Jinsi Hyati Magufuli alivyochafuaga sera ya Mambo ya Nje na kupaka doa sehemu ndogo ya taswira ya mzee Mwinyi (kupitia kwa Rais Samia)

Hayati mzee Mwinyi alitenda mengi mazuri na mema kwa nchi, japo nae kama binadamu anamapungufu yake. Huu ni wakati wa maombolezo lakini kuna jambo lilifanywa na Samia miaka miwili iliyopita kwa kumpatia zawadi mzee Mwinyi ambalo linatia doa haiba ya marehem mzee wetu. Kama sijasahau ilikuwa siku kuu ya mzee Mwinyi, SAMIA alimzawadia gari aina mercedez Benz ambalo Samia alisema Serikali imemzawadia mzee Mwinyi Benz la chini. Najua unajihoji hii inashida gani

Nitaeleza

Tar 30 may 2016 Profesa Kabudi aliliambia bunge na dunia kwamba Tanzania haina haja sana na misaada ya nje na hivyo kupelekea sera ya nje ya Tanzania kubadilika.In addition to that kwa wasiojua muelekeo huo ndio ulianzisha msururu wa makodi na vyombo vya mapato kubinywa ili kuongeza mapato na hivyo kuanza safar ya mlolongo wa Makodi mpaka haya tunayoyaona leo. Anyway turudi kwenye track,basi kutokana na sera ya nje kubadilika Tanzania ilibadili muelekeo wake kuhusu sera ya mambo ya nje,nitaonesha..

Tanzania ilibadili mtazamo wake kuhusu Palestina na Sahara magharibi.Ile sera ya utu na kutopenda kuona wengine wakionewa ilibadilika na Magufuli akawa anaangalia tu nan atakayenipa hela.Mwaka huohuo Magufuli alianza mahusiano na mfalme Mohamed wa sita wa Morocco,kumbuka Morocco inaitawala Sahara magharibi toka mwaka 1975 na mwaka 1984 Morocco ilijitoa kwenye iliyokuwa OAU!

Tanzania ya Nyerere na Mwinyi haikupendezwa na tabia ya Morocco kuikalia Western Sahara..Magufuli alibadili hilo anacheki tu hela.

Mfalme Mohammed wa sita na Magufuli walisaini zaidi ya makubaliano 23!Mojawapo ya hayo ni ile ya kupewa eneo la 7400sqm Dar ili ajenge msikiti mkubwa ambao ungeitwa Mohammed VI mosque, pia alitoa kopi 10,000 za koran!Mlioko Dar tuambieni huo msikiti ushajengwa au hela zilipigwa😄.

Jingine mfalme alikubali kusaidia ujenzi wa kiwanja cha michezo chenye kugharimu dola milioni 100 kwenye mji mkuu wa Dodoma, mlioko Dodoma tuambieni hicho kiwanja mnakiona hapo au ndio hela ilishapigwa😅😅😅

Sasa haiba iliyotiwa dosari ya mzee Mwinyi inaingia wap hapa. Iko hivi mfalme Mohammed VI baada ya Magufuli ku-nullify sera ya Tanzania dhidi ya Morocco alimpa zawadi ya magari aina ya Mercedez Benz kadhaa. Magufuli alipokea zawadi hyo na magari hayo yakahifadhiwa, kumbuka hii ni kama hongo baada ya kuwa umekubali anayeminywa aendelee kuminywa (in this case western Sahara). Mojawapo ya magari yale ndilo ambalo Rais wetu mpendwa aliona amzawadie MZEE MWINYI!

Binafsi nilishangaa na niliona ni kama kupakaza uchafu kwenye kitu safi.

R.I.P Mzee Mwinyi
ukiona mtu anaamini nchi itaendelea kwa kutegemea efforts za watu wa taifa lingine , huyo ni Kiazi. A typical average minded individual. kuandikaandika mitandaoni huanika ujuha wa watu kama hawa.
 
Vipi Daudi mwangosi alivyouawa kinyama mbele ya kadamnasi tena mchana kweupe pee?
Kama wewe ni mtu makini utakumbuka kuwa jalada likifunguliwa Polisi, uchunguzi ulifanyika na kesi ilifika Mahakamani. Hatimaye mhusika na mauaji alihukumiwa.

