Wew mpuuzi unafaidi miradi yake huku unakujeli kenge mweupe wewHaiba ya Magufuli aliichafua yeye mwenyewe
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew mpuuzi unafaidi miradi yake huku unakujeli kenge mweupe wewHaiba ya Magufuli aliichafua yeye mwenyewe
Wew ni mafiMchafu hachafuliwi, Magufuli amekufa huku ananuka damu za wasio na hatia kama Ben Saanane na Azory Gwanda
Kwani wew babu yako Yuko wapi wew roho mbayaWazee wa legacy [emoji23],he is no more kama vipi chato sio mbali kamsemelee acha kulia lia
Ukiandika ujingaujinga ndiyo mimba yako inatulia?Usingeolewa utulie kwenu.Baba yako mfyraji yeye ndio yupo mbinguni au wewe ndio malaika wa kupokea watu mbinguni??
Hayati magufuli alitiondoa kwenye sera za kipumbavu zinazo itwa za kimataifa.Hayati mzee Mwinyi alitenda mengi mazuri na mema kwa nchi, japo nae kama binadamu anamapungufu yake. Huu ni wakati wa maombolezo lakini kuna jambo lilifanywa na Samia miaka miwili iliyopita kwa kumpatia zawadi mzee Mwinyi ambalo linatia doa haiba ya marehem mzee wetu. Kama sijasahau ilikuwa siku kuu ya mzee Mwinyi, SAMIA alimzawadia gari aina mercedez Benz ambalo Samia alisema Serikali imemzawadia mzee Mwinyi Benz la chini. Najua unajihoji hii inashida gani
Nitaeleza
Tar 30 may 2016 Profesa Kabudi aliliambia bunge na dunia kwamba Tanzania haina haja sana na misaada ya nje na hivyo kupelekea sera ya nje ya Tanzania kubadilika.In addition to that kwa wasiojua muelekeo huo ndio ulianzisha msururu wa makodi na vyombo vya mapato kubinywa ili kuongeza mapato na hivyo kuanza safar ya mlolongo wa Makodi mpaka haya tunayoyaona leo. Anyway turudi kwenye track,basi kutokana na sera ya nje kubadilika Tanzania ilibadili muelekeo wake kuhusu sera ya mambo ya nje,nitaonesha..
Tanzania ilibadili mtazamo wake kuhusu Palestina na Sahara magharibi.Ile sera ya utu na kutopenda kuona wengine wakionewa ilibadilika na Magufuli akawa anaangalia tu nan atakayenipa hela.Mwaka huohuo Magufuli alianza mahusiano na mfalme Mohamed wa sita wa Morocco,kumbuka Morocco inaitawala Sahara magharibi toka mwaka 1975 na mwaka 1984 Morocco ilijitoa kwenye iliyokuwa OAU!
Tanzania ya Nyerere na Mwinyi haikupendezwa na tabia ya Morocco kuikalia Western Sahara..Magufuli alibadili hilo anacheki tu hela.
Mfalme Mohammed wa sita na Magufuli walisaini zaidi ya makubaliano 23!Mojawapo ya hayo ni ile ya kupewa eneo la 7400sqm Dar ili ajenge msikiti mkubwa ambao ungeitwa Mohammed VI mosque, pia alitoa kopi 10,000 za koran!Mlioko Dar tuambieni huo msikiti ushajengwa au hela zilipigwa[emoji1].
Jingine mfalme alikubali kusaidia ujenzi wa kiwanja cha michezo chenye kugharimu dola milioni 100 kwenye mji mkuu wa Dodoma, mlioko Dodoma tuambieni hicho kiwanja mnakiona hapo au ndio hela ilishapigwa[emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa haiba iliyotiwa dosari ya mzee Mwinyi inaingia wap hapa. Iko hivi mfalme Mohammed VI baada ya Magufuli ku-nullify sera ya Tanzania dhidi ya Morocco alimpa zawadi ya magari aina ya Mercedez Benz kadhaa. Magufuli alipokea zawadi hyo na magari hayo yakahifadhiwa, kumbuka hii ni kama hongo baada ya kuwa umekubali anayeminywa aendelee kuminywa (in this case western Sahara). Mojawapo ya magari yale ndilo ambalo Rais wetu mpendwa aliona amzawadie MZEE MWINYI!
