Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Na vile vile waweza kuwa na kila kitu na bado usipendwe hata kidogo love huwa ni intimacy flani hivi yenye connection kubwa, waweza kuwa mhongaji mzuri yet nikawa sikubali vilevile
Ahsante kwa clarification nzuri, anadhani pesa ndiyo kila kitu kwenye mapenzi🤭
 
Pole sana mdau!
Hapo maumivu ni noway, ukitaka kuyavuka hayo ni kuchukuwa tu uamuzi mgumu unafanya kama vile umepoteza pesa mchangani, umetafuta umekosa na hujuei nani kaokota! So unaamua kupotezea tu!
Ahsante sana mkuu na ndicho nilichoamua kufanya! Nimepoteza kitu then basi siku ntapata kingine.
 
Wanaume wanafikiriaga hela ndio kila kitu loh

Nyie mnasemaga tu hivyo ila sijaona mwanamke duniani asiyethamini hela.
Na kama Mwanaume huamini nenda na u handsome wako kwa mwanamke na kumpiga bao za kutosha uone utakavyo dharauliwa. Itafika sehemu atakuchoka tu kama huwezi ku provide
 
naomba ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…