa nini na huyu manzi kupenda hivi ilikua olevel ila hili jamaa na midevu yake linalia kisa penzi
 
Back
Top Bottom