Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #861
Habari za devil worshipers mimi siziaminigi. Kwanza naamini hakuna kitu kama hiko.One of my favourite song from her, known us Storm of Africa - Enya.
I'm big fan of her, firstly of all napenda appearance yake coz hana sura ya upole.
Secondly, Nyimbo zake, zinanifanya ni zame ndani kihisia, hazina fujo wala makelele.
Even though kulikuwa na news trending ikimuhusisha kuwa yeye ni devil worshiper but all in all sijali coz maneno kaumbiwa mwanadamu.
Hiyo mansion yake inaendana kabisa na yeye mwenyewe jinsi alivyo. Ndio Maana huwa napenda sana kumsoma mtu kutokana na outlook yake jinsi alivyo.
Nyimbi zangu bomba kutoka kwake ni..
- Only time
- Flora's Secret
- Lazy day
- Sail away