Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

1.kuwa busy mda mwingi na mambo yako usikae loss hata kama hakuna kitu chakufanya basi ww jipe ili tu uwe busy na usiupoe ubongo mda wa kufikiria vilivyopita
2.jichanganye na watu
3.usitafute mtu mwingine kwa haraka kwaajil ya kuziba pengo
4.kama unapenda mazoez basi tumia mda mwingi kwenye mazoez
5.weka mbali vitu ambavyo ukiviona unakumbuka ya nyuma
Ahsante sana mkuu, ntazingatia haya👏
 
Unafikiri anaekusaidia ni yule ambae hajawahi kupitia..? Hata waajiri hutaka mwenye experience!
Kama siwezi kukusaidia basi pambana na balaa lako la mwaka mzima..😀
Sikutaki na msaada wako😂😂 niachie kifurushi changu cha mwaka, fresh tu🏃‍♀️
 
Sikutaki na msaada wako😂😂 niachie kifurushi changu cha mwaka, fresh tu🏃‍♀️
Ha ha! Kwasisi wanasaikolojia tushakuelewa kwa hichi ulichokiandika kimesema kitu kikubwa tu! Ati fresh tu..😂
Hii maana yake mtu anaetaka kuangalia lakini anavunga hataki kuangalia!.. usishupaze shingo dada wa watu ubariki moyo wako uirudishe furaha yako uliyojizurumu.
 
Ntakudunda kenzy, niacheeee
 
Huwa unamove on kwa kureplace mwingine faster?
Hapana mpaka nipate sababu ya replacement.

Ila wewe kama umejeruhiwa jiweke busy na mambo ya maendeleo zaidi esp kiuchumi lazima umsahau alafu futa mawasiliano yote na hata akikutafuta usi respond.

Ukiwa unajipendekeza utampa amani sana na atajiona superior zaidi na wewe utazidi kuwa mnyonge.
 
Back
Top Bottom