Jinsi hali ilivyo, Tundu Lissu atakuwa kiongozi wa term moja tu CHADEMA

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Siwezi kuamini kama G-55, ndiyo wameondoka mazima hapana, G55 ipo mapumzikoni bila kupoteza status ya Chadema, wanangoja, wanasubiri anguko kuu, ukizingatia CHADEMA haiwezi kushiriki uchaguzi kwa namna yoyote Ile, I thought very soon itakuwa ban away, kufanya kampeni kwa chama ambacho hakishiriki uchaguzi 2025, G55 ni Umoja wenye nguvu kubwa na mbinu nyingi za kisiasa.

Hawa sio kama wale nguruwe wanaopelekeshwa ovyo kwa kauli na maelekezo ya kiongozi mmoja, bila vikao husika kujadili jambo, ukizingatia lissu alisha onyesha dalili za kuwa negative mapema sana ndani ya chadema, wangeliweza kumfukuza mapema sana, lakini kwa busara za viongozi wa CHADEMA hawakuona ya kwamba hilo ni la msingi sana, kumbe walilea kiumbe hatari bila kufahamu.

So sasa uongozi mpya unaona wao hakuna sababu za kurembe remba wanafukuza watu mapema, hakika chadema kimegeuka kuwa chama cha chuki, ubinafsi, visasi na vinyongo!

Hii ndiyo chadema mpya.

N. B, Tunaiomba serekali yetu iizuie chadema kuendelea na mikutano ambayo si ya kutoa sera zake, bali ni ya kujenga chuki ukizingatia haiwezi kushiriki uchaguzi kwani tayari imeshakiuka kanuni za kimsingi za uchaguzi.

°Chadema mpya itazaliwa 2029!
°Ombi langu kwa mh. Mbowe asiondoke chadema, ili aje kuwa competitor wa lissu, atapokewa na kushinda kwa kishindo baada ya lissu kuboronga vibaya sana!
 
Siwezi kuamini kama G-55, ndiyo wameondoka mazima hapana, g55,ipo mapumzikoni bila kupoteza status ya Chadema, wanangoja, wanasubiri anguko kuu, ukizingatia chadema haiwezi kushiriki uchaguzi kwa namna yeyote Ile, I thought very soon itakuwa ban away, kufanya kampeni kwa chama ambacho hakishiriki uchaguzi 2025, G55 ni Umoja wenye nguvu kubwa na mbinu nyingi za kisiasa Hawa sio kama wale nguruwe wanaopelekeshwa hovyo kwa kauli na maelekezo ya kiongozi mmoja, bila vikao husika kujadili jambo, ukizingatia lissu alisha onyesha dalili za kuwa negative mapema sana ndani ya chadema, wangeliweza kumfukuza mapema sana, lakini kwa busara za viongozi wa Chadema hawakuona ya kwamba Hilo ni la msingi sana, kumbe walilea kiumbe hatari bila kufahamu, so sasa uongozi mpya unaona wao hakuna sababu za kurembe remba wanafukuza watu mapema, hakika chadema kimegeuka kuwa chama cha chuki, ubinafsi, visasi na vinyongo!
# Hii ndiyo chadema mpya.
chawa mtahaha sana mwaka huu

TAL ameshawaambia mkitaka mumnyonge hadi kufa kama itawasaida kuficha maovu yenu ya kuiuza nchi!
 
Siwezi kuamini kama G-55, ndiyo wameondoka mazima hapana, g55,ipo mapumzikoni bila kupoteza status ya Chadema, wanangoja, wanasubiri anguko kuu, ukizingatia chadema haiwezi kushiriki uchaguzi kwa namna yeyote Ile, I thought very soon itakuwa ban away, kufanya kampeni kwa chama ambacho hakishiriki uchaguzi 2025, G55 ni Umoja wenye nguvu kubwa na mbinu nyingi za kisiasa Hawa sio kama wale nguruwe wanaopelekeshwa hovyo kwa kauli na maelekezo ya kiongozi mmoja, bila vikao husika kujadili jambo, ukizingatia lissu alisha onyesha dalili za kuwa negative mapema sana ndani ya chadema, wangeliweza kumfukuza mapema sana, lakini kwa busara za viongozi wa Chadema hawakuona ya kwamba Hilo ni la msingi sana, kumbe walilea kiumbe hatari bila kufahamu, so sasa uongozi mpya unaona wao hakuna sababu za kurembe remba wanafukuza watu mapema, hakika chadema kimegeuka kuwa chama cha chuki, ubinafsi, visasi na vinyongo!
# Hii ndiyo chadema mpya.
Kuzoea vyeo shida
 
MAMULUKI wote waondoke, na wengine wafukuzwe mara moja. Ili hapo mwishoni mwa mwaka huu chama kitakaposhika dola kisiwe na doa wala mapandikizi na vibaraka.✍️
#NoReformsNoElection
 
Siwezi kuamini kama G-55, ndiyo wameondoka mazima hapana, g55,ipo mapumzikoni bila kupoteza status ya Chadema, wanangoja, wanasubiri anguko kuu, ukizingatia chadema haiwezi kushiriki uchaguzi kwa namna yeyote Ile, I thought very soon itakuwa ban away, kufanya kampeni kwa chama ambacho hakishiriki uchaguzi 2025, G55 ni Umoja wenye nguvu kubwa na mbinu nyingi za kisiasa Hawa sio kama wale nguruwe wanaopelekeshwa hovyo kwa kauli na maelekezo ya kiongozi mmoja, bila vikao husika kujadili jambo, ukizingatia lissu alisha onyesha dalili za kuwa negative mapema sana ndani ya chadema, wangeliweza kumfukuza mapema sana, lakini kwa busara za viongozi wa Chadema hawakuona ya kwamba Hilo ni la msingi sana, kumbe walilea kiumbe hatari bila kufahamu, so sasa uongozi mpya unaona wao hakuna sababu za kurembe remba wanafukuza watu mapema, hakika chadema kimegeuka kuwa chama cha chuki, ubinafsi, visasi na vinyongo!
# Hii ndiyo chadema mpya.

Wishful thinking, Goodluck though
 
Back
Top Bottom