Jinsi gani ya kukabiliana na wizi/utapeli unaotokana na kusemeshwa na kupumbazwa na mtu usiyemjua?

Kila nikikumbuka nalia mie [emoji24][emoji24][emoji24]

Ilikua 2019 December, npo 1St yr na 1st semester, ilikua ni pale posta pale karibu na bunge primary,

Ni weekend ilikua nkatoka zangu home, nkamtembelea shost angu pale IFM, bas nkafika palee chuon tuka meet then tukatoka kuelekea Coco beach, tuka enjoy huko then tukarud nikamuacha pale chuon kwake, mie naondoka kurud home, bas natembea tyuuh kufika karibu na pale shule nakutan na mkaka kwa kumtazama nilihis ni mwanachuo pia, coz alikua na muonekano huo.

Akaanza kunisemesha mara story kidg nkashangaa namkabizi mkoba ulikua na 180k, na cm ndogo, na funguo za ghetto, nkampa na cm kubwa niliyoshka mkononon, hata sijui nilimpaje, tukaachana tena kwaa kuagana vizuri, Mie nkaenda kupanda boda huyo home,

Fahamu imekuja kurudi nipo kwenye boda, najishangaa cna cm, mkoba pia, yaan hata sikua naelewa, kufika home jamaa inabidi nimpe naul yake nabaki kuhaha, ikabidi niingie ndani nkaomba msaada wa yule boda kuvunja kufuli nkaingia ndan nkatoa hela nkampa akaondoka, nilianza kulia mie hapo hadi kamasi,

Wallah sitasahau lile tukio kamweee. Na lilinipa funzo hapa dar, now hata marafiki siwaamini akuuuh. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Kila nikikumbukaga sometimes naliaa tyuuh. Dar hapana kwa kweli khaaaaah.
Watoto wa aiefuemu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Dar nyoso sana mm ndomana nikiwa na hela sicheki na mtu kwenye daladala kabisa haswa pale Mlimani City ndo pabaya pale kuna rafiki yangu kipindi niko Advance mama ake alikuwa hawezi pirika ikitokea huwa anampa Card mwanae akatoe pesa za matumizi.

Ile kutoka tu pale mlimani City wana hawa hapa Salimia wakaanza story za nyota jamaa akawapa pesa alizotoa kwenye ATM na Simu fahamu zilimjia baada ya kufika kwamama yake kwao Full kilio asahau ile siku.

Ila hawa jamaa kwa haraka na fikra zinazonijia aidha wanatumia Jini au Dawa na haswa zaidi ni jini kitendo cha kuitikia inamaana ummempa ruksa jini akuvae na akutawale na akuamrishe na wengi wahanga niwanawake kuliko wanaume na haswa ukiwa mchafu, pombe na mtu wazinaa ni rahisi sana kufanikiwa kwao.
 
Sina hamu kilichonikuta pale Dodoma [emoji16], mpaka leo nikikuta Yale makundi yanayouza vitu kwa mnada alafu watu kibao wanawazunguka, sitaki kabisa kusogea. Ata nikipita pale karume kariakoo huwa nawatazama tu wale watu afu nasema hiiiii Kuna watu wanapigwa apa kama nilivyopigwa Mimi[emoji28].

Uzuri nilienda adi polisi, na nikaja na polisi adi Ile sehemu na wakaanza kutajana. Nilirudishiwa simu zangu zote, na pesa walinirudishia nusu, ata izo nikashukuru tu maana walinipukutisha pesa zote [emoji2360] na nilikuwa naenda mkoani Morogoro.

Pole sana, yaani bongo ukishapambana na ulimwengu inabidi ujipange kupambana na walimwengu wenyewe
 
dadangu alishapigwa mitaa ya chini ya mti hapao A twn

aliambiwa tu dada “samahani unapajua kituo cha watoto yatima kinaitwa huruma”

fahamu zilipotea hapo hapo kuja kushtuka alishawapa simu pochi, kadi ya bank na mpk hela ya nauli.
walimuosha ka hela kake kote

Imagine mtu anakuuliza hivi tu… Yaani hawa dawa yao sijui nn aisee, maana kuuchuna nacho kipaji
 
Sina hamu kilichonikuta pale Dodoma [emoji16], mpaka leo nikikuta Yale makundi yanayouza vitu kwa mnada alafu watu kibao wanawazunguka, sitaki kabisa kusogea. Ata nikipita pale karume kariakoo huwa nawatazama tu wale watu afu nasema hiiiii Kuna watu wanapigwa apa kama nilivyopigwa Mimi[emoji28].