Binafsi nilishangaa na niliona ni kama kupakaza uchafu kwenye kitu safi.
R.I.P Mzee Mwinyi
Kazikwe pembeni yake chatoHayati magufuli alitiondoa kwenye sera za kipumbavu zinazo itwa za kimataifa.
Sera za kwenda kuzurura huko nje eti marais wote wa africa mmeitwa na kajamaa kamoja huko ulaya kanajiita prime minister.
Magufuli aliiweka nchi kwenye uso wa dunia, watu.wakitaka kufanya biashara na Tanzania walikua wanajipanga.
Sera za kinyonyaji hazikuwa agenda yake kabisa..
Tanzania ilikua moja ya vidume duniani
Una tatizo la Afya ya akili nimekuuliza swali wewe unaandika madudu yasioelewekaUkiandika ujingaujinga ndiyo mimba yako inatulia?Usingeolewa utulie kwenu.
Duh! Mkuu kumbe upo? Umepotea sana mara nyingi nimekuwa nikijiuliza mbona huonekani?Haiba ya Magufuli aliichafua yeye mwenyewe
Umetukana au umeuliza swali?Kwa ujingaujinga wako huo ulitegemea nikupe dawa ya kutoa hiyo mimba uliyoipata kichochoroni?Una tatizo la Afya ya akili nimekuuliza swali wewe unaandika madudu yasioeleweka
Wewe kichwani kwako kuna ma+viUmetukana au umeuliza swali?Kwa ujingaujinga wako huo ulitegemea nikupe dawa ya kutoa hiyo mimba uliyoipata kichochoroni?
Ulianza kwa kutukana/mfyiraji.Hilo neno tu ulitegemea upate majibu gani kwa kichwa changu hiki.Wewe kama ulipata mimba kwa kubakwa ni vema utulie na uitunze tu.Mimi sina suluhu ya uzurulaji wako.Wewe kichwani kwako kuna ma+vi
🤔🔭🔊Hayati mzee Mwinyi alitenda mengi mazuri na mema kwa nchi, japo nae kama binadamu anamapungufu yake. Huu ni wakati wa maombolezo lakini kuna jambo lilifanywa na Samia miaka miwili iliyopita kwa kumpatia zawadi mzee Mwinyi ambalo linatia doa haiba ya marehem mzee wetu. Kama sijasahau ilikuwa siku kuu ya mzee Mwinyi, SAMIA alimzawadia gari aina mercedez Benz ambalo Samia alisema Serikali imemzawadia mzee Mwinyi Benz la chini. Najua unajihoji hii inashida gani
Nitaeleza
Tar 30 may 2016 Profesa Kabudi aliliambia bunge na dunia kwamba Tanzania haina haja sana na misaada ya nje na hivyo kupelekea sera ya nje ya Tanzania kubadilika.In addition to that kwa wasiojua muelekeo huo ndio ulianzisha msururu wa makodi na vyombo vya mapato kubinywa ili kuongeza mapato na hivyo kuanza safar ya mlolongo wa Makodi mpaka haya tunayoyaona leo. Anyway turudi kwenye track,basi kutokana na sera ya nje kubadilika Tanzania ilibadili muelekeo wake kuhusu sera ya mambo ya nje,nitaonesha..
Tanzania ilibadili mtazamo wake kuhusu Palestina na Sahara magharibi.Ile sera ya utu na kutopenda kuona wengine wakionewa ilibadilika na Magufuli akawa anaangalia tu nan atakayenipa hela.Mwaka huohuo Magufuli alianza mahusiano na mfalme Mohamed wa sita wa Morocco,kumbuka Morocco inaitawala Sahara magharibi toka mwaka 1975 na mwaka 1984 Morocco ilijitoa kwenye iliyokuwa OAU!
Tanzania ya Nyerere na Mwinyi haikupendezwa na tabia ya Morocco kuikalia Western Sahara..Magufuli alibadili hilo anacheki tu hela.
Mfalme Mohammed wa sita na Magufuli walisaini zaidi ya makubaliano 23!Mojawapo ya hayo ni ile ya kupewa eneo la 7400sqm Dar ili ajenge msikiti mkubwa ambao ungeitwa Mohammed VI mosque, pia alitoa kopi 10,000 za koran!Mlioko Dar tuambieni huo msikiti ushajengwa au hela zilipigwa😄.
