Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Ntadelete vyote mkuu, ahsante kalumbu
 
Dah' mie mwaka sasa nimeshindwa kumove on dadekii, juzi naambiwa ashapigwa mimba lakini bado naumia,, wallah itakua aliniroga huyu kenge wa blue'
Hat mm naamin kuna vischana vinaloga mkuu,yuko mmoja yaan c mkali kiivo ila baada ya kuachana kila muda ananijia kweny mawazo yangu hadi imekuwa kero sasa
 
Mkuu haitowezekana kurudiana nikifanikiwa kumove on basi sitoweza kurudi tena, napata shida sahivi na hizo good moments we had together tu, nikivuka basi
 
Hat mm naamin kuna vischana vinaloga mkuu,yuko mmoja yaan c mkali kiivo ila baada ya kuachana kila muda ananijia kweny mawazo yangu hadi imekuwa kero sasa
Yaan hiki kidemu ,kinaniijia hadi usiku wa manane ,afu roho inaniuma mbaya ,nawaza mkulungwa anavokitembezea moto ilhali mie ndio nimekianzishia huo mchezo' afu kamefanya makusudi kunitafuta kumbe baharia kakitia sijui mimba' dadekiii
 
Mkuu haitowezekana kurudiana nikifanikiwa kumove on basi sitoweza kurudi tena, napata shida sahivi na hizo good moments we had together tu, nikivuka basi
Kweli aliku spoil. Hata mtu akifa huwa anakumbukwa kwa good moments we shared zaidi na hizo huwezi ondoa. Ilikuwa mapito na kwa kuwa ulienjoy to the fullest basi huna cha kupoteza alikutumia na ulitumika vizuri.

Kuna mtu mwingine hakupi good moments. Yaani unaona kila kitu ulikuwa unambeba na hakuwa wa hadhi yako. Lakini bado anakuacha kwa ngebe na maumivu

Fanya kama amekufa hata kama yupo. Jambo la msingi mtakie heri na wewe ganga yajayo kwa amani

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu, sina kinyongo naye namtakia heri kwenye maisha yake mengine👏 acha nipambane na dunia yangu pia
 
Pole sana pole sana

Ukimpata mtu sahihi wa kutengeneza moments hakika utaweza kumove on

Mara nyingi tunapotengana na wapenzi wetu , kitu kinachofanya tuwakumbuke ni kukosa moments ambazo tulishare pamoja..
So ukimpata mtu sahihi anaeweza kucreat moments za mapenzi na ww, hakikaa utaanza kuwa updated utaacha kufikiria kuhusu aliepita

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu, sina kinyongo naye namtakia heri kwenye maisha yake mengine👏 acha nipambane na dunia yangu pia

Ili kukusaidia hebu sema sababu gani ilikufanya muachane??

1. Ulichepuka/Alichepuka?
2. Ni Mume wa mtu au wewe ni Mke wa mtu?
3.
4.
5.
6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…