Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Ahsante sana mkuu kwa ushauri mzuri kweli nilikua namnyenyekea na kumwomba msamaha sana ila ni kama anafurahia nnavouumia juu yake.πŸ˜ͺ
 
Mkuu mahusiano sahivi naogopa yasije nikuta yale yale tenaπŸ˜ͺ moyo umekufa ganzi hivi
 
Dah sawa mkuuπŸ˜ͺ
 
How am i going to pretend while it's killing me mkuu πŸ˜”
Mie naamini kwamba yeye pia aliwahi kukuudhi katika namna moja au nyingine kwenye mahusiano! Mchukie utapona haraka. Jenga hali ya kukumbuka mabaya yake utamsahau haraka mno na utapona katika speed ya ajabu. Fanya hivyo tengeneza hali ya kumchukia kuwa alikuumiza kwa abc sio mtu mzuri theres a better person than him will come!
 
Usijaribu kumsahau bali kukubali anahitaji furaha katika maisha yake...na furaha yake haitokani na wewe ..hivyo kama unapenda ustawi wa furaha yake kubali hilo kwa moyo wako nawe utapata amani. Kumbuka ubinafsi uliozidi ni adui wa maisha ya MTU mwenyewe.
 
Rahisi sn,futa kumbukumbu za vitu mlivyo share.
Mf; picha, vitu ulivyonunuliwa naye,namba za simu etc.
Me pia nimesalitiwa,njoo tushikamane tuoane Mungu akipenda.
 
Jitaidi kumtafuta mwanamke mnyongemnyonge kisha Date nae,, ila ukimpata akina mwajuma kamchachu watakufanya umkumbuke tena X wako..
 
Unatafuta Mpenzi Mwingine Utakaa Unatuma Messages Na Tule Tupicha Twa Kulia!!πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
JPM
 
Rahisi sn,futa kumbukumbu za vitu mlivyo share.
Mf; picha, vitu ulivyonunuliwa naye,namba za simu etc.
Me pia nimesalitiwa,njoo tushikamane tuoane Mungu akipenda.
πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Si ulikuwa unanichukulia poa, sasa nenda hata kwa mganga yeyote siwezi kurudi…. napewa masotojo huku nikumbuke nini?
 
Pole sweetheart. If you slept together, that's a grave mistake. Don't repeat this. Cha kufanya, go to school (such as further studies as the case may be) or professional certifications. At the same time, find at least two part time jobs or business. Wiki moja tu inakutosha kumsahau na kumuona he was a wrong choice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…