Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Enya ndio nani😎, bwana eeh Mume mwema anatoka mbinguni🏃‍♀️😂
Enya ni mwanamuziki wa muziki wa New age....Umoja wa Introvert duniani tulimchagua Enya ndio awe malkia wetu. Queen of all introvert.
Miaka ya 90 alinunua jumba/castle iliyopo mlimani maporini akairekebisha akawa anaishi huko peke yake . Mpaka leo anaishi huko hana mtoto wala mume hana rafiki wala mashosti. Ila ana pesa ndefu balaa, alikua hana hata wafanya kazi

Halafu nyimbo zake zote ni za huzuni ukimsikiliza unaweza kulia kabisa. Sikiliza huu
 
😎😎😎
 
duh....
 
nampenda sana huyu mama..
 
Lazima utakuwa na elimu ya saikolojia.
Umeeleweka sana.
 
Endeleeeni kumpenda ila yeye hatakagi shobo kabisa. Habari za kupendana yeye hataki, hana jirani wala hataki ndugu kumtembelea. Rafiki zake ni paka tu. Siku akifa mali zake naona zitaenda kwenye charities.

Menderley castle jumba lake Enya

Haina shida nikiwa bored tena nitaandika😅

😎😎😎


nampenda sana huyu mama..

Ningekuwa na pesa kama huyo b mkubwa, ningefanya hvyo...
 
Though wanasema she is spiritistic...
 
Mimi ninachojua hakuna introvert asilimia 100% wala Extrovert 100%. Kila binadamu ana sifa ya U-extrovert na U-introvert Kwa kiasi fulani.

Mfano mimi kuna sehemu ni mkimya na Kuna mazingira ni muongeaji. Hata nilipokuwa chuo sijawahi kupata shida kujichanganya au kuhudhuria group discussion na nilikuwa na marafiki wengi.

Hata kwenye presentation ya watu zaidi ya miasita nilikuwa nazungumza bila kuogopa, na ninakuwa na confidence kuliko hata waongeaji kupita maelezo. Kanisani watu wengi Ila ninazungumza mara kibao Mbele ya waumini bila shida.

Kuna muda nakaa peke yangu sana na Kuna muda najichanganya.

Ila deep down najijua ni mpole, mkimya.

Mwingine anakwambia Introvert Wako na sad na wana stress. Hii sio kweli kila binadamu awe introvert au extrovert Kuna muda mood inachange anakuwa sad.

There is nothing like a perfect personality, that is peaceful and happy all the time.NEVER
 
Menderley castle jumba lake Enya
View attachment 2606638
One of my favourite song from her, known us Storm of Africa - Enya.

I'm big fan of her, firstly of all napenda appearance yake coz hana sura ya upole.
Secondly, Nyimbo zake, zinanifanya ni zame ndani kihisia, hazina fujo wala makelele.

Even though kulikuwa na news trending ikimuhusisha kuwa yeye ni devil worshiper but all in all sijali coz maneno kaumbiwa mwanadamu.

Hiyo mansion yake inaendana kabisa na yeye mwenyewe jinsi alivyo. Ndio Maana huwa napenda sana kumsoma mtu kutokana na outlook yake jinsi alivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…