Jinsi gani ya kuandika talaka?

Jinsi gani ya kuandika talaka?

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,335
Reaction score
29,114
Salaam wakuu!

Rejea tena kichwa cha bandiko. Sio kama yamenikuta, la hasha. Nataka kujifunza tu, itaweza kuwafaa wengine pia.

Tafiti zinaonesha ongezeko la talaka baina ya wanandoa, hivyo basi sio mbaya kujielimisha na mambo yanayoendelea duniani.

Natanguliza shukrani.

Ncha Kali.
 
Ngoja nikuandikie mfano..

Mimi mang'oma nyambiti naandika talaka hii kwa mke wangu tembele mabuja Leo tarehe 11/2/2021. Ya kwamba kwa dhati ya moyo wangu nimeamua kukuacha na kuvunja ndoa yetu ambayo uliifanya kuwa ndoano!

kwa kushindwa kutimiza mahitaji yangu ya kindoa mfano kuninyima unyumba na kunipikia uji wenye mabuja makubwa ya kunikaba hadi kulazwa na nilivyokuonya hukuacha tabia zako hizo!.

Hivyo basi kuanzia leo mimi na wewe sio wanandoa tena na naomba muumba anjijaalie nisikukumbuke tena Wala nisiwaze kupasha kiporo!.

Wako mumeo wa ndoa ndoano.
 
Ngoja nikuandikie mfano..

Mimi mang'oma nyambiti naandika talaka hii kwa mke wangu tembele mabuja Leo tarehe 11/2/2021....

Wewe kamongo una FUTUHI nyingi mno![emoji16][emoji16]
 
Wakati mwingine ni njia tu ya talaka na ni ngumu kujibu kwa sababu inategemea mambo mengi.

Mambo gani ya msingi huainishwa kwenye talaka?

Si unakumbuka tofauti ya muundo wa barua za kirafiki na kiofisi!
 
pole sana mkuu, ila usithubutu kumpa mkeo talaka, NARUDIA TENA USITHUBUTU..... yamenikuta mimi uwiiiiiiiiiiiiii, hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥
 
Salaam wakuu!

Rejea tena kichwa cha bandiko. Sio kama yamenikuta, la hasha. Nataka kujifunza tu, itaweza kuwafaa wengine pia.

Tafiti zinaonesha ongezeko la talaka baina ya wanandoa, hivyo basi sio mbaya kujielimisha na mambo yanayoendelea duniani.

Natanguliza shukrani.

Ncha Kali.
Unataka kujifunza kuchezea umeme wa grade ya taifa kwa mikono yako?
 
Ngoja nikuandikie mfano..

Mimi mang'oma nyambiti naandika talaka hii kwa mke wangu tembele mabuja Leo tarehe 11/2/2021.
Ya kwamba kwa dhati ya moyo wangu nimeamua kukuacha na kuvunja ndoa yetu ambayo uliifanya kuwa ndoano!,kwa kushindwa kutimiza mahitaji yangu ya kindoa mfano kuninyima unyumba na kunipikia uji wenye mabuja makubwa ya kunikaba hadi kulazwa na nilivyokuonya hukuacha tabia zako hizo!. Hivyo basi kuanzia leo mimi na wewe sio wanandoa tena na naomba muumba anjijaalie nisikukumbuke tena Wala nisiwaze kupasha kiporo!.

Wako mumeo wa ndoa ndoano.
Ongeza kuwa ukinikuta kwenye basi usiniombe NAULI na wala usikae siti moja na mimi
 
pole sana mkuu, ila usithubutu kumpa mkeo talaka, NARUDIA TENA USITHUBUTU..... yamenikuta mimi uwiiiiiiiiiiiiii, hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Pole sana, hebu tudokeze kidogo uokoe wengi mkuu!
 
Wewe kamongo una FUTUHI nyingi mno![emoji16][emoji16]
Ungeandika kamongo ingetosha tu! Mkuu usifate maneno fata muundo wa nilivyoandika.. ngoja Sasa waje Wanaoujua kuandika talaka mpk na sanduku la posta ikiambatana na sahihi ya mwenyekiti katibu na mtendaji bila kusahau na alfu kumi ya kusindikiza..🤣
 
mkuu ni kwamba kuna mzee aliniambia kama mkeo anataka talaka usimpe kama anataka kusepa acha aondoke ila ukijaribu utapigika vibaya sana. Nikajiona nunda nikampa talaka wife, bwana wee ni mwaka sasa kila ninachogusa hakiendi.
Duuh pole sana...!! Ilaa pambana mzee..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Hata ukitamtakia tu..kuanzia leo nakupa talaka tatu..hio unakua umempa mkeo talaka pamoja na wazazi wake..Dunia ina mambo!Unawapa wazazi wa mkeo talaka na inakubalika.
 
Duuh pole sana...!! Ilaa pambana mzee..

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
mkuu napambana sana ila ushawai ona bondia anaingia ulingoni then anakung'utwa round zote 12? halafu ukute mapigano 5 mfululizo yaani round 60 non stop ni kipigo tuu! dogo kama anataka kufanya hii kitu aache kabisa.
 
Back
Top Bottom