mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Hahaha Sasa basi Hawa wanapenda Kiki na good timeKajala ,linah ,wolper mbona hao wadangaji?..
Mdangaji anaangalia mashine?..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kajala ,linah ,wolper mbona hao wadangaji?..
Mdangaji anaangalia mashine?..
Paula alivujisha videoUmejuaje ukubwa wa mashine yake?
Kajala aliinadi kule Zanzibar mwezi February. Mange alisema WCB hakuna anaemfikia Harmo.Umejuaje ukubwa wa mashine yake?
Hahahaa sio kwa kulinganishwa huko wcb nzima. Ila wanaume wa kimakonde pasua kichwa sana, sishangai harmo kuachwa, tunawawezaga wenyewe konde girlsKajala aliinadi kule Zanzibar mwezi February. Mange alisema WCB hakuna anaemfikia Harmo.
πππHahahaa sio kwa kulinganishwa huko wcb nzima. Ila wanaume wa kimakonde pasua kichwa sana, sishangai harmo kuachwa, tunawawezaga wenyewe konde girls
Kwahiyo huyo Mange yeye anazijua zote za watu wa WCB?Kajala aliinadi kule Zanzibar mwezi February. Mange alisema WCB hakuna anaemfikia Harmo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kajala aliinadi kule Zanzibar mwezi February. Mange alisema WCB hakuna anaemfikia Harmo.
Alimwambia Harmo asijilinganishe na Diamond, kitu anachomshinda ni hicho tu na kwa hicho pale WCB yeye hana mpinzani.Kwahiyo huyo Mange yeye anazijua zote za watu wa WCB?
NB. Ni muhimu sana kumeza dawa za minyoo kila baada ya miezi 3
Kajala aliinadi kule Zanzibar mwezi February. Mange alisema WCB hakuna anaemfikia Harmo.
NB. Ni muhimu sana kumeza dawa za minyoo kila baada ya miezi 3