Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
chawa mtahaha sana mwaka huuSiwezi kuamini kama G-55, ndiyo wameondoka mazima hapana, g55,ipo mapumzikoni bila kupoteza status ya Chadema, wanangoja, wanasubiri anguko kuu, ukizingatia chadema haiwezi kushiriki uchaguzi kwa namna yeyote Ile, I thought very soon itakuwa ban away, kufanya kampeni kwa chama ambacho hakishiriki uchaguzi 2025, G55 ni Umoja wenye nguvu kubwa na mbinu nyingi za kisiasa Hawa sio kama wale nguruwe wanaopelekeshwa hovyo kwa kauli na maelekezo ya kiongozi mmoja, bila vikao husika kujadili jambo, ukizingatia lissu alisha onyesha dalili za kuwa negative mapema sana ndani ya chadema, wangeliweza kumfukuza mapema sana, lakini kwa busara za viongozi wa Chadema hawakuona ya kwamba Hilo ni la msingi sana, kumbe walilea kiumbe hatari bila kufahamu, so sasa uongozi mpya unaona wao hakuna sababu za kurembe remba wanafukuza watu mapema, hakika chadema kimegeuka kuwa chama cha chuki, ubinafsi, visasi na vinyongo!
# Hii ndiyo chadema mpya.
Kuzoea vyeo shidaSiwezi kuamini kama G-55, ndiyo wameondoka mazima hapana, g55,ipo mapumzikoni bila kupoteza status ya Chadema, wanangoja, wanasubiri anguko kuu, ukizingatia chadema haiwezi kushiriki uchaguzi kwa namna yeyote Ile, I thought very soon itakuwa ban away, kufanya kampeni kwa chama ambacho hakishiriki uchaguzi 2025, G55 ni Umoja wenye nguvu kubwa na mbinu nyingi za kisiasa Hawa sio kama wale nguruwe wanaopelekeshwa hovyo kwa kauli na maelekezo ya kiongozi mmoja, bila vikao husika kujadili jambo, ukizingatia lissu alisha onyesha dalili za kuwa negative mapema sana ndani ya chadema, wangeliweza kumfukuza mapema sana, lakini kwa busara za viongozi wa Chadema hawakuona ya kwamba Hilo ni la msingi sana, kumbe walilea kiumbe hatari bila kufahamu, so sasa uongozi mpya unaona wao hakuna sababu za kurembe remba wanafukuza watu mapema, hakika chadema kimegeuka kuwa chama cha chuki, ubinafsi, visasi na vinyongo!
# Hii ndiyo chadema mpya.
MAMULUKI wote waondoke, na wengine wafukuzwe mara moja. Ili hapo mwishoni mwa mwaka huu chama kitakaposhika dola kisiwe na doa wala mapandikizi na vibaraka.✍️Siwezi kuamini kama G-55, ndiyo wameondoka mazima hapana, g55,ipo mapumzikoni bila kupoteza status ya Chadema, wanangoja, wanasubiri anguko kuu, ukizingatia chadema haiwezi kushiriki uchaguzi kwa namna yeyote Ile, I thought very soon itakuwa ban away, kufanya kampeni kwa chama ambacho hakishiriki uchaguzi 2025, G55 ni Umoja wenye nguvu kubwa na mbinu nyingi za kisiasa Hawa sio kama wale nguruwe wanaopelekeshwa hovyo kwa kauli na maelekezo ya kiongozi mmoja, bila vikao husika kujadili jambo, ukizingatia lissu alisha onyesha dalili za kuwa negative mapema sana ndani ya chadema, wangeliweza kumfukuza mapema sana, lakini kwa busara za viongozi wa Chadema hawakuona ya kwamba Hilo ni la msingi sana, kumbe walilea kiumbe hatari bila kufahamu, so sasa uongozi mpya unaona wao hakuna sababu za kurembe remba wanafukuza watu mapema, hakika chadema kimegeuka kuwa chama cha chuki, ubinafsi, visasi na vinyongo!
# Hii ndiyo chadema mpya.
If only they had known earlier - but now, it's too late!if they could knew earlier, but it's too late!
Mkuu, kwa hiyo ndiyo kusema wameirahisishia kamati kuu kazi ya kukaa vikao vya kuwajadili?MAMULUKI wote waondoke, na wengine wafukuzwe mara moja. Ili hapo mwishoni mwa mwaka huu chama kitakaposhika dola kisiwe na doa wala mapandikizi na vibaraka.✍️
#NoReformsNoElection
Siwezi kuamini kama G-55, ndiyo wameondoka mazima hapana, g55,ipo mapumzikoni bila kupoteza status ya Chadema, wanangoja, wanasubiri anguko kuu, ukizingatia chadema haiwezi kushiriki uchaguzi kwa namna yeyote Ile, I thought very soon itakuwa ban away, kufanya kampeni kwa chama ambacho hakishiriki uchaguzi 2025, G55 ni Umoja wenye nguvu kubwa na mbinu nyingi za kisiasa Hawa sio kama wale nguruwe wanaopelekeshwa hovyo kwa kauli na maelekezo ya kiongozi mmoja, bila vikao husika kujadili jambo, ukizingatia lissu alisha onyesha dalili za kuwa negative mapema sana ndani ya chadema, wangeliweza kumfukuza mapema sana, lakini kwa busara za viongozi wa Chadema hawakuona ya kwamba Hilo ni la msingi sana, kumbe walilea kiumbe hatari bila kufahamu, so sasa uongozi mpya unaona wao hakuna sababu za kurembe remba wanafukuza watu mapema, hakika chadema kimegeuka kuwa chama cha chuki, ubinafsi, visasi na vinyongo!
# Hii ndiyo chadema mpya.