unatumia android tv au normal screen?Nimefungiwa rear camera kwenye gari yangu. Nami kwa kutokujua, niliondoka bila kujua kuwa huwa zinaonesha mistari miwili ambayo ni mpaka wa kitu kilicho katikati ya barabara.
Inanipa shida, kwani, japo inaonesha nyuma, inaonesha vyote hata vilivyo pembeni.
Nisaidieni jinsi ya kurekebisha.
Kamera iko sahihi kukuonyesha hadi pembeni, haijalishi ni aina gani ya screen uliofunga. Tatizo hapo lipo baina ya camera na mtumiaji.Wanajamvi, bado naomba mnisaidie juu ya hija yangu. Hakuna wajuzi wa issue hii humu?
Nashukuru sana bro.Kamera iko sahihi kukuonyesha hadi pembeni, haijalishi ni aina gani ya screen uliofunga. Tatizo hapo lipo baina ya camera na mtumiaji.
Sio kila camera ina mistari, na kazi ya mistari ni kukuonyesha chombo chako kitapita usawa upi na sio kipite wapi, unaweza kupita ktk mstari mwekundu na kusiwe na athari yeyote endapo tu utavitumia vioo vyoko vya pembeni vizuri.
Camera usiitegemee sana ukasahau vioo vya pembeni, itakuingiza chaka.
Cha muhinu hakikisha iseti camera ya gari yako kwa kuishusha/kuinamisha chini hadi uone bampa la gari yako, itakusaidia kuona kati ya kitu kilichopo nyuma na mwisho wa gari yako.
"""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Nakushukuru pia mkuu.Nyongeza ya hapo...
Usisahau kukata ule waya wa kijani mdogo ule kazi yake ni kufanya mirror ya camera yako, usipo kata camera itakua inabadilisha orientation view kulia inakua kushoto na kushoto inakua kuliaa ..itakuchanganya.
Ule waya mweupe ni mistari (parking lane) kama unataka mistari uonekane View attachment 2562471
unakata kama hutaki mistari unaunganisha waya. View attachment 2562472