Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nasubiri kitabu mama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jiandae na namba za kutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naanzaje kwa mfano!! Niko hapa redi medi[emoji1787][emoji1787]Niwacheeeeeeeeeee[emoji23][emoji23]
Asante Joshy, nishapoa.Pole sana Espy.
Mkuu no matter what, you can do way better we toa fursa kwa wakulungwa uone kama hujamsahau soon tu, it's too late kung'ang'ania ndo kasepa hivyo.Kwahiyo mkuu umefurahia alichokifanya jamaa? Ulishawahi kupitia situation hii pia?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msinifanyie hivyo jamani, hata ya mafuta tu sina sasa hizo namba si mnanitafutia tu viriba tumbo mimi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Ni mapenzi tu ya Mwenyezi Mungu mkuu. Binafsi nilimpenda sana, na yeye alinipenda sana! Ila Mungu alimpenda zaidi.Sasa zumbe mkuu ilikuwaje ukampoteza wife material?
Look kwanza kumsahau usijilazimishe maana wewe ni binadamu sio mbuzi maana ya kwamba una kumbukumbu na kinachotokea sio kwamba unamsahau hapana ila unajifunza kuishi bila ya kuwa naye karibu ukweli ni kwamba hakuna mtu anayeweza kumsahau mtu aliyewahi kumpenda na akawa na mahusiano yanayoelweka then yakafa hayupo hawa wanaosema sijui nimemshau baada ya week mbili ni uongo huwa wanajichetua but deep down they feel them. Cha kufanya wewe tulia jipe muda zoea kuishi bila yeye lakini huwezi kumshau na ku moe o sio kwamba unamsahau mtu hapana ni kujifunza maisha mengineHabari wakuu!
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu ex mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.
Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu😪😪
Ngoja niende tuisheni, pambana kabla haijabaki 20.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Unacheka vizuri.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sawaNgoja niende tuisheni, pambana kabla haijabaki 20.
Hapa ili iwe vizuri ukutane na mtu aliyeachwa na ukapata maumivu kama wewe ndipo penzi litanoga.Ahsante sana wakuu kwa shauri zenu hakika nazidi kujipa moyo kwamba ipo siku ntakaa sawa, nimeona nguvu kubwa iliyokatika kuweka vitu au jambo bayana kuliko kubaki nalo moyoni, nimekosa amani muda mrefu sana kwa ajili hiyo ila naona napata nafuu sasa. Na kumbe kuna wengine wanaopitia kama mimi na wengine wanapitia makubwa zaidi mfano kufiwa na wapendwa wao[emoji25]. Ahsanteni sana
Yote yataisha hata mimi nimeachwa jumamosi ilopita sahv naumia Moyoni ila najua nalo litapitaAhsante sana wakuu kwa shauri zenu hakika nazidi kujipa moyo kwamba ipo siku ntakaa sawa, nimeona nguvu kubwa iliyokatika kuweka vitu au jambo bayana kuliko kubaki nalo moyoni, nimekosa amani muda mrefu sana kwa ajili hiyo ila naona napata nafuu sasa. Na kumbe kuna wengine wanaopitia kama mimi na wengine wanapitia makubwa zaidi mfano kufiwa na wapendwa wao[emoji25]. Ahsanteni sana
Ahsante sana wakuu kwa shauri zenu hakika nazidi kujipa moyo kwamba ipo siku ntakaa sawa, nimeona nguvu kubwa iliyokatika kuweka vitu au jambo bayana kuliko kubaki nalo moyoni, nimekosa amani muda mrefu sana kwa ajili hiyo ila naona napata nafuu sasa. Na kumbe kuna wengine wanaopitia kama mimi na wengine wanapitia makubwa zaidi mfano kufiwa na wapendwa wao[emoji25]. Ahsanteni sana
Mkuu mapenzi hayana mbabe wake mimi huyo huyo ndiye nayepitia hii situation na wala si mtu mwingineSiamini kama wewe ndio unaandika haya[emoji848][emoji848]
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app