KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
😂 Hivi bado tu..😅Huwa unamove on kwa kureplace mwingine faster?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 Hivi bado tu..😅Huwa unamove on kwa kureplace mwingine faster?
Ahsante sana mkuu, ntazingatia haya👏1.kuwa busy mda mwingi na mambo yako usikae loss hata kama hakuna kitu chakufanya basi ww jipe ili tu uwe busy na usiupoe ubongo mda wa kufikiria vilivyopita
2.jichanganye na watu
3.usitafute mtu mwingine kwa haraka kwaajil ya kuziba pengo
4.kama unapenda mazoez basi tumia mda mwingi kwenye mazoez
5.weka mbali vitu ambavyo ukiviona unakumbuka ya nyuma
😂 wewe ni kakorofiii😂 Hivi bado tu..😅
Naweza kukusaidia acha ubishi..😂😂 wewe ni kakorofiii
Wewe mwenyewe tu ulilia kama katoto, utanisaidia nini😂Naweza kukusaidia acha ubishi..😂
Unafikiri anaekusaidia ni yule ambae hajawahi kupitia? Hata waajiri hutaka mwenye experience!Wewe mwenyewe tu ulilia kama katoto, utanisaidia nini😂
Sikutaki na msaada wako😂😂 niachie kifurushi changu cha mwaka, fresh tu🏃♀️Unafikiri anaekusaidia ni yule ambae hajawahi kupitia..? Hata waajiri hutaka mwenye experience!
Kama siwezi kukusaidia basi pambana na balaa lako la mwaka mzima..😀
Ha ha! Kwasisi wanasaikolojia tushakuelewa kwa hichi ulichokiandika kimesema kitu kikubwa tu! Ati fresh tu..😂Sikutaki na msaada wako😂😂 niachie kifurushi changu cha mwaka, fresh tu🏃♀️
Ntakudunda kenzy, niacheeeeHa ha! Kwasisi wanasaikolojia tushakuelewa kwa hichi ulichokiandika kimesema kitu kikubwa tu! Ati fresh tu..😂
Hii maana yake mtu anaetaka kuangalia lakini anavunga hataki kuangalia!.. usishupaze shingo dada wa watu ubariki moyo wako uirudishe furaha yako uliyojizurumu.
😂😂Ntakudunda kenzy, niacheeee
Ntakudunda pamoja na huyo mpenzi wako mpya, ntawachanganya pamoja😂😂😂😂
Ukweli mchungu mpaka natishiwa kudundwa..🤣
Dada wa watu kwaheri yako ni makubwa siyawezi utafika mbinguni ukiwa umechoka Sana..🤣Ntakudunda pamoja na huyo mpenzi wako mpya, ntawachanganya pamoja😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mwenyewe tu ulilia kama katoto, utanisaidia nini[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada wa watu kwaheri yako ni makubwa siyawezi utafika mbinguni ukiwa umechoka Sana..[emoji1787]
😂😂😂😂 hivi mbona unaniona kama Bibi yako mimi , umenionea sana sawa banaDada wa watu kwaheri yako ni makubwa siyawezi utafika mbinguni ukiwa umechoka Sana..🤣
Basi pole uchilie toto eti..? Takupeleka mjini ukale pop corn..😊😂😂😂😂 hivi mbona unaniona kama Bibi yako mimi , umenionea sana sawa bana
Hapana mpaka nipate sababu ya replacement.Huwa unamove on kwa kureplace mwingine faster?
Nami nataka kujua[emoji23] Hivi bado tu..[emoji28]
Tunasubiri jibu[emoji23] wewe ni kakorofiii
Nilishamove on guys,nilishamsahau na nimefuta kumbukumbu zake, nipo busy na mambo mengine. Nawashukuruni wote.Tunasubiri jibu