Jinsi Hezbollah inavyoitembezea kichapo Israel kimyakimya

Hawana maneno mengi ni utekelezaji tu. Nilikua nasoma asubuhi Sasa hivi israeli hawezi kurusha ndege vita Lebanon kama avotaka zinatolewa nduki sana na Air defense za Iran.
Amka usijikojolee. Israel inarusha ndege kwenye anga la Syria ambapo Iran ipo miaka zaidi ya 10. Sembuse hapo Lebanon ambapo Iran hawana military presence?

Wakati Jenerali Soleimani anauwawa na drones kule Iraq hakukuwa na mifumo hiyo? Mbona Iran ipo miaka mingi na silaha zake Iraq.

Wakati majenerali wa Iran pale Damascus wanauwawa na shambulizi la ndege za Israel hiyo mifumo ya ulinzi wa anga haikuwepo? Iran ishindwe kulinda majenerali wake ije kulinda wanamgambo.

Pale Syria hadi Russia ina air defense systems ila hutokaa usikie Israel imeshindwa kufanya inavyojisikia kufanya.
 
Sikia wa Israel ndio wanakujibu sio sisi wewe muzaji ntalali na mfulu na karanga/viaxi/mihogo vya kuchemsha unajua nini wewe dogo.

View: https://youtu.be/JZ7efJ2uyYQ?si=sVgki3guWfFWGLDD
 
Back
Top Bottom