Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #801
Mkuu yaani mimi niko hivyo tu yaani nikisimama mbele za watu niongee nadhani naweza kuanguka kwa kutetemeka. Mdomo unakoss ushirikiano na maneno kabisa.Mi nashukuru kwenye suala la kujieleza mbele za watu iwe ni presentation au na debate kujibu maswali nipo vizuri. Debate za skuli zilinijenga.
Niwaulize? unashindwaje kusimama mbele za watu na kuongea kama unaamini uko na madini adimu. Kama unaogopa kukosea basi unayapresent kama nadharia zaidi ili uwe safe. Haikatai kuweka mafact kwa kitu unachokiita 'nadharia' na ni nzuri zaidi maana inawapa watu power ya kukubali wenyewe fact na kusharabu idea yako.
Na kuhusu masuala ya neural link hadi telepathy ninayo idea nazo. Nimewahi kuyafuatilia.
Nikiwa home hua kuna zamu ya kusalisha sala za usiku na mwenye zamu yake inabidi asome na kutafakari neno pia . Sasa niko tu na familia yangu ila hua nashindwa kabisa kusalisha hus nona kama adhabu kwangu. Humuhumu JF kuna vitu hua naokopa hata kuandika nikiandika narudi kufuta ndio maaaa Kapeace ananidharau 😅😅
