Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Kuna boya hapa linataka kujinyonga demu kasepa na kijiji kasema hamtaki jamaa na status anamuweka jamaa yake mpya toka wiki iliyopita sijui alipewa nini na huyu manzi kupenda hivi ilikua olevel ila hili jamaa na midevu yake linalia kisa penzi
Usimuone boya mkuu, mapenzi ya ajabu sana msaidie kuongea naye tu akae sawa! Kuachwa si mchezo
 
Akitaka kurudi ntawaona tena kwa ushauri zaidi😂
 
Hadi wewe unaachwaje sasa? Mmh pole
 
Mkuu no matter what, you can do way better we toa fursa kwa wakulungwa uone kama hujamsahau soon tu, it's too late kung'ang'ania ndo kasepa hivyo.
Moyo kama umepata ganzi yasijekutokea tena yale yale tena wakulungwa mmh🤔
 
Pole mkuu
 
Hadi wewe unaachwaje sasa? Mmh pole
Ahsante mkuu.

Mkuu mapenzi hayana komando kabisa. Japo kwa sasa moyo wangu ushaota sugu hivyo nilifurahia sana tu then nikapotezea. You never know labda niliepushwa kitu na mwenyezi Mungu.

Kwa upande wangu huwa naamini kwamba kila kitu hutokea kwa sababu so when it happens, don't lament, blame au kujiona mwenye mikosi bali Piga magoti Mshukuru Mungu wako.

Kadhalika, ukiwa na vijisenti huwezi kuumizwa sana na mapenzi hata kidogo. Tatizo linakuja pale ambapo pesa huna na umeachwa mbona Dunia utaiona chungu( hii ni kwa wanaume). Kwa sababu utakuwe huwezi kwenda kujichanganya kama sehemu za starehe kule masaki, mbezi beach Ramada, see breeze n.k.

Kwa upande wangu hakuna sehemu zinawahi kuondoa maumivu ya mapenzi kama sehemu za starehe na zilizotulia mfano hasa zilizozungukwa na beach etc.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…