Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Huu uzi ngoja ni uprint niuweke kwenye diary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah wewe huyo,,, 😂😂😂Mbona siku zote hua nimechangamka asee basi tu nyie sijui mnanionaje😅😅
Sema wewe hujanizoea tu yaani ukinizoea hutaamini kama ndio mimi na lazima ujute🏃🏃🏃
Mh umejanjaruka Hadi pm umeenda,,, aisee sikuweziMimi huyuhuyu.. bahati yako umefunga waziri mkuu. Ningekuajia ukakoma🏃😅
We hata ukiiona utakimbia Nina wasiwasi na wewe💃💃💃It's just I like to keep hands on myself na sio kwamba siwezi kufanya mambo fulanifulani.
Fungua chapchap sasa😅
Mi ni km sienei na hii comment yako,, ni kweli ninazo tabia (baadhi) za introvert,, Nina zaidi ya 27 yrs, avatar niliyoweka sio mimi,Da'Vinci nna swali kwako na wataalamu wengine humu.
Umeshauri na kukazia kuhusu urafiki na timu kwamba introvert akipartner na extrovert wanascore saaana
Sasa vipi kuhusu ndoa na mahusiano🤔? Sijaanza leo kufuatilia hili suala nna uzi uliosuggest potential soulmates wafikirie sawa. Was I wrong? what is your take mtaalamu....
Je vizuri wakapair wao kwa wao au wapee na extroverts???
Nawacheki hapa akina Kapeace na Pyaar na wengineo najiuliza what if😋🤭[najua hizo ni avatar tu pengine]. Will it work kwa watu kama hao!?
Kimsingi natamani nidate na kaintrovert kamoja au tuwili nione pia, extroverts nilodatigi nao naona miyeyusho mingi. Ajitokeze basi age 19-27, and am not joking. Sijui hii itakanusha maana wanasema introverts ni wasiri. Potelea pote ni wasiri na wanajiamini pia
Daah mkuu so emotional. Tushajigundua tulivo let's be proud of who we are, hasira tuzielekeze kwenye utafutaji, pesa ndo iwe siraha yetu. Binafsi ni kondoo ila sikubali kuonewa, huko mahakamani pesa itanisimamia through advocate na takrima[emoji2]. Umeanzisha Uzi mzuri sana sana ila unaniumiza for how feel with the situation.Let me break this for you mate.
Kutokana na maisha yalivyo kumefanya Duniani kuwepo makundi mawili ya watu ambayo Wolves (Mbwa mwitu) na Sheep(Kondoo) wewe binafsi ndio unachagua upendavyo kua je uwe kondoo uliwe au uwe mbwa mwitu ule kondoo.
Sasa kutokana na characteristics za Introvert wengi wanachagua kua kondoo coz wengi hupenda kua wema. Sasa hapo ukishaingia kwenye mtego wa wema jua tu kwamba tayari wewe ni kondoo na mbwa mwitu lazima wakutafune tu.
Hicho ndio nachozungumza hapa.. Introvertism inakufanya uwe kondoo hivyo utaliwa sana hadi uone kua introvert ni curse. Wolves will use you and Will Take advantage of you.
Kama haijakupata keep waiting mate soon or later you'll approve my fact
Aaah kweli hakuna jipya chini ya jua
Yaani mi bado nafanyia utafiti natafuta results halafu kuna mwamba huku alishadiscuss na kutoa hitimisho kabisa!!!
uloyaandika basi yanashabihiana na majibu kwamba hawa ni watu wanaopendelea zaidi kushughulisha bongo zao wakianzia upande wa kushoto. Logical& analytical.
Kijiutafiti nachozungumzia kiliendeshwa katika uzi huu hapa
Anti-Social wenzangu tujuane tabia zetu
Hii explanation yake inatokana na kitu fulani wanabaiolojia wengine wanakikubali, wengine wanakataa. Suala la kuwepo kwa ubongo wa kulia na ubongo wa kushoto Ni kwamba wote tunazitumia pande zote mbili, ubongo mzima kuchakata taarifa na kufanya maamuzi Ubongo wa kushoto una logics na mahesabu...www.jamiiforums.com
Asante kwa majibu, wacha nimtafute zaidi.Mi ni km sienei na hii comment yako,, ni kweli ninazo tabia (baadhi) za introvert,, Nina zaidi ya 27 yrs, avatar niliyoweka sio mimi,
Kuna dalili za kulambwa faini na mtani wangu,, sikumaanisha kukudharau Vinci,, ngoja nikufungulie mlango,, usiniroge tu lakini😂😂Hii ni Dharau iliyopitiliza asee😅, Dare me, Just dare me Kapeace. Utajua hujui nakwambia
Anhaa basi nimegundua kitu:Halafu kuhusu Matumizi ya right and left brain nilishawahi kuyazungumzia pia 😅😅
Pita hapa....
