hapo ndo umemuelekezaje sasa ...kwann usimwambie kuhusu cc then ndo uje umwambie kifupi tunaandika L badala ya thousand of cc's
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo ndo umemuelekezaje sasa ...kwann usimwambie kuhusu cc then ndo uje umwambie kifupi tunaandika L badala ya thousand of cc's
samahani kwa kuingilia mada hivi hii 2.5L au 3.5L inamaanisha nini?
Consumption depends on time of travel, kutoka sehemu A to B kama ni dakika 10 kukiwa na jum na kutumia saa au saa mbili no way out, shida ya miundo mbinu, inaweza kuwa upo dar nk lakini kama ungekuwa mkoa wala usingesema case Hii ni ndogoHi guys.
Natumia brevis 2.5 ,,, inakula sana mafuta ,,, Swali la msaada: Is there any technique to reduce fuel consumption??! Pia kuongezeka kwa ulaji wa mafuta inachangiwa na nn hasa.
Ahsante.
Santee mkuuWhat does 3.5L mean in case of a car? All car engines have a capacity, and that is defined either in terms of CC (Cubic Capacity) or in L Or Lts Or Ltr (Litres). Cubic centimeters (cc) or L in case of an internal combustion engine, is a measure of the combustion space in the cylinders.
Fanya haya
. service yako tumia genuine parts &lubricants
. kwa engine kubwa kama hiyo epuka kuweka mafuta ya elfu kumi
. usiwe mtu wa ma speed bila sababu
. unapo accelerate ongeza mafuta taratibu na punguza mwendo taratibu epuka kupanda na kushuka randomly
. usiwe mtu wa kutumia neutral gear kwenye foleni
Haya machache yatakusaidia kuokoa Lita kasha
Between 2.5 ni engine kubwa hasa kama sio vvt-i au vvt hivyo fuel consumption ni tofauti kabisa na engine ya 1.5
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna velocity hapo mashine haitumii mafuta mengi kwakuwa hakuna mwendoJe kuwa kwenye gear (D) & kukanyaga break si kunakula mafuta kuwa katika Netral gear? Naomba kuelimishwa tafadhali.Ahsante
Dadeki zako...kama ulikuwa huna coment yenye msaada kwa mtoa uzi ungekaa kimya...wala usingekufa..Swali langu dogo sana, kama siyo kunywa mafuta ulitaka linywe mchemsho?
Hizi mambo ulitakiwa kuzijua kabla hata hujanunua hilo jini
Mimi nafahamu technique mama ya kuzuia gari yoyote kula mafuta hata iwe na 5000 cc, Technique yenyewe ni KUPAKI GARI yaani haili hata kijiko kimoja.
Hahahahaahahaha aiseeeeMimi nafahamu technique mama ya kuzuia gari yoyote kula mafuta hata iwe na 5000 cc, Technique yenyewe ni KUPAKI GARI yaani haili hata kijiko kimoja.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] bangi mbaya sanaMimi nafahamu technique mama ya kuzuia gari yoyote kula mafuta hata iwe na 5000 cc, Technique yenyewe ni KUPAKI GARI yaani haili hata kijiko kimoja.
Hi guys.
Natumia brevis 2.5 ,,, inakula sana mafuta ,,, Swali la msaada: Is there any technique to reduce fuel consumption??! Pia kuongezeka kwa ulaji wa mafuta inachangiwa na nn hasa.
Ahsante.
1 litre per 200 km????Kwenye boxer huwaga tunacheza carburetor, 1litre per 200+km
Gudume nasikia unatumia vitz siku hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kawaida.gari yake mafuta.ya umeme hayo sisi bado.inakula sana ukilinganisha na nini?unaposema sana unafaham ulaji wake wa mafuta wastan ni upi? Kuna njia za kiswahili za kubana pump n.k but sikudhauri gari itakuwa weak haina afya nzuri. Malnutrion. Unapokuwa barabaran utagundua haina nguvu na hata pia haina furaha.mwenyewe utaionea huruma itakavyokuwa inanung'unika. Usithibutu kuiendea unyama wa namna hiyo.uza nunua gari ambayo haitakusumbua mafuta.ila hiyo brevis chonde chonde usiinyime haki yake.
Gudume nasikia unatumia vitz siku hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]