Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Jiandae na namba za kutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msinifanyie hivyo jamani, hata ya mafuta tu sina sasa hizo namba si mnanitafutia tu viriba tumbo mimi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
 
Kwahiyo mkuu umefurahia alichokifanya jamaa? Ulishawahi kupitia situation hii pia?
Mkuu no matter what, you can do way better we toa fursa kwa wakulungwa uone kama hujamsahau soon tu, it's too late kung'ang'ania ndo kasepa hivyo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Msinifanyie hivyo jamani, hata ya mafuta tu sina sasa hizo namba si mnanitafutia tu viriba tumbo mimi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Habari wakuu!

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu ex mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii. Nifanye nini wakuu😪😪
Look kwanza kumsahau usijilazimishe maana wewe ni binadamu sio mbuzi maana ya kwamba una kumbukumbu na kinachotokea sio kwamba unamsahau hapana ila unajifunza kuishi bila ya kuwa naye karibu ukweli ni kwamba hakuna mtu anayeweza kumsahau mtu aliyewahi kumpenda na akawa na mahusiano yanayoelweka then yakafa hayupo hawa wanaosema sijui nimemshau baada ya week mbili ni uongo huwa wanajichetua but deep down they feel them. Cha kufanya wewe tulia jipe muda zoea kuishi bila yeye lakini huwezi kumshau na ku moe o sio kwamba unamsahau mtu hapana ni kujifunza maisha mengine
 
Ahsante sana wakuu kwa shauri zenu hakika nazidi kujipa moyo kwamba ipo siku ntakaa sawa, nimeona nguvu kubwa iliyokatika kuweka vitu au jambo bayana kuliko kubaki nalo moyoni, nimekosa amani muda mrefu sana kwa ajili hiyo ila naona napata nafuu sasa. Na kumbe kuna wengine wanaopitia kama mimi na wengine wanapitia makubwa zaidi mfano kufiwa na wapendwa wao😪. Ahsanteni sana
 
Ahsante sana wakuu kwa shauri zenu hakika nazidi kujipa moyo kwamba ipo siku ntakaa sawa, nimeona nguvu kubwa iliyokatika kuweka vitu au jambo bayana kuliko kubaki nalo moyoni, nimekosa amani muda mrefu sana kwa ajili hiyo ila naona napata nafuu sasa. Na kumbe kuna wengine wanaopitia kama mimi na wengine wanapitia makubwa zaidi mfano kufiwa na wapendwa wao[emoji25]. Ahsanteni sana
Hapa ili iwe vizuri ukutane na mtu aliyeachwa na ukapata maumivu kama wewe ndipo penzi litanoga.

Ingawa hata mimi few days ago. Nilipigwa chini ila nikakaza kimtindo.

Kwa sasa niko vizuri ingawa bado sijapata mwanamke mwingine. Bado namsaka kwa udi na uvumba.
 
Ahsante sana wakuu kwa shauri zenu hakika nazidi kujipa moyo kwamba ipo siku ntakaa sawa, nimeona nguvu kubwa iliyokatika kuweka vitu au jambo bayana kuliko kubaki nalo moyoni, nimekosa amani muda mrefu sana kwa ajili hiyo ila naona napata nafuu sasa. Na kumbe kuna wengine wanaopitia kama mimi na wengine wanapitia makubwa zaidi mfano kufiwa na wapendwa wao[emoji25]. Ahsanteni sana
Yote yataisha hata mimi nimeachwa jumamosi ilopita sahv naumia Moyoni ila najua nalo litapita
 
Ahsante sana wakuu kwa shauri zenu hakika nazidi kujipa moyo kwamba ipo siku ntakaa sawa, nimeona nguvu kubwa iliyokatika kuweka vitu au jambo bayana kuliko kubaki nalo moyoni, nimekosa amani muda mrefu sana kwa ajili hiyo ila naona napata nafuu sasa. Na kumbe kuna wengine wanaopitia kama mimi na wengine wanapitia makubwa zaidi mfano kufiwa na wapendwa wao[emoji25]. Ahsanteni sana

Pole baby girl, ipo siku utasahau and you will look back na kushangaa why you wasted your time on him. Believe me jamaa atarudi aki miss kumnyanyasa mtu maana amezoea kukunyanyasa sasa akikumbuka kunyamyasa mtu you will be his first option, atarudi kwa gear ya kukumis na ameona wewe ndo unamfaaa with a lot of lame excuses and blah blah blah!!!!! Ila atarudi akiwa amechelewa sana. Itafika wakati hutamuhitaji tena, hapo sasa yeye ndo atakua amerudi in full swing. Akianza kuleta drama za kutaka kurudi hakikisha unatujulisha ili wahenga tukupe mbinu za kum fix [emoji23][emoji23].

Wanaume huwa wanarudi kwa mwanamke aliyemuumiza, kama huamini we subiri tu ipite miezi kadhaa au hata mwaka, utaona jamaa huyo anaanza kutia team pole pole, mara ooh nimekumis na maneno mengine ya kipuuzi ili kukuchota akili. Sasa shauri zako usiwe mjinga ukakubali, itakula kwako. Nasisitiza hivi akionyesha dalili za kutaka kurudi njoo huku jamvini fasta tukupe nondo za kumkabili [emoji23] penye wengi hapaharibiki neno.
 
Kumbe JF tumo wengi na mimi huku kuna binti kaniacha aisee, ni miezi miwili sasa imepita yy kaishaendelea na maisha yake ila bado najitahidi kumsahau ila wp najikuta tu nimeshaanza kumtumia txt namkubusha ahadi yetu namkumbusha mwanzo wetu, lkn kinachonisikitisha sana ndiye bnti wa kwanza kudate na mimi katika maisha yangu, nasikia yeye ashagaolewa ila mimi bado nakazana tu yaan nimekuwa kama vile siamini...ile mood nilokuwa nayo ya kufanya mazoezi kila day nayonahis imeniacha yaani mambo yamekuwa zig zag, nilikuwa ninauwezo wa kupiga push ups 60 siku hizi nashindwa ata 20 yaani kiujumla nimedhoofika

Kwa hiyo dada hauko pekee yako cha kufanya chukua hii namba yangu 0694094773 tusaidiane kujifariji maake nimeingia JF kutafta ushauri japokuwa sijapost kitu ila nilikuwa naimani nitakutana na wa2 wenye hali kama niliyopo mimi. Ila dada pole amini yote yatapita, utazishinda hisia
 
Back
Top Bottom