Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Niliwahi kusimulia humu ila nairudia tena.

Niliteseka kwa Two Flat years aliponiacha na mbaya zaid mpaka leo sikuwahi kujua kilichomfanya akaniacha ni nini, nilimbembeleza sana anirudie akaniambia harudigi nyuma. Ilifikia hatua nikawa najishauri within me nikamueleze baba kilichonikuta ili anipe mbinu ya nini cha kufata ila sauti nyingine nikawa naisikia ikiniambia acha ubwege mbwa we, umekua sasa fanya maamuzi mwenyewe.

Niliteseka, nilitaabika kmmmmk sijawahi kuteseka vile maisha yangu yote na sitowahi qmamamake kuja kutaabika kwa mahusiano. Niliacha muda ukapita, nikawa sawa mpaka leo hii nina sugu na ganzi moyoni.
 
Dawa ni kumrudia tu ili ufurahie, sivyo?
 
Kwa sisi waschana ni chap tu mana tunatongozwa daily...
Tatizo kumpata mwanaume ambaye kemia itakuwa inaendana au aliyekuvutia ni kazi. Ila kama ni mwanaume yeyote sawa wapo wengi ila with shitty personalities . Haya mambo ni magumu
 
Nyie wanawake ndio mmetufanya sisi wanaume tufikirie kuwa hela ni kila kitu kwenye swala la mahusiano ya kimapenzi na mwanamke, hata comments zenu humu jf zinaonesha hivyo cariha financial services
Ndio mtatoa hela lakini kamwe hamutapata upendo wa kweli mkuu, na hatutaacha kuwachuna
 
Nakuelewa sana tu mrembo

It takes a minute to get crush on someone, and hour to like someone and day to love someone, but it's takes a lifetime to forget someone.
Wacha weeee, nitakuja unipe mistari ya kumwambia mpenzi wangu

Hahahahhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…