saleni
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 1,880
- 2,843
Toeni taarifa kambini, au mnamuogopa kule wata muhukumu kijeshiMambo vip jman
Ni nani anajua jinsi ya kumshtaki mwanajeshi anaesumbua wananchi nipo huku naona Mzee anaonewa kweli Mzee anaumri wa miaka 66 anarukishwa kichura chura uraiani.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app