Uzuri nilienda adi polisi, na nikaja na polisi adi Ile sehemu na wakaanza kutajana. Nilirudishiwa simu zangu zote, na pesa walinirudishia nusu, ata izo nikashukuru tu maana walinipukutisha pesa zote [emoji2360] na nilikuwa naenda mkoani Morogoro.

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mkuu
 
Duuuuh poleeeeh sana.
 
Siku ya kwanza nilikuwa nimetoka shule naingia mitaa ya mjini nakuta kuna watu wengi wamezunguka huku kuna screen za kutosha,mabegi makubwa,gari carina kama nne, simu utasema shop imehamia pale na yote kwa yote pesa ya kutosha ipo.
Inanadiwa kuwa wamepewa kibari na serikali hivyo wapo kisheria baada ya kuona mchezo wao unanufaisha zaidi wananchi. Kuna namba za bahati anazungusha kwa hela yoyote au kitu chochote ulichonacho na namba hiyo inawakilisha kitu fulani cha thamani. Ile sijakaa poa kuna mtu anashangilia carina kwa elfu 5,mara paa mwingine screen amebeba kwa saa aliyokuwa amevaa mkononi.
Nikaona hapa hapa leo narudi shulena na bab kubwa carina au kompyuta. Nikaweka kiswaswadu ikasoma elfu 20, akasema unaweka hii zawadi yako nikakubari ndio, ikasoma hakuna zawadi ah nilichoka. Nikaomba laini nikapewa nikajiondokea taaratibu hiyo wiki ilikuwa ngumu sana na ile simu ilikuwa ya rafiki yangu hadi tuligombana ila nilimficha ukweli na nilimdanganya simu imepotea kwenye daladala
 
Hata wanaotumia simu ili waingize gia zao, huwa nawapokea kwa lugha ya kuudhi mpaka hawapendi
 
Ila Dar nyoso sana mm ndomana nikiwa na hela sicheki na mtu kwenye daladala kabisa haswa pale Mlimani City ndo pabaya pale kuna rafiki yangu kipindi niko Advance mama ake alikuwa hawezi pirika ikitokea huwa anampa Card mwanae akatoe pesa za matumizi.

Ile kutoka tu pale mlimani City wana hawa hapa Salimia wakaanza story za nyota jamaa akawapa pesa alizotoa kwenye ATM na Simu fahamu zilimjia baada ya kufika kwamama yake kwao Full kilio asahau ile siku.

Ila hawa jamaa kwa haraka na fikra zinazonijia aidha wanatumia Jini au Dawa na haswa zaidi ni jini kitendo cha kuitikia inamaana ummempa ruksa jini akuvae na akutawale na akuamrishe na wengi wahanga niwanawake kuliko wanaume na haswa ukiwa mchafu, pombe na mtu wazinaa ni rahisi sana kufanikiwa kwao.
Hamna jini wala nini, watu tamaa na ujinga ndo vinawaponza!
 
Kila nikikumbuka nalia mie [emoji24][emoji24][emoji24]

Ilikua 2019 December, npo 1St yr na 1st semester, ilikua ni pale posta pale karibu na bunge primary,

Ni weekend ilikua nkatoka zangu home, nkamtembelea shost angu pale IFM, bas nkafika palee chuon tuka meet then tukatoka kuelekea Coco beach, tuka enjoy huko then tukarud nikamuacha pale chuon kwake, mie naondoka kurud home, bas natembea tyuuh kufika karibu na pale shule nakutan na mkaka kwa kumtazama nilihis ni mwanachuo pia, coz alikua na muonekano huo.

Akaanza kunisemesha mara story kidg nkashangaa namkabizi mkoba ulikua na 180k, na cm ndogo, na funguo za ghetto, nkampa na cm kubwa niliyoshka mkononon, hata sijui nilimpaje, tukaachana tena kwaa kuagana vizuri, Mie nkaenda kupanda boda huyo home,

Fahamu imekuja kurudi nipo kwenye boda, najishangaa cna cm, mkoba pia, yaan hata sikua naelewa, kufika home jamaa inabidi nimpe naul yake nabaki kuhaha, ikabidi niingie ndani nkaomba msaada wa yule boda kuvunja kufuli nkaingia ndan nkatoa hela nkampa akaondoka, nilianza kulia mie hapo hadi kamasi,

Wallah sitasahau lile tukio kamweee. Na lilinipa funzo hapa dar, now hata marafiki siwaamini akuuuh. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Kila nikikumbukaga sometimes naliaa tyuuh. Dar hapana kwa kweli khaaaaah.
Dar sio kama kwenu tunduru sijui mbambabay kule,[emoji2]

We unadhani kwanini paliitwa "BONGO"

Dedication:

Bongo daresalaamu -Proj J FT jay dee
 
Back
Top Bottom