Jingine mfalme alikubali kusaidia ujenzi wa kiwanja cha michezo chenye kugharimu dola milioni 100 kwenye mji mkuu wa Dodoma, mlioko Dodoma tuambieni hicho kiwanja mnakiona hapo au ndio hela ilishapigwa😅😅😅
Sasa haiba iliyotiwa dosari ya mzee Mwinyi inaingia wap hapa. Iko hivi mfalme Mohammed VI baada ya Magufuli ku-nullify sera ya Tanzania dhidi ya Morocco alimpa zawadi ya magari aina ya Mercedez Benz kadhaa. Magufuli alipokea zawadi hyo na magari hayo yakahifadhiwa, kumbuka hii ni kama hongo baada ya kuwa umekubali anayeminywa aendelee kuminywa (in this case western Sahara). Mojawapo ya magari yale ndilo ambalo Rais wetu mpendwa aliona amzawadie MZEE MWINYI!
Binafsi nilishangaa na niliona ni kama kupakaza uchafu kwenye kitu safi.
R.I.P Mzee Mwinyi
🙄💭📝Kwenda zako wewe. Nia yako ni kuchafua haiba ya magufuli tu. Utakua ni wale nduli wapenda ufisadi.
Mkuu ukimtukana mtu kwa kutoa hoja badala ya kujibu hoja yake kwa hoja yako basi ujue kinyume chake ndio kweli! 🤣 🤣 🤣Huyu ni kenge kama kenge wengine, wanalala wanamuota Magufuli utadhani aliwaacha na mimba kabla hajafa.
Baba yako mfyraji yeye ndio yupo mbinguni au wewe ndio malaika wa kupokea watu mbinguni??
Mkuu taja majizi kina nani? Waliajiriwa lini? Wana cheo gani? Wameiba kiasi gani? Wakati gani? Sio una generalize tu watu watu na mambo!Tuhuma za kijinga sana hizi kutoka kwa mtu mjinga
1. Msikiti huo ulishajengwa na upo Kinondoni kama inavyoonekana hapo chini
View attachment 2925384
View attachment 2925385
2. Kiwanja cha michezo Dodoma hapo nane nane mlikwamisha ninyi wezi na wewe ukiwemo ila usanifu ulikuwa tayari. Mlichonga mpaka mfalme akaghairi kutoa pesa kisha mwamba akaahidi kujenga kwa kutumia pesa za ndani lakini mkauangusha mbuyu kabla haujafanya chochote ili mje muanze kashifa kama hizi
View attachment 2925405Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Dodoma(Dodoma Stadium) kuanza hivi karibuni
Huo uwanja hata msaada wa hao waarabu hauwezi kuujenga. Kwa maslahi labda wacheze wabunge tu hapo. Ccm waboreshe jamhuri. Uwanja wa Taifa uwe mdogo tu hapo Dom maana hata mwamko wa michezo uko chini sana.www.jamiiforums.com
Majizi mnasumbuka sana lakini kuna siku mtalia na kusaga meno
Kwaakili yako umeona hoja yoyote hapo!?,eti Magufuli alipewa ma Benz na mfalme wa Morocco moja akampatia Mwinyi, hivi mnafikiria kwa kutumia nini!?Mkuu ukimtukana mtu kwa kutoa hoja badala ya kujibu hoja yake kwa hoja yako basi ujue kinyume chake ndio kweli! 🤣 🤣 🤣
Kama zile Kodi zilizoongezwa na Magu mnaona alikosea kwanini msisifute?? Afu amini kuwa Magu ana AKILI NY8NGI. ULIZA HUYO MFAMLE WAKO WA MOROCCO ALIFANYWI NINI NI UTAWALA WA MAGU?? JE ALIFANIKIWA ALICHOTAKA??Nashukuru kwamba hujapinga fact yyt kati ya hizo nilizoweka hapo[emoji28]
Foolish. Kwa nini unathunutu kuandika vitu hata huvijui ? Jinga kabisa .very nice nimefurah angalau umenikosoa kwa fact,ni kweli si may 30 2016,the year was 2019!