Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Ahsante sana mkuu, ntazingatia hayaπŸ‘
 
Unafikiri anaekusaidia ni yule ambae hajawahi kupitia..? Hata waajiri hutaka mwenye experience!
Kama siwezi kukusaidia basi pambana na balaa lako la mwaka mzima..πŸ˜€
Sikutaki na msaada wakoπŸ˜‚πŸ˜‚ niachie kifurushi changu cha mwaka, fresh tuπŸƒβ€β™€οΈ
 
Sikutaki na msaada wakoπŸ˜‚πŸ˜‚ niachie kifurushi changu cha mwaka, fresh tuπŸƒβ€β™€οΈ
Ha ha! Kwasisi wanasaikolojia tushakuelewa kwa hichi ulichokiandika kimesema kitu kikubwa tu! Ati fresh tu..πŸ˜‚
Hii maana yake mtu anaetaka kuangalia lakini anavunga hataki kuangalia!.. usishupaze shingo dada wa watu ubariki moyo wako uirudishe furaha yako uliyojizurumu.
 
Ntakudunda kenzy, niacheeee
 
Dada wa watu kwaheri yako ni makubwa siyawezi utafika mbinguni ukiwa umechoka Sana..🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi mbona unaniona kama Bibi yako mimi , umenionea sana sawa bana
 
Huwa unamove on kwa kureplace mwingine faster?
Hapana mpaka nipate sababu ya replacement.

Ila wewe kama umejeruhiwa jiweke busy na mambo ya maendeleo zaidi esp kiuchumi lazima umsahau alafu futa mawasiliano yote na hata akikutafuta usi respond.

Ukiwa unajipendekeza utampa amani sana na atajiona superior zaidi na wewe utazidi kuwa mnyonge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…