Niambie kama umewahi kusikia jalada la kesi dhidi ya waliomshambulia Tundu Lissu au wauaji wa Ben Saanane
 
Hayati mzee Mwinyi alitenda mengi mazuri na mema kwa nchi, japo nae kama binadamu anamapungufu yake. Huu ni wakati wa maombolezo lakini kuna jambo lilifanywa na Samia miaka miwili iliyopita kwa kumpatia zawadi mzee Mwinyi ambalo linatia doa haiba ya marehem mzee wetu. Kama sijasahau ilikuwa siku kuu ya mzee Mwinyi, SAMIA alimzawadia gari aina mercedez Benz ambalo Samia alisema Serikali imemzawadia mzee Mwinyi Benz la chini. Najua unajihoji hii inashida gani

Nitaeleza

Tar 30 may 2016 Profesa Kabudi aliliambia bunge na dunia kwamba Tanzania haina haja sana na misaada ya nje na hivyo kupelekea sera ya nje ya Tanzania kubadilika.In addition to that kwa wasiojua muelekeo huo ndio ulianzisha msururu wa makodi na vyombo vya mapato kubinywa ili kuongeza mapato na hivyo kuanza safar ya mlolongo wa Makodi mpaka haya tunayoyaona leo. Anyway turudi kwenye track,basi kutokana na sera ya nje kubadilika Tanzania ilibadili muelekeo wake kuhusu sera ya mambo ya nje,nitaonesha..

Tanzania ilibadili mtazamo wake kuhusu Palestina na Sahara magharibi.Ile sera ya utu na kutopenda kuona wengine wakionewa ilibadilika na Magufuli akawa anaangalia tu nan atakayenipa hela.Mwaka huohuo Magufuli alianza mahusiano na mfalme Mohamed wa sita wa Morocco,kumbuka Morocco inaitawala Sahara magharibi toka mwaka 1975 na mwaka 1984 Morocco ilijitoa kwenye iliyokuwa OAU!

Tanzania ya Nyerere na Mwinyi haikupendezwa na tabia ya Morocco kuikalia Western Sahara..Magufuli alibadili hilo anacheki tu hela.

Mfalme Mohammed wa sita na Magufuli walisaini zaidi ya makubaliano 23!Mojawapo ya hayo ni ile ya kupewa eneo la 7400sqm Dar ili ajenge msikiti mkubwa ambao ungeitwa Mohammed VI mosque, pia alitoa kopi 10,000 za koran!Mlioko Dar tuambieni huo msikiti ushajengwa au hela zilipigwa😄.

Jingine mfalme alikubali kusaidia ujenzi wa kiwanja cha michezo chenye kugharimu dola milioni 100 kwenye mji mkuu wa Dodoma, mlioko Dodoma tuambieni hicho kiwanja mnakiona hapo au ndio hela ilishapigwa😅😅😅

Sasa haiba iliyotiwa dosari ya mzee Mwinyi inaingia wap hapa. Iko hivi mfalme Mohammed VI baada ya Magufuli ku-nullify sera ya Tanzania dhidi ya Morocco alimpa zawadi ya magari aina ya Mercedez Benz kadhaa. Magufuli alipokea zawadi hyo na magari hayo yakahifadhiwa, kumbuka hii ni kama hongo baada ya kuwa umekubali anayeminywa aendelee kuminywa (in this case western Sahara). Mojawapo ya magari yale ndilo ambalo Rais wetu mpendwa aliona amzawadie MZEE MWINYI!

Binafsi nilishangaa na niliona ni kama kupakaza uchafu kwenye kitu safi.

R.I.P Mzee Mwinyi

Kwanini Samia asingeyauza sababu unasema ni rushwa pesa zikatumika kujenga vituo vya watoto yatima kulelewa au kujenga hospitali za kinamama?
 
Ulianza kwa kutukana/mfyiraji.Hilo neno tu ulitegemea upate majibu gani kwa kichwa changu hiki.Wewe kama ulipata mimba kwa kubakwa ni vema utulie na uitunze tu.Mimi sina suluhu ya uzurulaji wako.
Wewe mimba yako iliingilia mkyundun
 
Acha uongo, hayo matozo ni gharama za kulipia mikopo ya chanjo za uviko, sera ambazo Magufuli alizikataa.
Kulipia chanjo za uviko tena!!!? JPM aliboa mambo mengi sana. Yeye pesa alikuwa akinyang'anya na kupora watu hivyo baada yake hakukuwa na vyanzo vingi vya kodi. Samia hakuwa na jinsi
 
Mleta mada ni either upo O-Level au ni Uvccm tawi moja la chuo kikuu flani, nayasema haya kwasababu ya upeo wa finyu ulionao.

Kubali kataa, Magufuli was the best leader kuwahi kutokea katika nchi ya Tanganyika, ipo hivi, kuonekana mbaya kwake ni kutokana na kelele za wezi na mafisadi ni nyingi na chawa wao kama wewe kuliko wazalendo wa kweli ambao ni wachache.

Ipo hivi hata siku moja, Taifa haliwezi kukua kwa kutegemea misaada nje hii ni aibu kubwa sana, yaani una ardhi, una rasilimali vitu na watu then kutwa nzima na ushungi kuomba misaada? Seriously this shows how our current top amekoma katika kufikiri.