Ulishawahi kukutana na mtu mwenye ugonjwa wa Low Latent Inhibition: Fahamu ugonjwa wa Low latent inhibition
Mates, Wakati wengi tukiwa tunajua kwaba ubongo wa mwanadamu umegawanyika sehemu tatu ambazo ni ubongo wa mbele,katikati na nyuma tu, kuna wataalamu wa masuala ya akili (Neuorologist) na wataalamu wa masuala ya ufanyaji kazi wa akili (psychologist) wamekua wakiamini/waki-Ague kwamba ubongo wa...www.jamiiforums.com
🤝Asante kwa majibu, wacha nimtafute zaidi.
Tangu mwanzo nilihisi tu sio avatar yako maana kulingana na sifa ingejipinga yenyewe na introverts
Naona mahusiano na mwanamke extrovert inamatch zaidi maana kuna mambo mwanamke atakusaidia kuyafanya hasa kwenye kuongea. Mimi naamini kila mwanamke pindi anapoingia kwenye ndoa akawa na watoto basi automatically anageuka kua Extrovert hata kama alikua introvert. Hebu chunguza hili utaona.. Hopefully Kapeace can enlight us more on this matterDa'Vinci nna swali kwako na wataalamu wengine humu.
Umeshauri na kukazia kuhusu urafiki na timu kwamba introvert akipartner na extrovert wanascore saaana
Sasa vipi kuhusu ndoa na mahusiano🤔? Sijaanza leo kufuatilia hili suala nna uzi uliosuggest potential soulmates wafikirie sawa. Was I wrong? what is your take mtaalamu....
Mchukue Pyaar atakufaa, kichwani uwe nondo lakini 😅Je vizuri wakapair wao kwa wao au wapee na extroverts???
Nawacheki hapa akina Kapeace na Pyaar na wengineo najiuliza what if😋🤭[najua hizo ni avatar tu pengine]. Will it work kwa watu kama hao!?
Kimsingi natamani nidate na kaintrovert kamoja au tuwili nione pia, extroverts nilodatigi nao naona miyeyusho mingi. Ajitokeze basi age 19-27, and am not joking. Sijui hii itakanusha maana wanasema introverts ni wasiri. Potelea pote ni wasiri na wanajiamini pia
Mi nashukuru kwenye suala la kujieleza mbele za watu iwe ni presentation au na debate kujibu maswali nipo vizuri. Debate za skuli zilinijenga.Mkuu kweli hakuna jipya chini ya jua.. Mimi hua siwezi kujieleza vyema mbele ya Watu ila kichwa changu kimejaa madini balaa ila siwezi kuyawasilisha kwa kuongea. So Nilikua naumiza kichwa jinsi ya kuunda kifaa ambachoi kitakua kinarekodi na kutoa yale yaliyomo kichwani through Neural Transmitting si unajua kichwani tuna umeme?? Yaani usiku Nilikua nateseka jinsi ya kukifanya kifanye kazi Biological and Technological.
You know what nilikuja kugundua Elon musk alishalifanyia kazi swala hilo halafu vilevile nilivyokua nafikiri ifanye kazi ndio inavyofanya kazi. Hopefully you know about Neural Link project.
Unachofikiria leo kuna mtu alishakiwaza au anakiwaza Right now
Hapo kwenye kuwa na watoto ni kweli tunabadilika sana, nadhani ile hali ya inatufanya kuwa majasiri sanaNaona mahusiano na mwanamke extrovert inamatch zaidi maana kuna mambo mwanamke atakusaidia kuyafanya hasa kwenye kuongea. Mimi naamini kila mwanamke pindi anapoingia kwenye ndoa akawa na watoto basi automatically anageuka kua Extrovert hata kama alikua introvert. Hebu chunguza hili utaona.. Hopefully Kapeace can enlight us more on this matter
Mchukue Pyaar atakufaa, kichwani uwe nondo lakini 😅