Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Kuna boya hapa linataka kujinyonga demu kasepa na kijiji kasema hamtaki jamaa na status anamuweka jamaa yake mpya toka wiki iliyopita sijui alipewa nini na huyu manzi kupenda hivi ilikua olevel ila hili jamaa na midevu yake linalia kisa penzi
Usimuone boya mkuu, mapenzi ya ajabu sana msaidie kuongea naye tu akae sawa! Kuachwa si mchezo
 
Pole baby girl, ipo siku utasahau and you will look back na kushangaa why you wasted your time on him. Believe me jamaa atarudi aki miss kumnyanyasa mtu maana amezoea kukunyanyasa sasa akikumbuka kunyamyasa mtu you will be his first option, atarudi kwa gear ya kukumis na ameona wewe ndo unamfaaa with a lot of lame excuses and blah blah blah!!!!! Ila atarudi akiwa amechelewa sana. Itafika wakati hutamuhitaji tena, hapo sasa yeye ndo atakua amerudi in full swing. Akianza kuleta drama za kutaka kurudi hakikisha unatujulisha ili wahenga tukupe mbinu za kum fix [emoji23][emoji23]. Wanaume huwa wanarudi kwa mwanamke aliyemuumiza, kama huamini we subiri tu ipite miezi kadhaa au hata mwaka, utaona jamaa huyo anaanza kutia team pole pole, mara ooh nimekumis na maneno mengine ya kipuuzi ili kukuchota akili. Sasa shauri zako usiwe mjinga ukakubali, itakula kwako. Nasisitiza hivi akionyesha dalili za kutaka kurudi njoo huku jamvini fasta tukupe nondo za kumkabili [emoji23] penye wengi hapaharibiki neno.
Akitaka kurudi ntawaona tena kwa ushauri zaidi😂
 
Hapa ili iwe vizuri ukutane na mtu aliyeachwa na ukapata maumivu kama wewe ndipo penzi litanoga.

Ingawa hata mimi few days ago. Nilipigwa chini ila nikakaza kimtindo.

Kwa sasa niko vizuri ingawa bado sijapata mwanamke mwingine. Bado namsaka kwa udi na uvumba.
Hadi wewe unaachwaje sasa? Mmh pole
 
Mkuu no matter what, you can do way better we toa fursa kwa wakulungwa uone kama hujamsahau soon tu, it's too late kung'ang'ania ndo kasepa hivyo.
Moyo kama umepata ganzi yasijekutokea tena yale yale tena wakulungwa mmh🤔
 
Kumbe JF tumo wengi na mimi huku kuna binti kaniacha aisee, ni miezi miwili sasa imepita yy kaishaendelea na maisha yake ila bado najitahidi kumsahau ila wp najikuta tu nimeshaanza kumtumia txt namkubusha ahadi yetu namkumbusha mwanzo wetu, lkn kinachonisikitisha sana ndiye bnti wa kwanza kudate na mimi katika maisha yangu, nasikia yeye ashagaolewa ila mimi bado nakazana tu yaan nimekuwa kama vile siamini...ile mood nilokuwa nayo ya kufanya mazoezi kila day nayonahis imeniacha yaani mambo yamekuwa zig zag, nilikuwa ninauwezo wa kupiga push ups 60 siku hizi nashindwa ata 20 yaani kiujumla nimedhoofika
Kwa hiyo dada hauko pekee yako cha kufanya chukua hii namba yangu 0694094773 tusaidiane kujifariji maake nimeingia JF kutafta ushauri japokuwa sijapost kitu ila nilikuwa naimani nitakutana na wa2 wenye hali kama niliyopo mimi. Ila dada pole amini yote yatapita, utazishinda hisia
Pole mkuu
 
Hadi wewe unaachwaje sasa? Mmh pole
Ahsante mkuu.

Mkuu mapenzi hayana komando kabisa. Japo kwa sasa moyo wangu ushaota sugu hivyo nilifurahia sana tu then nikapotezea. You never know labda niliepushwa kitu na mwenyezi Mungu.

Kwa upande wangu huwa naamini kwamba kila kitu hutokea kwa sababu so when it happens, don't lament, blame au kujiona mwenye mikosi bali Piga magoti Mshukuru Mungu wako.

Kadhalika, ukiwa na vijisenti huwezi kuumizwa sana na mapenzi hata kidogo. Tatizo linakuja pale ambapo pesa huna na umeachwa mbona Dunia utaiona chungu( hii ni kwa wanaume). Kwa sababu utakuwe huwezi kwenda kujichanganya kama sehemu za starehe kule masaki, mbezi beach Ramada, see breeze n.k.

Kwa upande wangu hakuna sehemu zinawahi kuondoa maumivu ya mapenzi kama sehemu za starehe na zilizotulia mfano hasa zilizozungukwa na beach etc.
 
alinitumia text whatsapp "mpenzi kukweli nmejitahid sana ila naona sina hisia za kimapenz na ww".

baada ya muda kidogo akaweka clip status jamaake mpya anamfundisha kuendesha gari nikawa nasikia "baby siku 3 mbele ntakuachia uwe unaendesha mwenyew unaonekana una kichwa chepesi" demu wangu akajibu kwa madeko huku akikanyaga mafuta "thawa sweetheart"


sikilizia ayo maumivu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom