Jinsi Hyati Magufuli alivyochafuaga sera ya Mambo ya Nje na kupaka doa sehemu ndogo ya taswira ya mzee Mwinyi (kupitia kwa Rais Samia)

Hayati magufuli alitiondoa kwenye sera za kipumbavu zinazo itwa za kimataifa.

Sera za kwenda kuzurura huko nje eti marais wote wa africa mmeitwa na kajamaa kamoja huko ulaya kanajiita prime minister.

Magufuli aliiweka nchi kwenye uso wa dunia, watu.wakitaka kufanya biashara na Tanzania walikua wanajipanga.

Sera za kinyonyaji hazikuwa agenda yake kabisa..

Tanzania ilikua moja ya vidume duniani
 
Kwani wew babu yako Yuko wapi wew roho mbaya

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile

Kazikwe pembeni yake chato
 
Wewe kichwani kwako kuna ma+vi
Ulianza kwa kutukana/mfyiraji.Hilo neno tu ulitegemea upate majibu gani kwa kichwa changu hiki.Wewe kama ulipata mimba kwa kubakwa ni vema utulie na uitunze tu.Mimi sina suluhu ya uzurulaji wako.
 
πŸ€”πŸ”­πŸ”Š
 
Huyu ni kenge kama kenge wengine, wanalala wanamuota Magufuli utadhani aliwaacha na mimba kabla hajafa.
Mkuu ukimtukana mtu kwa kutoa hoja badala ya kujibu hoja yake kwa hoja yako basi ujue kinyume chake ndio kweli! 🀣 🀣 🀣
 
Unaweza kuelezea aina zipi za Kodi na tozo mpya zilianzishwa na Magufuli?
 
Mkuu taja majizi kina nani? Waliajiriwa lini? Wana cheo gani? Wameiba kiasi gani? Wakati gani? Sio una generalize tu watu watu na mambo!
 
Mkuu ukimtukana mtu kwa kutoa hoja badala ya kujibu hoja yake kwa hoja yako basi ujue kinyume chake ndio kweli! 🀣 🀣 🀣
Kwaakili yako umeona hoja yoyote hapo!?,eti Magufuli alipewa ma Benz na mfalme wa Morocco moja akampatia Mwinyi, hivi mnafikiria kwa kutumia nini!?
 
Nashukuru kwamba hujapinga fact yyt kati ya hizo nilizoweka hapo[emoji28]
Kama zile Kodi zilizoongezwa na Magu mnaona alikosea kwanini msisifute?? Afu amini kuwa Magu ana AKILI NY8NGI. ULIZA HUYO MFAMLE WAKO WA MOROCCO ALIFANYWI NINI NI UTAWALA WA MAGU?? JE ALIFANIKIWA ALICHOTAKA??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…