Jinsi gani ya kupunguza fuel consumption

Jinsi gani ya kupunguza fuel consumption

samahani kwa kuingilia mada hivi hii 2.5L au 3.5L inamaanisha nini?

What does 3.5L mean in case of a car? All car engines have a capacity, and that is defined either in terms of CC (Cubic Capacity) or in L Or Lts Or Ltr (Litres). Cubic centimeters (cc) or L in case of an internal combustion engine, is a measure of the combustion space in the cylinders.
 
Tairi zako hakikisha zina upepo wa kutosha,acha kutumia kiyoyozi,unapoanza kuondoka usivute sana mafuta,unapokuwa kwenye high speed engine rotation isizidi 2.5..hii itakusidia tu kama uko kwenye miji isio na foleni nyingi,ila kama unaishi Dar huwezi kukwepa hayo mateso...
 
Hi guys.
Natumia brevis 2.5 ,,, inakula sana mafuta ,,, Swali la msaada: Is there any technique to reduce fuel consumption??! Pia kuongezeka kwa ulaji wa mafuta inachangiwa na nn hasa.
Ahsante.
Consumption depends on time of travel, kutoka sehemu A to B kama ni dakika 10 kukiwa na jum na kutumia saa au saa mbili no way out, shida ya miundo mbinu, inaweza kuwa upo dar nk lakini kama ungekuwa mkoa wala usingesema case Hii ni ndogo
 
What does 3.5L mean in case of a car? All car engines have a capacity, and that is defined either in terms of CC (Cubic Capacity) or in L Or Lts Or Ltr (Litres). Cubic centimeters (cc) or L in case of an internal combustion engine, is a measure of the combustion space in the cylinders.
Santee mkuu
 
Unatumia recommended oil? Hicho ndio chakuzingatia kwenye gari zenye engine kubwa maana wengi wetu tunajiwekea bora oil 20w50 na nyinginezo... weka 5w30 ingawa ni expensive kwa lita sio chini ya elfu 20 uone jinsi consumption itakavyoshuka.... la sivyo itakuumiza
 
Je kuwa kwenye gear (D) & kukanyaga break si kunakula mafuta kuwa katika Netral gear? Naomba kuelimishwa tafadhali.Ahsante

Fanya haya
. service yako tumia genuine parts &lubricants
. kwa engine kubwa kama hiyo epuka kuweka mafuta ya elfu kumi
. usiwe mtu wa ma speed bila sababu
. unapo accelerate ongeza mafuta taratibu na punguza mwendo taratibu epuka kupanda na kushuka randomly
. usiwe mtu wa kutumia neutral gear kwenye foleni
Haya machache yatakusaidia kuokoa Lita kasha
Between 2.5 ni engine kubwa hasa kama sio vvt-i au vvt hivyo fuel consumption ni tofauti kabisa na engine ya 1.5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali langu dogo sana, kama siyo kunywa mafuta ulitaka linywe mchemsho?
Hizi mambo ulitakiwa kuzijua kabla hata hujanunua hilo jini
Dadeki zako...kama ulikuwa huna coment yenye msaada kwa mtoa uzi ungekaa kimya...wala usingekufa..

Mtoa mada jaribu kuangalia vitu kama oxygen sensor....mfumo wa hewa kwa ujumla bila kusahau air cleane...mfuno wa mafuta pia kagua vitu kama fuel filter labda ni chafu sqna..

pia angalia engine oil unayotumia...maoil mengine mazito sana na engine inakuwa nzito hiv inakamua wese
 
Mimi nafahamu technique mama ya kuzuia gari yoyote kula mafuta hata iwe na 5000 cc, Technique yenyewe ni KUPAKI GARI yaani haili hata kijiko kimoja.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] bangi mbaya sana
 
Ni kawaida.gari yake mafuta.ya umeme hayo sisi bado.inakula sana ukilinganisha na nini?unaposema sana unafaham ulaji wake wa mafuta wastan ni upi? Kuna njia za kiswahili za kubana pump n.k but sikudhauri gari itakuwa weak haina afya nzuri. Malnutrion. Unapokuwa barabaran utagundua haina nguvu na hata pia haina furaha.mwenyewe utaionea huruma itakavyokuwa inanung'unika. Usithibutu kuiendea unyama wa namna hiyo.uza nunua gari ambayo haitakusumbua mafuta.ila hiyo brevis chonde chonde usiinyime haki yake.

Hi guys.
Natumia brevis 2.5 ,,, inakula sana mafuta ,,, Swali la msaada: Is there any technique to reduce fuel consumption??! Pia kuongezeka kwa ulaji wa mafuta inachangiwa na nn hasa.
Ahsante.
 
Ni kawaida.gari yake mafuta.ya umeme hayo sisi bado.inakula sana ukilinganisha na nini?unaposema sana unafaham ulaji wake wa mafuta wastan ni upi? Kuna njia za kiswahili za kubana pump n.k but sikudhauri gari itakuwa weak haina afya nzuri. Malnutrion. Unapokuwa barabaran utagundua haina nguvu na hata pia haina furaha.mwenyewe utaionea huruma itakavyokuwa inanung'unika. Usithibutu kuiendea unyama wa namna hiyo.uza nunua gari ambayo haitakusumbua mafuta.ila hiyo brevis chonde chonde usiinyime haki yake.
Gudume nasikia unatumia vitz siku hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom