abdul jaffer
New Member
- Jan 3, 2019
- 1
- 7
Habari yako Mike TysonRaia mliopo hapo ni waoga,mnao ushamba wa eti huyu ni mwanajeshi.Kwanini usimdhibiti?
Acha kudanganya wenzio.Ungekuwepo ungedindisha mkonga?Raia mliopo hapo ni waoga,mnao ushamba wa eti huyu ni mwanajeshi.Kwanini usimdhibiti?
Kwani wao si binadamu?Akichokozwa amuachie Mungu atende miujiza? Such a hopeless kinda!Ni kuwashtaki kijeshi ipo wazi hawaruhusiwi kufanya Fuji ya aina yeyote mtaani
Siyo kudanganya,hivi ulishajiuliza kwanini huwa wakiwa peke yao hawaleti ujinga?mtu anabutuliwa kama kawaida na washamba wanabaki kushangaa jamaa kapigwa,usimchukulie poa kila RAIA.Acha kudanganya wenzio.Ungekuwepo ungedindisha mkonga?
🤣🤣🤣 daaah nomaAnamfanyisha mazoezi!?Tulia dogo.Wazee bila mazoezi hufa mapema.
Ukute ni koplo tuHuyo mjeda ana Cheo gani mkuu
Acha kujitoa akili, ina maana nchi inaendeshwa hivyo, kuwa mtu akichokozwa anajiamulia cha kufanya?!!Kwani wao si binadamu?Akichokozwa amuachie Mungu atende miujiza? Such a hopeless kinda!
Hakuna mwanajeshi mwenye cheo kuanzia nyota moja anayeweza kufanya ujinga huo!! Wengi wao ni hao wanaoanzia u private hadi koplo!!hawajitambui, kuna mmoja alijifanya mbambe, nilisumbuana naye hadi kambini kwake, hata kuja kusahau, hadi leo hii tunaheshimiana!!Ukute ni koplo tu
Yes au Private kabisaUkute ni koplo tu
Kaa hivyohivyo.GuniooAcha kujitoa akili, ina maana nchi inaendeshwa hivyo, kuwa mtu akichokozwa anajiamulia cha kufanya?!!