Kweli aliku spoil. Hata mtu akifa huwa anakumbukwa kwa good moments we shared zaidi na hizo huwezi ondoa. Ilikuwa mapito na kwa kuwa ulienjoy to the fullest basi huna cha kupoteza alikutumia na ulitumika vizuri.
Kuna mtu mwingine hakupi good moments. Yaani unaona kila kitu ulikuwa unambeba na hakuwa wa hadhi yako. Lakini bado anakuacha kwa ngebe na maumivu
Fanya kama amekufa hata kama yupo. Jambo la msingi mtakie heri na wewe ganga yajayo kwa amani
Sent from my SM-A115F using
JamiiForums mobile app