Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Habari wakuu!

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu x mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila

Hongera kwa kusema ukweli!wewe ndio mwanamke pekee unayeongoza kwa stress humu Jf ila kuanzia leo unaenda kupona kabisa!namba yako ninayo nitakupigia tuongee zaidi
 
Ha haaa eti zawadi za chupi, jamani
 
Pole mkuu ila inawezekana mbona. Simply angalia upepo mwingine and find your true source of happiness. Dont invest your happiness in your spouse utakuja ufe. Tafuta kile kikupacho furaha from your life then explore it. Mahusiano ni nyongeza ambazo Mungu hutupatia lakini first and foremost its you and only you. #mamaamina#
 
Delete namba zake zote halafu kuwa bize kutafuta hela
 
Samehe
Jisamehe

Jipende sana.,on top of kuwa busy vaa vizuri pendeza muda wote.,
and jiweke mkao wa kukubali mwanaume mwingine atakayekupenda na we umpende
ukimpata
Make love a looot of times...+build the rlship

UTASAHAU
 
Pole sana mkuu,binafsi sijawahi kukumbana na hiyo changamoto japo napitia wakati mgumu na mpenzi wangu...
Busara isipotumika huenda yakanifika yaliyokufika....maana huyu mtoto wa kichaga nampenda kupita maelezo.
Kama its complicated hamuwezi kukaa sawa paka muachane, na mkiachana never go back, it's over hata iweje mwanaume usirudi nyuma km huyu msela wa financial.
 
Nipe nafasi mm afu utaona wiki tu utamsahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…