Jinsi Harmonize anavyochezea vibuti, kweli Mapenzi si kuwa na mashine mkubwa

Jinsi Harmonize anavyochezea vibuti, kweli Mapenzi si kuwa na mashine mkubwa

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Nilifikiri mtu akiwa Ana mashine kubwa basi wanawake watamkimbilia na hawawezi kumuacha Wala kumuv on, Sasa jomba nchumali kila sehemu anakula kibuti, Wolipa, Salah, Kajara, Lina, Sasa Haina faida kumbe mapenzi ni zaidi ya maumbile ya sehemu nyeti.

Kama madada wangekuwa wanapenda mashine basi Kajala angebaki,
 
Yeye si ndo alimpiga matukio Sara? Mfujaji tu huyo.
 
Wanawake wanahitaji care zaidi na sio maumbile au pesa.
Simaanishi hivi havihitajika bali cha kwanza ni furaha.
Sarah amekimbizwa na tabia ya Harmo ya kutokuwa mwaminifu..careless
 
Back
Top Bottom