Una akili ndogo sana mleta mada.

Em fikiria juu ya matatizo mengi aliyoyatoa MAGUFULI na yamerudi sasa, je MAGUFULI alikuwa problem solver or creator? Kubalini tu the current top is more than the word WEAK system yake yote ipo compromised, mawaziri wezi na hajui afanye nini.

Mwizi wa Wizara ya nishati alienunua mifumo ili ituondolee shida ya umeme kapewa wizara ya mambo ya nje na tatizo la umeme limepunguzwa na NDOTO za MAGUFULI.

Amini nakuambia wewe mleta mada kama tungekuwa na katiba bora na tukampa KUKU AU BATA Urais basi BATA AU KUKU huyo atafanya makubwa kuliko the current top.
 
Kama wewe ni mtu makini utakumbuka kuwa jalada likifunguliwa Polisi, uchunguzi ulifanyika na kesi ilifika Mahakamani. Hatimaye mhusika na mauaji alihukumiwa.

Niambie kama umewahi kusikia jalada la kesi dhidi ya waliomshambulia Tundu Lissu au wauaji wa Ben Saanane
Mkuu sijakusoma hapo, hivi Daudi mwangosi aliuawa na mtu mmoja au ni watu walishilikiana kumuua tena wazi wazi?. Aisee yule jamaa alishikwa akawekwa mtu kati na watu kama 6+ hivi kisha akapigwa bom mchana kweupe kabisa bila hata chembe ya huruma na watu wanaona kabisa. Inakuwaje ahukumiwe mtu mmoja? Use nature and your brain don't be like a female cockroach!
 
Kulipia chanjo za uviko tena!!!? JPM aliboa mambo mengi sana. Yeye pesa alikuwa akinyang'anya na kupora watu hivyo baada yake hakukuwa na vyanzo vingi vya kodi. Samia hakuwa na jinsi
Alimpora nani? Watu Tanzania huwa hawalipi kodi, wanawasumbua watu wadogo wadogo huku matajiri wakisepa. Wewe unaona sawa kulazimisha watu chanjo zinazoleta majonjwa wa moyo, huku corona ikiwa imeshaisha?
 
Moderators huyu mtu amenisumbua pm anataka nimuoe.Nimemkatalia mimi na mashoga mbalimbali ila hasikii.Sitaki kumuona huyu kiumbe.
🤣🤣🤣 lione lilivyo liongo nan kakufata Pm shoga wewe unaanza kulialia kutafuta huruma kwa moderators

Yaani haya mafisadi na mavyeti feki yalishazoea uongo uongo nikufuate Pm wewe una nini zaidi ya ushoga wako.
 
Mkuu sijakusoma hapo, hivi Daudi mwangosi aliuawa na mtu mmoja au ni watu walishilikiana kumuua tena wazi wazi?. Aisee yule jamaa alishikwa akawekwa mtu kati na watu kama 6+ hivi kisha akapigwa bom mchana kweupe kabisa bila hata chembe ya huruma na watu wanaona kabisa. Inakuwaje ahukumiwe mtu mmoja? Use nature and your brain don't be like a female cockroach!
Female cockroach ndiyo anafanyaje?
 
Mleta mada ni either upo O-Level au ni Uvccm tawi moja la chuo kikuu flani, nayasema haya kwasababu ya upeo wa finyu ulionao.

Kubali kataa, Magufuli was the best leader kuwahi kutokea katika nchi ya Tanganyika, ipo hivi, kuonekana mbaya kwake ni kutokana na kelele za wezi na mafisadi ni nyingi na chawa wao kama wewe kuliko wazalendo wa kweli ambao ni wachache.

Ipo hivi hata siku moja, Taifa haliwezi kukua kwa kutegemea misaada nje hii ni aibu kubwa sana, yaani una ardhi, una rasilimali vitu na watu then kutwa nzima na ushungi kuomba misaada? Seriously this shows how our current top amekoma katika kufikiri.

Una akili ndogo sana mleta mada.

Em fikiria juu ya matatizo mengi aliyoyatoa MAGUFULI na yamerudi sasa, je MAGUFULI alikuwa problem solver or creator? Kubalini tu the current top is more than the word WEAK system yake yote ipo compromised, mawaziri wezi na hajui afanye nini.

Mwizi wa Wizara ya nishati alienunua mifumo ili ituondolee shida ya umeme kapewa wizara ya mambo ya nje na tatizo la umeme limepunguzwa na NDOTO za MAGUFULI.

Amini nakuambia wewe mleta mada kama tungekuwa na katiba bora na tukampa KUKU AU BATA Urais basi BATA AU KUKU huyo atafanya makubwa kuliko the current top.
Magufuli alikuwa ndiyo best leader?? My foot!!. Hii nchi ina wajinga wengi sana
 
Back
Top Bottom