Na kuandika ni kwa ajili ya kuweka ushahidi na kumbu kumbu.nini kuiandika ukimwambia mkeo halali wa ndoa kwa imani ya dini ya kiislam kwamba NIMEKUACHA tayari ni talaka
Na kuandika ni kwa ajili ya kuweka ushahidi na kumbu kumbu.
Hujambo binti wa kishirazi?!
Unataka kujifunza kuchezea umeme wa grade ya taifa kwa mikono yako?Salaam wakuu!
Rejea tena kichwa cha bandiko. Sio kama yamenikuta, la hasha. Nataka kujifunza tu, itaweza kuwafaa wengine pia.
Tafiti zinaonesha ongezeko la talaka baina ya wanandoa, hivyo basi sio mbaya kujielimisha na mambo yanayoendelea duniani.
Natanguliza shukrani.
Ncha Kali.
Ongeza kuwa ukinikuta kwenye basi usiniombe NAULI na wala usikae siti moja na mimiNgoja nikuandikie mfano..
Mimi mang'oma nyambiti naandika talaka hii kwa mke wangu tembele mabuja Leo tarehe 11/2/2021.
Ya kwamba kwa dhati ya moyo wangu nimeamua kukuacha na kuvunja ndoa yetu ambayo uliifanya kuwa ndoano!,kwa kushindwa kutimiza mahitaji yangu ya kindoa mfano kuninyima unyumba na kunipikia uji wenye mabuja makubwa ya kunikaba hadi kulazwa na nilivyokuonya hukuacha tabia zako hizo!. Hivyo basi kuanzia leo mimi na wewe sio wanandoa tena na naomba muumba anjijaalie nisikukumbuke tena Wala nisiwaze kupasha kiporo!.
Wako mumeo wa ndoa ndoano.
nini kuiandika ukimwambia mkeo halali wa ndoa kwa imani ya dini ya kiislam kwamba NIMEKUACHA tayari ni talaka
pole sana mkuu, ila usithubutu kumpa mkeo talaka, NARUDIA TENA USITHUBUTU..... yamenikuta mimi uwiiiiiiiiiiiiii, hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Ongeza kuwa ukinikuta kwenye basi usiniombe NAULI na wala usikae siti moja na mimi
Ungeandika kamongo ingetosha tu! Mkuu usifate maneno fata muundo wa nilivyoandika.. ngoja Sasa waje Wanaoujua kuandika talaka mpk na sanduku la posta ikiambatana na sahihi ya mwenyekiti katibu na mtendaji bila kusahau na alfu kumi ya kusindikiza..🤣Wewe kamongo una FUTUHI nyingi mno![emoji16][emoji16]
mkuu ni kwamba kuna mzee aliniambia kama mkeo anataka talaka usimpe kama anataka kusepa acha aondoke ila ukijaribu utapigika vibaya sana. Nikajiona nunda nikampa talaka wife, bwana wee ni mwaka sasa kila ninachogusa hakiendi.Pole sana, hebu tudokeze kidogo uokoe wengi mkuu!
Duuh pole sana...!! Ilaa pambana mzee..mkuu ni kwamba kuna mzee aliniambia kama mkeo anataka talaka usimpe kama anataka kusepa acha aondoke ila ukijaribu utapigika vibaya sana. Nikajiona nunda nikampa talaka wife, bwana wee ni mwaka sasa kila ninachogusa hakiendi.
mkuu napambana sana ila ushawai ona bondia anaingia ulingoni then anakung'utwa round zote 12? halafu ukute mapigano 5 mfululizo yaani round 60 non stop ni kipigo tuu! dogo kama anataka kufanya hii kitu aache kabisa.